kaizer you are great......................!

Sasa love ukining'oa meno ile love bite nnayokugongea itakuwaje tena. Fikiria adhabu nyingine honey. Au navokung'atang'ata shingoni huwa husikiagi raha? Basi ntaacha.
huo mchezo wa kukagua wajukuu mie siupendi bwana, aku naona wivu ati, kama vipi mie nitapisha niepushe msongamano kha!
 
Last edited by a moderator:
Nipo cacico...!
Kidogo mambo yananibana ila kwa kuchungulia niponipo sana tu!
Vipi we mzima?
Miss you sana!
pole ndiyo sifa ya kidume yeyote, kuhangaika! mzima mimi nipo napambana na huyu babu mkaguzi, and u knw what i miss u too mod wangu wa chit chat! morning guys, its realy another day!
 
mmmhh usije kagua ukapitiliza! mwahh my Asprin, morning love!
Oh! My cake, come this way...

attachment.php
 
pole ndiyo sifa ya kidume yeyote, kuhangaika! mzima mimi nipo napambana na huyu babu mkaguzi, and u knw what i miss u too mod wangu wa chit chat! morning guys, its realy another day!
Hehehehee another day meeeeen! cacico upo?
 
Last edited by a moderator:
Goodmorning Asprin na Erickb52 . Sihitaji tena ukaguzi, nimeambiwa ni hatari kwa afya. Naweza nikadrive bila licence ukizingatia we babu unakagua wengi na we erick ni mkaguzi denti ila wataka upate phd kabla ya wakati.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom