Kaka Yangu ana Kipaji cha ajabu kwa wasiozaa

Huyo bro wako ni noma-kichaa, ni hospitali pekee ndipo anaingia kila mtu lkn kuutumia mwili wako kwa kila mtu ni ugonjwa
 
Naomba unitumie namba zake za sim kuna binti wa miaka 65 hajawai zaa,akimsaidia kwa hilo ameahidi kumpa donge nono.
 
Sijui nikiite kipaji au nguvu au balaa .....

Kaka yangu wa kuzaliwa ana miaka 38 hajaoa, ana watoto wengi tu. Kaka yangu huyu amekuwa akizaa na wanawake wagumba au matasa kwa watoto wake wote.

Mtoto wa kwanza alizaa na mwanamke wa miaka 41 ambaye aliachika mara 4 kwa kukosa mtoto, na yeye pasipo kujua kuwa ana hicho kipaji alitembea na huyo dada na yule dada akapata ujauzito na kuzaa mtoto wa kiume. Alitaka waoane ila kaka yangu alikataa akasema kuwa huyo mama ni mkubwa kwake. Yule mama aliolewa na hajazaa tena mpaka leo.

Haikuishia hapo yule dada aliadisia marafiki zake ambao walikuwa hawapati mimba na kutokana na huruma ya kaka yangu akawa anawapa mbegu na wote wamepata watoto wa kiume.

Kisayansi sijui inakuwaje hapo.....

Mkuu hapo sio kipaji wala nini..hao wanawake sio wagumba mkuu..mgumba ni mwanamke asiye zaa. Kama hawakuzaa kwa muda mrefu huwezi kuhitimisha kuwa ni wagumba ila hawakupata damu inayoendana nao au wanaume waliokuwa nao nao wana matatizo..mwambie kakayo asiendeleze hako" ka kipaji" katamwondoa karne hizi si zile za kuchapa kavu kwa ufahari kuwa unaweza kuzalisha..muonye..hao watoto anaozaa na wanawake ambao hajawaoa anawapa mateso bure..atulie aoe na akae na mwanamke atakae zaa nae mpaka kipaji chake chote kiishe!
 
nina dada yangu nadhani atahitaji hiyo huduma yake......! how do i get to him for the business talk!?
 
Mkuu hapo sio kipaji wala nini..hao wanawake sio wagumba mkuu..mgumba ni mwanamke asiye zaa. Kama hawakuzaa kwa muda mrefu huwezi kuhitimisha kuwa ni wagumba ila hawakupata damu inayoendana nao au wanaume waliokuwa nao nao wana matatizo..mwambie kakayo asiendeleze hako" ka kipaji" katamwondoa karne hizi si zile za kuchapa kavu kwa ufahari kuwa unaweza kuzalisha..muonye..hao watoto anaozaa na wanawake ambao hajawaoa anawapa mateso bure..atulie aoe na akae na mwanamke atakae zaa nae mpaka kipaji chake chote kiishe!

Long time bro. Nashukuru kwa maelezo yako na ya Voice of reason naona kuna element za ukweli. Nachoeleza hapa sio utani ni ukweli kabisa.

Kutokana na ilivyozoeleka kuwa mara nyingi wanandoa wakipata tatizo la kupata mtoto ana anza kunyooshewa kidole ni mwanamke, inawezekana si ajabu walishinikizwa kupimwa na waume zao wenye matatizo wakiachwa bila kuchekiwa.

Sisi tumemshauri atulie na amue kutulia na mmoja aliyezaa nae wajenge familia.
 
the lats time i checked
nguli ni mwanaume na wewe ni mwanaume.au????????

Mkubwa achana nae huyo alikuwa anahojiwa leo asubuhi kwenye kipindi cha leo tena alivyotoroka mwanza na kuja kuendeleza biashara yake dsm
 
mbona mambo hayo yapo jaribu kutembea na bila shaka uyo jamaa katokea ktk jamii ya wafugaji.
Nikweli nimetokea jamii ya wafugaji na chakula yangu ni nyama, maziwa na kichuri ya utumbo mdogo pamoja na ugali.NGULI bwana mdogo mbona unanitatangaza tena humu jf?anyway km kuna mtu anahitaji hyo service anipm,mana nguvu hiyo nimepewa na MUNGU bure so sina sababu ya kutoitoa bure...karibuni sana.
 
Sijui nikiite kipaji au nguvu au balaa .....

Kaka yangu wa kuzaliwa ana miaka 38 hajaoa, ana watoto wengi tu. Kaka yangu huyu amekuwa akizaa na wanawake wagumba au matasa kwa watoto wake wote.

Mtoto wa kwanza alizaa na mwanamke wa miaka 41 ambaye aliachika mara 4 kwa kukosa mtoto, na yeye pasipo kujua kuwa ana hicho kipaji alitembea na huyo dada na yule dada akapata ujauzito na kuzaa mtoto wa kiume. Alitaka waoane ila kaka yangu alikataa akasema kuwa huyo mama ni mkubwa kwake. Yule mama aliolewa na hajazaa tena mpaka leo.

Haikuishia hapo yule dada aliadisia marafiki zake ambao walikuwa hawapati mimba na kutokana na huruma ya kaka yangu akawa anawapa mbegu na wote wamepata watoto wa kiume.

Kisayansi sijui inakuwaje hapo.....

Duhh kaka ako ana bahati sana kwa kuwamimbisha wasio zaa ngoja nitafute wa mama wanao zeeka na wanatafuta watoto hawapati nimletee kaka ako agawe mbegu.
 
your brother is a living legend...
can I have his phone number please...

Kwa ruhusa yake nita wa PM no. Watu wote mtakaohitaji hio huduma. Katika makubaliano yenu kupima afya zenu iwe priority.
 
Back
Top Bottom