mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,374
- 3,891
- Thread starter
- #21
Katika sababu alizokupa hata moja haiingii akilini, wanajuwana hao.
sawa bibi angalau umeona kama mimi
Katika sababu alizokupa hata moja haiingii akilini, wanajuwana hao.
Mnapenda kushikiwa akili
Yaah mie siwez kuoa kwao na wao hawaez kuoa kwetu.heeeeeeee na wewe washikaji zako watakubania