kaizer you are great......................!

mi sio hatari ila nyie mnatisha. Nawaachia wajukuu wengine mkague. Kwanza mi ni lijibibi la miaka 90. Mabibi nao twakaguliwa?
Hahahahaaaaa hapa wote ni wajukuu tu
Sisi ni wazee zaidi ya wote
Ila mbona Kaizer kakukagua?
Sisi hicho ndio kimetuuma na tumeamua kukuanzishia mgomo wa kukukagua
Sawa Catherine ?
 
Last edited by a moderator:
Hata sisi tumrgundua wewe ni hatari
Tumesimamisha ukaguzi kwako hadi further notice

Tena huyu Catherine ni hatari kama hii makitu....

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Goodmorning Asprin na Erickb52 . Sihitaji tena ukaguzi, nimeambiwa ni hatari kwa afya. Naweza nikadrive bila licence ukizingatia we babu unakagua wengi na we erick ni mkaguzi denti ila wataka upate phd kabla ya wakati.
Goodmorning Catherine..... Samahani natoka kidogo na cacico, nikirudi tutaendelea na mazungumzo kama ataniruhusu.

article-1369974-0B5523CE00000578-516_468x775.jpg
 
Last edited by a moderator:
mie mzima my dear, mihangaiko tu ya hapa na pale ndo imenibana, natumaini upo powa....
Yeah niko poa kabisa pole kwa maisha...!
Siunajua ndio wajibu kuhangaika watoto wapate lishe?
Poa just missing kiukweli..!
Ngoja niotee kwa muda!
See you BADILI TABIA eeeh
 
Last edited by a moderator:
Oh! My cake, come this way...

am here papito! leo nataka ukague mpaka ukinai, naona hapo kwenye pic ukaguzi umeanzia kwenye masaburi, lolest!
 
Hivi we BADILI TABIA utamalizana lini na cacico ugomvi wenu? Nshawaambieni nyie ni wake zangu na nawapendeni....chondechonde...


kha! haya bana! mwisho nitatoka niepushe mbanano! bado nadai ati ebo!
 
Niko bize na cacico tunataka kufuata nyayo za hawa watu. Mzima kabisa swahiba. Nipe mchakato wa Catherine umeishia wapi?


na huyo Catherine kakukaa!!! ole wao wafuatao nyao za simba!
 
Last edited by a moderator:
Madame B you are conspicuously philosophical today....my observation lol

Kaizer,
am hr to all fnz,
wanao-dspnt'tz othr...!!!
Mst 2 cncrtly's all.
Ila Vocbly 2dfclt 2thnk.
I thnk iko Scntfc and obsrv more.
Thank 2'c that.::-(
LOOOOOOOL...EST!!!
 
Last edited by a moderator:
Kaizer,
am hr to all fnz,
wanao-dspnt'tz othr...!!!
Mst 2 cncrtly's all.
Ila Vocbly 2dfclt 2thnk.
I thnk iko Scntfc and obsrv more.
Thank 2'c that.::-(
LOOOOOOOL...EST!!!


hebu kuja PM Madame B maana naona hapa kama kiarabu?!!:sleepy:
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom