kaizer you are great......................!

mi nawe ni wasiri wa moyoni! hakuna kitakachotutia dosari, wakwao tutashare kwa sana tu, ila wa kwetu kila mmoja na hogo lake la jang'ombe! nimemmiss babu yangu Asprin isijekuwa yupo likizo tena kha! safari hii maandamano yataanzia viwanja vya leaders via 'safe house' ambapo mod husika atakula kichapo na kung'olewa macho na ulimi kwa plaiz, then haooooooo mpaka mabwepande mwe! ila magamba kiboko kha!

na hii ya kushare ndio stail ya mjini hasa kwetu siye ma gwiji ya jiji. wacha matani ban inauma lolest nahis sasa huyu Asprin kakona aisee. huyu mod ni wa kumpeleka huko mabwepande this time kwenye safe house tunaingia na ng'e(scorpion) kabisa box zima sisi wala hatuna haja ya kumpa kipondo hawa nnge wamshuhulikie na si unajua uchungu wake mpaka ni masaa 24?
 
Last edited by a moderator:
afu gfsonwin, tunaandaa lini 'Welcome Party' ya Asprin?

Kifungoni pasikieni tu, panaboa mno.

hii tuandae ijumaa ndo siku nzuri ili hadi j1 watu andelee kupotezea uchovu. na venue itabidi iwe nyumbani lounge, pako decent sana kwa watu wa rika zote au weye wasemaje?
 
yeah, nataka nimkumbushie asprin siku hiyo.

Afu ndo niwaachie nyie.

hii tuandae ijumaa ndo siku nzuri ili hadi j1 watu andelee kupotezea uchovu. na venue itabidi iwe nyumbani lounge, pako decent sana kwa watu wa rika zote au weye wasemaje?
 
Akha!
Wala sipo huko ulikopeleka mawazo yako.
Naskia raha sana na hzo pea pea zilivyomatch.
Maisha ndo haya bhana.

Ila

wala miye mawazo hayaja enda kokote but naona kama unanionea gere vile. weye mdogo wako ni nani? miye ninao watatu na mtoto mmoja wa humu jamvini.

mwanangu wa moyoni ni Ronn M, wadogo ni Excellent Smile Eiyer. Nawaheshimu na kuwapenda tuache masihara ya chit chat. ni ukweli
 
Last edited by a moderator:
hapana bwana ma lito bro Excellent, ninyi nawaheshimu sana na nawapenda sana, sitaki niwakuze b4 your time. so waambie Smile Eiyer na mwanangu mpenzi Ronn M kuwa nawapenda sana na ipo siku nitawaandaalia mtoko wenu mzuri zaid. your sis loves you ema..........
My sis gfsonwin sasa ina maana na sisi tuwe tunajiwekea party bila kukualika?
 
Last edited by a moderator:
My sis gfsonwin sasa ina maana na sisi tuwe tunajiwekea party bila kukualika?

point yangu hapa mdogo ema, wangu mpenzi ni kwamba, mida mingine dada anahitaj privacy and akiwa na ninyi hawez kuipata after all atawavunjia heshima. siyo kwamba siwapendi wala sitaki kuwapeni raha hapana bali nalinda zaid heshima mdogo wangu. You are the most people i respect in jf and at any point sitaki kuwavunjia heshima.

jamani hivi unajua kupendwa? na thamani ya upendo na heshima kwa mtu ambaye ni dada yako? may be siwez kujieleza vizuri but Bishanga naomba uwaeleze jamani,wanielewe. mimi nawapenda sana na kuwaheshimu and am there for them, bt huku kwenye mambo ya magumegume sipendi niwakuze.
 
Last edited by a moderator:
Madame B njoo tuenjoy wangu maisha yenyewe matatizo kibao na starehe za kubip

ma lito bro Excellent, from where we have come how dare you confess such a thing? kweli waweza kusema maisha ni matatizo kibao? yaani na kukufunza kote madhara ya kuwa na n-ve perception bado tu? mboona kama hataa huyu Madame B mwenyewe unamuitia matatizo?

like nimekugongea si kwamba umenikosha bali umenifanya nimeji evaluate juu ya kazi yangu kwako. yaani nimeshaona my weakness katika ualimu wangu kwamba sija deliver kama nilivyo tarajia.

Life is full of happiness ma dearset ishu ni how to get that happiness basi.
 
Last edited by a moderator:
wapenzi wa chit chat habari za asubuhi.

This morning napenda kumpa big up ma swtlo Kaizer kwa kazi nzuri aliyoifanya hadi babu yetu Asprin akafunguliwa huko jela.

Its true Kaizer you are good and strong ever. Ndio maana miye kulala pasi kukupa dose siwez manake unanikosha kila engo aisee.

Pia naomba nitangaze bifu kwa wote ambao wataanza ama waalioanza kukumendea kwa kazi nzuri hasa BADILI TABIA Catherine cacico sweetlady Lily Flower waambie kabisa kuwa nimejiunga boxing club so salam zao zote zipitie hapa kwangu and not otherwise.

Welcome babu and good job my hubby, wa kumoyo, ma swtlo my nyongo mkaa na ini, my kope mfunika jicho, my msiri, my mwandani my godoro, my blanketi my wa raha zangu............. Kaizer

woooooooooow this coming from you swtlo gfsonwin am sooooooooooooooo humbled! nimefurahije sasa?

hata hivyo ilikwua imeandikwa babu ODM atakufa na siku hiyo hiyo atafufuka kutoka kuzimu

Nawashukuru sana wana chit chat waandamizi, Kongosho, u r so special and u were instrumental katika kuhakikisha anatoka, kuandamana uchi chuku chuku na Judgement sio kazi ndogo, lile tamko lingeleta zahama kama lingetolewa
Madame B, mkwe cacico, BADILI TABIA, Erickb52 mdogo wangu (aliacha kupiga ndovu) Pombekali, platozoom, ODM, Mazandu, mjukuu mupya Catherine wote mlishiriki kikamilifu, na busara za Invisible zikamwachia Asprin HUKO ALIKO
gfsonwin baby am so thankful tufurahi pamoja and i can imagine candle nite itakuwa sio mchezo leo, wadogo zako Excellent na Eiyer na Smile waje tu ila watakuwa na sehem yao maalum ya kukaa.
 
Last edited by a moderator:
uwiiiii gfsonwin umejuaje kuwa Kaizer mkweo ni wa kushukuriwa kwa kweli, my dear umeona mbali! nimepungua uzito kwa ajili ya uhamisho wake wa jana, wanted to run mad kabisaaaaa! japo ni mume wa BADILI TABIA lakini tutabanana hapo hapo, anayeona kabanwa apishe wengine tuendelee! mkwe Kaizer kudos to u! Kongosho aliandaa party jana sijui inafanyikia wp?? nitahudhuriaje sasa?

Honey si wajua lupango tulikuwa tunafakamia haya makitu?

DSC00823.JPG

Sasa leo jiandae basi tutoke, nshaweka booking pale Giraffe Hotel tukajichane niongezamo nguvu asee. Staki kukunyima ile raha uitakayo bana. Si wajua nlizaliwa kwa ajili yako?

7-28%20Samousa,%20pondu,%20fufu,%20plantain%20&%20other%20African%20food_JPG.jpg

DSC00821.JPG

Afu tukitoka..... tukamate mkoko wetu

2403611153_7fcfea9c95.jpg

Tuala maraha kwa raha zetuuuuu.
 
woooooooooow this coming from you swtlo gfsonwin am sooooooooooooooo humbled! nimefurahije sasa?

hata hivyo ilikwua imeandikwa babu ODM atakufa na siku hiyo hiyo atafufuka kutoka kuzimu

Nawashukuru sana wana chit chat waandamizi, Kongosho, u r so special and u were instrumental katika kuhakikisha anatoka, kuandamana uchi chuku chuku na Judgement sio kazi ndogo, lile tamko lingeleta zahama kama lingetolewa
Madame B, mkwe cacico, BADILI TABIA, Erickb52 mdogo wangu (aliacha kupiga ndovu) Pombekali, platozoom, ODM, Mazandu, mjukuu mupya Catherine wote mlishiriki kikamilifu, na busara za Invisible zikamwachia Asprin HUKO ALIKO
gfsonwin baby am so thankful tufurahi pamoja and i can imagine candle nite itakuwa sio mchezo leo, wadogo zako Excellent na Eiyer na Smile waje tu ila watakuwa na sehem yao maalum ya kukaa.

my sis gfsonwin tushapata ruhusa
 
Last edited by a moderator:
ma lito bro Excellent, from where we have come how dare you confess such a thing? kweli waweza kusema maisha ni matatizo kibao? yaani na kukufunza kote madhara ya kuwa na n-ve perception bado tu? mboona kama hataa huyu Madame B mwenyewe unamuitia matatizo?

like nimekugongea si kwamba umenikosha bali umenifanya nimeji evaluate juu ya kazi yangu kwako. yaani nimeshaona my weakness katika ualimu wangu kwamba sija deliver kama nilivyo tarajia.

Life is full of happiness ma dearset ishu ni how to get that happiness basi.
My sis gfsonwin wala usijali jamani,i'm just speaking kinyume
 
Last edited by a moderator:
ma lito bro Excellent, from where we have come how dare you confess such a thing? kweli waweza kusema maisha ni matatizo kibao? yaani na kukufunza kote madhara ya kuwa na n-ve perception bado tu? mboona kama hataa huyu Madame B mwenyewe unamuitia matatizo?

like nimekugongea si kwamba umenikosha bali umenifanya nimeji evaluate juu ya kazi yangu kwako. yaani nimeshaona my weakness katika ualimu wangu kwamba sija deliver kama nilivyo tarajia.

Life is full of happiness ma dearset ishu ni how to get that happiness basi.

gfsonwin clm dwn.
Life iz lke'a Sch'thngs ,whch dvded into small partcz.

But mda flani Yes,
other side No.
Ila linapokuja suala la Enjoying,
Inabid 2forget evrythng,na tu-relax.

Maisha kweli ni mafupi,ila ndo hvo gfsonwin.
Excellent,yuko Right kwa upande wangu Beibe gfsonwin.
 
Last edited by a moderator:
na hii ya kushare ndio stail ya mjini hasa kwetu siye ma gwiji ya jiji. wacha matani ban inauma lolest nahis sasa huyu Asprin kakona aisee. huyu mod ni wa kumpeleka huko mabwepande this time kwenye safe house tunaingia na ng'e(scorpion) kabisa box zima sisi wala hatuna haja ya kumpa kipondo hawa nnge wamshuhulikie na si unajua uchungu wake mpaka ni masaa 24?
gfsonwin akili zetu zinafanana, umejuaje??? yaani ni nge na akitoka hapo hakuna kwenda kumuomba mtu, ni kujichukulia madaraka mkononi na kumfungulia Asprin kha!
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin clm dwn.
Life iz lke'a Sch'thngs ,whch dvded into small partcz.

But mda flani Yes,
other side No.
Ila linapokuja suala la Enjoying,
Inabid 2forget evrythng,na tu-relax.

Maisha kweli ni mafupi,ila ndo hvo gfsonwin.
Excellent,yuko Right kwa upande wangu Beibe gfsonwin.
Madame B ila si kweli starehe zenyewe za kubip
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom