Kama adhabu zingekuwa hivi uvunjaji sheria usingekuwepo

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
19,011
11,942
1.Ikidhitishwa umeiba mali ya UMMA ( UFISADI )
Ukatwe mkono wa kulia na kufilisiwa mali zako zote
2.Ukikamatwa na kosa la kutumia vibaya madaraka
Ukatwe makalio yote mawili ili usiwe unakaa uwe unalala na kusimama tu
3.Ukikamatwa umepokea au kutoa RUSHWA
ukatwe vidole vyote vya mkono wa kulia ili mkono uwe kama mwiko.
4.Ukikamatwa kwa kosa la ubakaji ukatwe nyeti ili uwe mwanaume suruali
5.ukikamatwa kwa kosa la mauaji UTOBOLEWE macho ili usione mambo yanayoendelea duniani.
............na mengine mengi....
Hapo nchi ingekuwa shawri kabisa
sijui wenzangu mnazionaje hizi sheria?
ni mtazamo tu jamani.
 
Labda ije SHARIA
 
Back
Top Bottom