kaizer you are great......................!

hebu subiri kidogo hommie....unamfahamu Madame B?
Simjui hommie... ila naogopa manake kuna dalili mbaya anga hizo...

25614_103947576313883_100000959239689_32280_7408643_n%5B1%5D.jpg
 
wapenzi wa chit chat habari za asubuhi.

This morning napenda kumpa big up ma swtlo Kaizer kwa kazi nzuri aliyoifanya hadi babu yetu Asprin akafunguliwa huko jela.

Its true Kaizer you are good and strong ever. Ndio maana miye kulala pasi kukupa dose siwez manake unanikosha kila engo aisee.

Pia naomba nitangaze bifu kwa wote ambao wataanza ama waalioanza kukumendea kwa kazi nzuri hasa BADILI TABIA Catherine cacico sweetlady Lily Flower waambie kabisa kuwa nimejiunga boxing club so salam zao zote zipitie hapa kwangu and not otherwise.

Welcome babu and good job my hubby, wa kumoyo, ma swtlo my nyongo mkaa na ini, my kope mfunika jicho, my msiri, my mwandani my godoro, my blanketi my wa raha zangu............. Kaizer
gfsonwin huku Tandahimba na huko mliko wapi na wapi, zamu yako dada raha jipe mwenyewe, Kaizer when is the next flgiht to Tandahimba? you better be on board otherwise ...............
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom