Kaka Yangu ana Kipaji cha ajabu kwa wasiozaa

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Sijui nikiite kipaji au nguvu au balaa .....

Kaka yangu wa kuzaliwa ana miaka 38 hajaoa, ana watoto wengi tu. Kaka yangu huyu amekuwa akizaa na wanawake wagumba au matasa kwa watoto wake wote.

Mtoto wa kwanza alizaa na mwanamke wa miaka 41 ambaye aliachika mara 4 kwa kukosa mtoto, na yeye pasipo kujua kuwa ana hicho kipaji alitembea na huyo dada na yule dada akapata ujauzito na kuzaa mtoto wa kiume. Alitaka waoane ila kaka yangu alikataa akasema kuwa huyo mama ni mkubwa kwake. Yule mama aliolewa na hajazaa tena mpaka leo.

Haikuishia hapo yule dada aliadisia marafiki zake ambao walikuwa hawapati mimba na kutokana na huruma ya kaka yangu akawa anawapa mbegu na wote wamepata watoto wa kiume.

Kisayansi sijui inakuwaje hapo.....
 
Kaka yako alikuwa akiwapa hao wanawake dawa ya ugumba ili wasizae, kisha yeye kuwapata kiulaini
 
Hii kampeni uliyoamua kumfanyia Bro 'ako ni baab kubwa arifu!
 
Sijui nikiite kipaji au nguvu au balaa .....

Kaka yangu wa kuzaliwa ana miaka 38 hajaoa, ana watoto wengi tu. Kaka yangu huyu amekuwa akizaa na wanawake wagumba au matasa kwa watoto wake wote.

Mtoto wa kwanza alizaa na mwanamke wa miaka 41 ambaye aliachika mara 4 kwa kukosa mtoto, na yeye pasipo kujua kuwa ana hicho kipaji alitembea na huyo dada na yule dada akapata ujauzito na kuzaa mtoto wa kiume. Alitaka waoane ila kaka yangu alikataa akasema kuwa huyo mama ni mkubwa kwake. Yule mama aliolewa na hajazaa tena mpaka leo.

Haikuishia hapo yule dada aliadisia marafiki zake ambao walikuwa hawapati mimba na kutokana na huruma ya kaka yangu akawa anawapa mbegu na wote wamepata watoto wa kiume.
Kisayansi sijui inakuwaje hapo.....

mmh! Labda kuna uhusiano na ishu za blood group!
 
Ili uweze kuzaa ni lazima usahau condom, hivyo siku akija kuwaambia kuwa ni mgonjwa msishangae ni kutokana na unoma wake huo?
 
Kama hii story yako ina-ukweli basi hii ndio explanation....:-
Mwanamke alietembea nae kwanza alikuwa na uwezo wa kuzaa bali bwana wake ndio alikuwa hana uwezo..; hivyo basi baada ya kutembea na kaka yako ambae sio tasa akapata mimba baada ya hapo bwana aliemuoa tena na yeye akawa hana uwezo wa kumpa ujauzito (its possible na probability ipo..)

Baada ya hapo ikawa rahisi sababu advertisement zikawa zinawafikia wale ambao hawawezi kuzaa katika ndoa zao na kama yeye analala nao kama 20 basi uwezekano mkubwa kwamba 8 kati ya hao waume zao ndio wakawa hawana uwezo na yeye sababu anao basi ndio inaonekana kabisa kwamba ana nguvu za ajabu....

........ Hii ndio reasonable explanation..., kama kuna ukweli na hadithi yako lakini..
 
kaka yako anajua kuwa majeneza yamepanda bei?isijetia watu hasara kwenye mchango wa mazishi?mana kwa staili iyo ukimwi hautamwacha
 
Back
Top Bottom