Kalapina ''nabii koko'' na maneno yake mmh!

Kalapina bonge la mdini,naona siku izi ameamua kujiweka wazi.eti sasa ivi anafanya harakati za kupambana na ukatoliki!
Msikilize tungo zake kwenye ngoma yake mpya "vatican ndio wanaotuchagulia viongozi"..kuna mstari mwingine anasema "sili nguruwe wala siabudu sanamu" sikiliza kwa makini 'mstari wa mbele' na 'umoja ni nguvu' utanisoma..
Ana misimamo ya kitoto sana ndio maana anaongoza kundi ambalo halipo'kikosi cha mizinga' kwenye kundi kabaki ye na mkewe tu Mau,machizi wote wamemkimbia hadi mwanae Msemakweri...

huyo kalamavi sijui kalapima yupo adicted na drugz pamoja na MADRASA we unadhani akilizake zitakuwa sawa kweli? anasema haabudu sanamu mbona yeye anamuabudu mungu wa mwezi "ALLAH" pamoja na mfanyabiashara wa kiarabu ambaye pia alikuwa ni mchunga punda na ngamia a.k.a mtume mohamad,anadhani nguruwe pekee ndo haramu lakini mabangi anayoyavuta ni HALALI....kwanza hana msimamo ndo maana ameolewa bila posa na WAFU FM
 
kalapina ni msanii kama wasanii wengine wa bongo. Tatizo lake ni mbaguzi, hawapendi wasanii wengine kutoka mikoa mingine tofauti na dar es salaam. ndo maana no2nako walipo kuja aliwafukuza pale morocco alikuwa anawafanyia fujo hadi wakahamia namanga pale samaki napo akawa anaenda na mob yake kuwafanyia fujo. baada ya hapo akaanza kumpiga vita rado eti katoka mwanza. yeye anasema watu wa mkoa ndo wanao haribu hiphop. anawaita wakuja, so hawataki dar es salaam. hahaa...!! mjamaa kama hazimo vile. Mia
 
Huyu jamaa ni mtu wa kawaida tu anahangaika na maisha na ile style ya kuleta undava kwa clouds ilikuwa ni style na umri wake nadhani ndiyo ulimfanya afanye yale, kwani ni njia mojawapo ya kufanikisha yale ayatakayo ambayo ni kupigiwa ngoma zake bila ya kutoa kitu kidogo, muhimu kama kuandika barua ya kuomba msamaha kwa kosa alilofanyiwa litaweza kufanya apigiwe ngoma zake bila ya kutuma tuma hela ya simu na posho za hapa na pale, basi aendelee nadhani ametumia ile ya UKIONA HUWAWEZI UNGANA NAO. Pamoja na yote Mzee wa kikosi umeleta usaliti tu hapo ukomavu 0%.
 
Show yake hata bure siwezi kwenda. Ni psychopath huyo jamaa. Failure wa muziki wa bongo ambaye yuko stressed kuona vijana wadogo wakikamua na kutoka kimziki
 
anatumia nguvu nyingi sana kuimba upuuzi.
nadhani kabla ya kuingiza vocal huwa anakunywa vladimir na makushabu ya kutosha.

sasa wewe daudi kinega ... hapo kwenye red album ya matusi ya anti virus utaitaje..???!
 
Dogo Mwanaharamu,
Kalamu inamwaga Damu,
Nakuacha mweupe kama Mkorogo,
Chata ka' wagogo,
Wabongo acheni nyodo,
Wote mnakula Hongo,
Na hivi hii ni Serikali,
Sera ya mbali,
Au sera ya zamani kwa mbali,
Tunapokwenda pana zali,
Vichaa wangu walume, wanyaka hiyo hali,
Tujifunze tujitume,
Mwisho wa mwezi tuvune,
Kama hujipendi njoo nichune,
Kila mjuba sasa kivyake.
Na hivi nina dhiki,
Nikipata karatasi,
Wino hutoka kwa kasi,
Kwa haya nina wasiwasi,
Kiu ya jicho,
Ulichonacho ndicho ulicho,
Tokea '77 wabongo wamefunga mkanda,
(Kudadeki)
|
Sijui kwanin haya mashairi ya Hashim hayabanduki kichwani mpaka leo hii!!!

Hiyo inaitwa 'Shadows of the Dark Destiny', huu wimbo nauchana mpaka keshokutwa!
 
Kalapina na Hashim Dogo walimfanyia kitendo kibaya sana Salu T, Salu T ndio alioandika ngoma yote ya Tunasonga,nyimbo ambayo inaibeba Kikosi mpaka kesho...awa jamaa walimzunguka na kwenda kurekodi peke yao ile ngoma kwa Majani..

Acha maneno mbofumbofu wewe, unamjua Hashim wewe? I respect Salu T, ila Chunga sana, Dogo Hashim ni mwanaharamu!
 
Mkuu sikubaliani na wewe kuwa Hashim Dogo ni mdini, ninavyoelewa na ninavyomuelewa ni kuwa anaamini dini yake na wala haingiliii imani ya mwenzake na toka nimfahamu sijaona elements zozote za kidini alizoonyesha kwa washkaji wake walio na dini na sisi tusio amini mungu.. Anaamini kivyake na anaheshimu dini nyingine angekuwa mdini asingeoa hata huyo mke wake mzungu. He is SMART mbaya na hilo namkubali...

Umenena vyema. DOGO SIO MDINI. And he is a genius!
 
Acha maneno mbofumbofu wewe, unamjua Hashim wewe? I respect Salu T, ila Chunga sana, Dogo Hashim ni mwanaharamu!

namfahamu sana Hashim,na namkubali sana mchizi ni jiniaz..ila ndio ukweri kuhusu ngoma ya Tunasonga,mwandishi ni Salu T..btw,kuna ngoma kama 'ndio mzee','alikufa kwa ngoma','mwanafalsafani the album' na nyingi tu zina ishu km iyo.
 
Pina-.jpg

mia
 
Hiyo inaitwa 'Shadows of the Dark Destiny', huu wimbo nauchana mpaka keshokutwa!
Mwana siku yangu leo itakua imekwenda poa kama utaniwekea koras ya huu wimbo,
Nilijaribu kuisikilizia nikaishindwa mwisho nikaishia kutunga ya kwangu.
Ila kama unauchana huu wimbo, we utakua ni mdau mkubwa wa old-skul
 
namchokubali PINA ni kujivunia ukinondoni wake na uislamu wake bila kificho!!!!!!!sidhani kama wasanii wengine wamekatazwa kujivunia walipotoka au imani zao!!!!
 
Peace kwa vinega kwa kila movement mnayofanya.Mzuka sana kwa Umbwa Lotuno kwa kujiunga vinega. Itakuwa fresh kama utamfundisha Pina hip hop, nakumbuka track yako ya si lazima uliposema, "Hip hop ni Mwanza na Arusha,dar mnatuyeyusha, mara maemsii mashoga, maemsii waoga, battle kwa sana mpaka Hip hop irudi,msitetereke kama wakurdi". Pa1 sana vinega!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom