Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,633
Sisi wenye nchi tupo nyie wakimbizi tuachieni nchi yetu tutawakomesha tu hawa majangili.Nchi haina mwenyewe hii
Sisi wenye nchi tupo nyie wakimbizi tuachieni nchi yetu tutawakomesha tu hawa majangili.Nchi haina mwenyewe hii
Wahusika wote wanyongwe tu.
mapovu yanatutoka lakini serekali sikivu sisiem yaakina Mwigulu Nchemba kama haipo vile, sijui usikivu wake ukoje....?
Naona mnafukua makaburi tu!Makontena haya ya meno yaliishia wapi? na wahusika wako wapi?