Kama hujaoa/olewa unaliweza hili?

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Hili jambo lilimpata rafiki yangu..ni mvulana mwenye umri unaostahili kuoa.Na yuko na rafiki yake ambae wameishi pamoja toka utotoni that is wa kiume pia.Wote wako na mademu ambao pia ni marafiki wakubwa.Ilitokea kwamba msimu wa mwaka mpya walienda holiday wakiwa wote wanne..kwa bahati nzuri ama mbaya walikodi guest na chumba walichopata ni single room vitanda viwili..sasa bas waliingia kwa guest na vinywaji vyao lakini vinywaji vilipokatika,wakatuma hao mabinti kuleta vinywaji..mabinti waliporudi ndo mjadala ukaangushwa.mabinti waliwaomba hao kina kaka kwa kuwa ni marafiki wakubwa wangependelea sana ikiwa kaka wa kwanza alale na mpenzi wa kaka wa pili na vile vile kwa huyo mwingine kwa usiku huo tu..ndipo kaka akaniuliza ingekuwa mimi ningechukua uamuzi gani..?
 
Sijawapenda kabisa hao wadada!kuiga mambo ya kigeni tu huko
 
Huo ni utoto unawasumbua!!!!!!
 
Ungetuambia kwanza huyo rafiki yako alifanya nini? halafu ulete mada tujadili kama ungekuwa wewe ama sisi tufanyaje
 
Back
Top Bottom