Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

Prosija ni kama zipi Sasa za kuchukua tuvae barakoa au tuepuke mikusanyiko au tunawe mikono au vip sijaona kabisa watu wakizungumzia jinsi ya kujikinga .
 
Vita bukoba ukimwi bukoba tetemeko bukoba sasa apo unabisha vipi kama hamna laana
Sidhani kama ni sahihi kuwaza hivi.

Watu wsmepoteza maisha huko. We need to cross out hands kuwaombea na pia kuomboleza pamoja nao.

This mockery haitufikishi kwenye ushindi wowote
 
Back
Top Bottom