Kama Mungu alikuwa na lengo la wokovu kwa binadamu hakupaswa kutumia mfumo wa kibinadamu kumuokoa binadamu dhidi ya shetani

mr pipa

JF-Expert Member
Jul 26, 2021
2,331
4,856
Leo hiyi dini mbalimbali zinazungumzia pepo na jehanam au mbinguni na motoni, kama kweli mfumo huo upo basi hata MUNGU ana mawazo ya kibinadamu ambayo yana ukomo kwasababu tunajua MUNGU ni roho na sio mwili ninapozungumzia neno MUNGU namaanisha ni mfumo na sio mtu, ila wengi tunajua MUNGU ni kiumbe kimoja kwahiyo unapaswa ujue MUNGU NI MFUMO wa utawala kama RAISI, MFALME NK.

Sasa basi inakuwaje huu mfumo wa kimungu utumie njia za kibinadam kumuokoa binadamu? Na iweje tena katika maandiko yake yanasema MUNGU kamuumba binadamu kwa kutumia udongo na siku ya mwisho hurudi tena kwenye udongo inakuwaje linakuja suala la binadamu kwenda mbinguni au motoni?

Wakati tunajua mbinguni kuna viumbe ambao wapo maalumu kwa makazi hayo!! MUNGU KAWATUMA MITUME NA MANABII WAJE KUWAKOMBOA BINADAMU, ILI WAENDE MBINGUNI, KAMA KWELI! MUNGU ALISHINDWA VIPI KUTUMIA MFUMO WA KIMUNGU KUMKOMBOA HUYU BINADAMU MFANO, ANGEWEKA TV KUBWA ANGANI, ILI KILA AFANYAYE MABAYA YAONEKANE PALE KWENYE TV NDANI YA MUDA HUO HUO.
 
Mungu wa kwenye biblia ama quran hayupo na hajawahi kuwepo.

Vile ni vitabu tu vya hadithi za kiyahudi lakini kuhusu Mungu, hicho kitu hakipo.

Mungu ambae alimuumba shetani, akashindwa kumuangamiza shetani halafu anataka binadamu mpambane na shetani, hivi hilo linaingia akilini kweli? Kama yeye alimshindwa sisi tutamuwezaje?

Dini zenye asili ya kiyahudi ni za kitapeli, mungu anaezungumziwa hayupo.
 
wakati tunajua mbinguni kuna viumbe ambao wapo maalumu kwa makazi hayo!!
Mmejuaje?
MUNGU KAWA TUMA MITUME NA MANABII WAJE KUWAKOMBOA BINADAMU, ILI WAENDE MBINGUNI,,, KAMA KWELI ! MUNGU ALISHINDWA VIPI KUTUMIA MFUMO WA KIMUNGU KUMKOMBOA HUYU BINADAMU
Mfumo wa kimungu ukoje?
MFANO, ANGEWEKA TV KUBWA ANGANI, ILI KILA AFANYAYE MABAYA YAONEKANE PALE KWENYE TV NDANI YA MUDA HUO HUO
🤣🤣 yaani unataka afanye unavyotaka wewe sio?!
 
Mungu wa kwenye biblia ama quran hayupo na hajawahi kuwepo.

Vile ni vitabu tu vya hadithi za kiyahudi lakini kuhusu Mungu, hicho kitu hakipo.

Mungu ambae alimuumba shetani, akashindwa kumuangamiza shetani halafu anataka binadamu mpambane na shetani, hivi hilo linaingia akilini kweli? Kama yeye alimshindwa sisi tutamuwezaje?

Dini zenye asili ya kiyahudi ni za kitapeli, mungu anaezungumziwa hayupo.
Ukiwa umeshiba, una viungo vyote, uko huru(hauko jera/mateka) ni halali yako kujidai
 
Leo hiyi dini mbali mbali zinazungumzia pepo na jehanam au mbinguni na motoni,,, kama kweli mfumo huo upo basi hata MUNGU anamawazo ya kibinadamu ambayo yana ukomo kwasababu tunajua MUNGU ni roho na sio mwili ninapozungumzia neno MUNGU namaanisha ni mfumo na sio mtu, ila wengi tunajua MUNGU ni kiumbe kimoja kwahiyo unapaswa ujue MUNGU NI MFUMO wa utawala kama RAISI, MFALME NK, sasa basi inakuwaje huu mfumo wa kimungu utumie njia za kibinadam kumuokoa binadamu? na iweje tena katika maandiko yake yanasema MUNGU kamuumba binadamu kwa kutumia udongo na siku ya mwisho hurudi tena kwenye udongo inakuwaje linakuja suala la binadamu kwenda mbinguni au motoni? wakati tunajua mbinguni kuna viumbe ambao wapo maalumu kwa makazi hayo!! MUNGU KAWA TUMA MITUME NA MANABII WAJE KUWAKOMBOA BINADAMU, ILI WAENDE MBINGUNI,,, KAMA KWELI ! MUNGU ALISHINDWA VIPI KUTUMIA MFUMO WA KIMUNGU KUMKOMBOA HUYU BINADAMU MFANO, ANGEWEKA TV KUBWA ANGANI, ILI KILA AFANYAYE MABAYA YAONEKANE PALE KWENYE TV NDANI YA MUDA HUO HUO
Point of correction: Mungu siyo kiumbe. Alikuwepo. Hakuumbwa. Yeye ndiye alituumba wote na vyote.

Hiyo style unayotamani aitumie ni purely human. Mungu siyo mwanadamu.

Mt Augustino wa Hippo anatueleza "japokuwa Mungu alituumba bila sisi kutaka, hawezi kutuokoa bila sisi kupenda".

Kwa maneno mengine, Mungu hakutupa nafasi ya kuchagua tuumbwe ama tusiumbwe kwahiyo ameamua kutupa nafasi ya kuchagua tuokolewe ama tusiokolewe.

Mwisho; unapaswa ujue mbingu siyo mahali (physical place) ila ni hali ya utakatifu (sanctity state).
 
Mungu wa kwenye biblia ama quran hayupo na hajawahi kuwepo.

Vile ni vitabu tu vya hadithi za kiyahudi lakini kuhusu Mungu, hicho kitu hakipo.

Mungu ambae alimuumba shetani, akashindwa kumuangamiza shetani halafu anataka binadamu mpambane na shetani, hivi hilo linaingia akilini kweli? Kama yeye alimshindwa sisi tutamuwezaje?

Dini zenye asili ya kiyahudi ni za kitapeli, mungu anaezungumziwa hayupo.
Lini na wapi uliambiwa umwangamize shetani?
 
Wapi nimesema tumeambiwa tumuangamize shetani?

Huyo shetani kama anaejiita Mungu alishindwa kumuangamiza, akamleta duniani kuja kuoambana na binadamu halafu eti ili binadamu amshinde shetani anapaswa kumuomba mungu ambae alishindwa kumuangamiza, sasa hata ukimuomba atamfanya nini shetani kama alimshindwa?
 
Mungu wa kwenye biblia ama quran hayupo na hajawahi kuwepo.

Vile ni vitabu tu vya hadithi za kiyahudi lakini kuhusu Mungu, hicho kitu hakipo.

Mungu ambae alimuumba shetani, akashindwa kumuangamiza shetani halafu anataka binadamu mpambane na shetani, hivi hilo linaingia akilini kweli? Kama yeye alimshindwa sisi tutamuwezaje?

Dini zenye asili ya kiyahudi ni za kitapeli, mungu anaezungumziwa hayupo.
Leta nukuu za hayo maandiko katika kitabu/vitabu ikionyesha
Mungu ambae alimuumba shetani, akashindwa kumuangamiza shetani halafu anataka binadamu mpambane na shetani,
 
Leo hiyi dini mbalimbali zinazungumzia pepo na jehanam au mbinguni na motoni, kama kweli mfumo huo upo basi hata MUNGU ana mawazo ya kibinadamu ambayo yana ukomo kwasababu tunajua MUNGU ni roho na sio mwili ninapozungumzia neno MUNGU namaanisha ni mfumo na sio mtu, ila wengi tunajua MUNGU ni kiumbe kimoja kwahiyo unapaswa ujue MUNGU NI MFUMO wa utawala kama RAISI, MFALME NK.

Sasa basi inakuwaje huu mfumo wa kimungu utumie njia za kibinadam kumuokoa binadamu? Na iweje tena katika maandiko yake yanasema MUNGU kamuumba binadamu kwa kutumia udongo na siku ya mwisho hurudi tena kwenye udongo inakuwaje linakuja suala la binadamu kwenda mbinguni au motoni?

Wakati tunajua mbinguni kuna viumbe ambao wapo maalumu kwa makazi hayo!! MUNGU KAWATUMA MITUME NA MANABII WAJE KUWAKOMBOA BINADAMU, ILI WAENDE MBINGUNI, KAMA KWELI! MUNGU ALISHINDWA VIPI KUTUMIA MFUMO WA KIMUNGU KUMKOMBOA HUYU BINADAMU MFANO, ANGEWEKA TV KUBWA ANGANI, ILI KILA AFANYAYE MABAYA YAONEKANE PALE KWENYE TV NDANI YA MUDA HUO HUO.
homa ya dunia imekupata....walijiona kuwa wenye hekima walipumbazika😷🤕
 
Tupo bilioni 7 na wote tunatenda uovu. Hiyo Tv itakuwa na partition bilion 7 au? Nani atakua anaangalia maovu ya mwenzake? Hahaha
 
Back
Top Bottom