Kakobe aongoza wimbo wa kumpongeza Rostam Aziz

canaan

Member
Mar 1, 2008
46
6
Kuna habari kuwa kwenye ibada ya jumapili iliyopita Askofu Kakobe aliwaongoza waumini wake kuimba 'Rostam oyee!Rostam oyee! Hii nikwasababu Rostam Aziz alijitokeza wazi wazi kupinga dawa ya babu wa LOliondo; Source msemekweli la jumapili hii
 
Who is he anyway!
  1. Aliwahi kusema Mreama atakuwa Rais...na hakuwa
  2. Alisema umeme wa TANESCO hautapita mbele ya kanisa lake....na ukupita
  3. Anadai kutibu waumini wake.......hawatibiki na sasa wamekimbilia kwa babau
 
hata mm nngeimba pia! Kwn alchkosea RA ni nn? Km ndguze hawajpona kwl aseme wmepna? Co wte wanaoknyw dawa ya babu wanapona! Huo ndo ukwel!
 
Kuna habari kuwa kwenye ibada ya jumapili iliyopita Askofu Kakobe aliwaongoza waumini wake kuimba 'Rostam oyee!Rostam oyee! Hii nikwasababu Rostam Aziz alijitokeza wazi wazi kupinga dawa ya babu wa LOliondo; Source msemekweli la jumapili hii

Mchawi tu huyo. Kaishiwa.
 
hata mm nngeimba pia! Kwn alchkosea RA ni nn? Km ndguze hawajpona kwl aseme wmepna? Co wte wanaoknyw dawa ya babu wanapona! Huo ndo ukwel!

kama huna imani utaponaje?babu anakwambia lazima uwe na imani ndio upone.we unakurupuka na mahirizi yako unategemea utapona!!!!
 
kwa hyo alchosema RA ni sahihi na inabd aambiwe kuwa hao ndugu zake hawakuw na iman! Mm ckubalian na wa2 wanaosema et kila alyekunyw dawa ya babu amepna maradh yake. Iman ni k2 cha kwnz then dawa ya babu ndo ifwate. Ntake radh ndg yng cz cjawah / ctarajii kuvaa hiriz maishan mwngu! Namwamin Mungu m1 tu. Kuvaa hiriz ni kukosa Iman kwa Mungu wangu so cwez vaa kamwe!
kama huna imani utaponaje?babu anakwambia lazima uwe na imani ndio upone.we unakurupuka na mahirizi yako unategemea utapona!!!!
 
kwan hao ndg zake nao ni mafisad? Ina mana wte wanaopna roho zao ni nyeupe km theluj? Hawana dhamb kbsa? Au dhamb ya Ufisad 2 ndo mbya kulko zote? Iman ndo ya muhm zaid. Zamb zko utatub ukshapona1
Pia hawajatubu na kujutia dhambi ya ufisadi.
 
Kama imefika wakati akina Rostum wanaimbwa makanisani - basi jeuri ya pesa itatumaliza!
 
Achani kuwasema watumishi wa bwana ovyo tena bila ya kuwa na uwakika. Wengine ni ma agent wa shetani wanaleta habari humu ili watu waingie kichwa kichwa na kuropoka wanajua kuwa watapata laana na ndiyo hicho wanakitaka.

Mambo ya watumishi ni heri ukae kimya kuliko kuingia kichwa kichwa. nitaleta verse kukazia hii topic ngoja nikae kwenye concodance yangu!
 
hata mm nngeimba pia! Kwn alchkosea RA ni nn? Km ndguze hawajpona kwl aseme wmepna? Co wte wanaoknyw dawa ya babu wanapona! Huo ndo ukwel!

Message yako imekaa kama ya darasa la nne tulipoanza kuandikia wino bila mbinu ya kuufuta.

Sweetlady, kuna option ya ku-edit kama unakosea kuandika.
 
hata mm nngeimba pia! Kwn alchkosea RA ni nn? Km ndguze hawajpona kwl aseme wmepna? Co wte wanaoknyw dawa ya babu wanapona! Huo ndo ukwel!

Ulitegemea Mafisadi wapone????, Babu aliweka wazi wasioenenda sawa hawatapona...
 
hata mm nngeimba pia! Kwn alchkosea RA ni nn? Km ndguze hawajpona kwl aseme wmepna? Co wte wanaoknyw dawa ya babu wanapona! Huo ndo ukwel!

Dadangu tukianza kuimba watu makanisani tutaweza kweli??
Maana wa kuwaimba wapo wengi sana, kanisa ni mahli pa kumwabudu na kumsifu Mungu unless matumizi yamebadilika.

Bila kujali alichosema RA wala tuhuma za ufisadi juu yake hata angekuwa Kadinali Pengo bado hakupaswa kuimbwa kanisani.

NB: Maelezo yangu ni halali iwapo tu waliimba !
 
Back
Top Bottom