Hapo hujataja mabarabara........Arusha - Babati - Katesh mpaka Singida..... Juzi nilitembelea Babati tokea Arusha tulipanda NOAH (townace). Huwezi amini yaani.....hakuna cha kolongo.... ni tambarare.....mkitaka kusema kitu muwe na uhakika, Reli inajengwa na nchi zote tatu, na mkutano wa kutafuta wawekezaji ulimalizika juzijuzi hapa hapa dar,reli hii inatarajiwa kupunguza muda wa kusafiri kutoka dar mpaka kigali na kua muda wa masaa sita tuu, maana reli itakua na standard gauge, speed 120,kulinganisha na ya sasa 20kmph ,huu ni mradi wa nchi tatu na sio rwanda peke yake, jiji la kigali linakua so do dar es salaam, huwezi kulinganisha kigali na dar, pia idadi ya watu wa rwanda na tanzania, ndo maana raisi alisema muache kupiga tuu domo, kasema tanzania ni kubwa na huu ukubwa una uzuri wake na ubaya wake, pia kasisitiza umeme unliovutwa kutoka mtera mpaka tarime ingekua nchi nyingine wangefunga hadi kwenye matendegu ya vitanda , na hizi barabara zetu ambazo ni zaidi ya 105, ingekua nchi nyingine zingfika hadi milangoni, watanzania wengi sijua kama mnajua nchi yenu inafanya nini, pamoja na kua ni taratibu lakini at least wanafanya, kuna mkongo kasema nyie watanzania mkitaka kulalamika , fikirieni kongo kwanza, mtakosa hata cha kulalamika, master plan ya kigani ni nzuri, wameanza kujenga lakini kakwambia nani dar haina vitu kama hivyo? Mchikichini heights, kigamboni city, makongo settlement, ambayo yatakua kama beverl hill marekani, na mengine mengi, yaani cha kushangaza ,mradi wa mabsi yaendayo kasi ushaanza kujengwa lakini mbongo anakuambia ni sanaa tuu hii, du, kweli, tutafika , kilimo kwanza ni kitu muhimu sana, yaani we umeona watu wanapiga domo na kilimo kwanza? Mafisadi wapo wanakwamisha uchumi lakini tunatakiwa tuwe na moyo wa kupongeza chichote kizuri kitakachofanywa,
Hivi, kuna faida gani ya kujilinganisha na Beverly Hills wakati watoto wetu wanasoma kwenye vumbi? Wakati kwa Mtanzania wa kawaida mlo wa siku moja ni tatizo? Wakati hospitali zetu hazina vitanda kwa akina mama waja wazito wanaozalia sakafuni? Kuna sababu gani ya kujilinganisha na Beverly Hills kama hizi huduma basic tu hatuna?mkitaka kusema kitu muwe na uhakika, Reli inajengwa na nchi zote tatu, na mkutano wa kutafuta wawekezaji ulimalizika juzijuzi hapa hapa dar,reli hii inatarajiwa kupunguza muda wa kusafiri kutoka dar mpaka kigali na kua muda wa masaa sita tuu, maana reli itakua na standard gauge, speed 120,kulinganisha na ya sasa 20kmph ,huu ni mradi wa nchi tatu na sio rwanda peke yake, jiji la kigali linakua so do dar es salaam, huwezi kulinganisha kigali na dar, pia idadi ya watu wa rwanda na tanzania, ndo maana raisi alisema muache kupiga tuu domo, kasema tanzania ni kubwa na huu ukubwa una uzuri wake na ubaya wake, pia kasisitiza umeme unliovutwa kutoka mtera mpaka tarime ingekua nchi nyingine wangefunga hadi kwenye matendegu ya vitanda , na hizi barabara zetu ambazo ni zaidi ya 105, ingekua nchi nyingine zingfika hadi milangoni, watanzania wengi sijua kama mnajua nchi yenu inafanya nini, pamoja na kua ni taratibu lakini at least wanafanya, kuna mkongo kasema nyie watanzania mkitaka kulalamika , fikirieni kongo kwanza, mtakosa hata cha kulalamika, master plan ya kigani ni nzuri, wameanza kujenga lakini kakwambia nani dar haina vitu kama hivyo? Mchikichini heights, kigamboni city, makongo settlement, ambayo yatakua kama beverl hill marekani, na mengine mengi, yaani cha kushangaza ,mradi wa mabsi yaendayo kasi ushaanza kujengwa lakini mbongo anakuambia ni sanaa tuu hii, du, kweli, tutafika , kilimo kwanza ni kitu muhimu sana, yaani we umeona watu wanapiga domo na kilimo kwanza? Mafisadi wapo wanakwamisha uchumi lakini tunatakiwa tuwe na moyo wa kupongeza chichote kizuri kitakachofanywa,
Anaogopa kudunguliwa kama Habyarimana?
Babu usidanganye watu,marekani ni muungano wa pre-existing states na ilianzishwa na states 13 tu ambazo ni ndogo mara hamsini au zaidi ya nchi ilivyo sasa hivi.We CDM nini?barabara imekuwa barabara. kama hii niayoitwa kilwa road, inaumuka katikati ya lanes kama imetiwa amira.
wamarekani walipoona nchi yao ni kubwa waliona isiwe taabu...wakaigawa katika majimbo; nyie kwa tamaa zenu na ulafi wa madaraka ya sifa mnaona ni rahisi mtu mmoja anaweza kuongoza nchi yote hii akiwa amevaa msuli pale magogoni.
Huwezi kulinganisha maendeleo ya rwanda na tanzania! Rwanda ni nchi maskini sana japo kwa takwimu unaweza ambiwa imepiga hatua sana! Kwanza ukubwa wa mji wa kigali ni kama kahama au singida!, wanazidi tu bara bara nzuri na majengo!
Ya 94 hayajasahaulika ndio maana kila mara wananyonga watu na kila mwaka wanaonesha mafuvu! Kagame anahusika mauaji ya halaiki na ndio maana haondoki nchini mara kwa mara, ni hofu ya kuuawa!, si unajua alieua kwa upanga sharti auawe kwa upanga?
Hivi, kuna faida gani ya kujilinganisha na Beverly Hills wakati watoto wetu wanasoma kwenye vumbi? Wakati kwa Mtanzania wa kawaida mlo wa siku moja ni tatizo? Wakati hospitali zetu hazina vitanda kwa akina mama waja wazito wanaozalia sakafuni? Kuna sababu gani ya kujilinganisha na Beverly Hills kama hizi huduma basic tu hatuna?
yeah what a joke, rwanda is doing well, kigali ni safe kuliko jiji lolote East africa, lakini haimaanisha sisi tume kaakaa tuu, kila mtu ana matatizo yake, tusiiongelee rwanda utafikiri hawana tatizo hata moja, kila kitu kina story yake, kwa nini pawe safe? safi? wabongo wenyewe si tumezidi ubishi tuu, hatuheshimu chochote cha nchi hii, na wala hamna uzalendo na nchi yenu, kila kitu mmewaachia wanasiasa, zingekua zinaruka huko gorofani(ie kichwani) kwa wananchi, na wana uchungu na nchi yao, sidhanikama tungekua hivi, siku hizi angalia hata wanafunzi, kuimba wimbo wa taifa lake tuu anatamani umue, kama mtoto hafundishwi kuwa na uchungu na nchi yake sasa hivi, matokeo yake ndo hayo, hata ukiambiwa raisi wenu ni mwehu, utashindwa kubisha vile vile, WHAT A LOSSTypical Mswahili! Umeambiwa ukubwa wa nchi ndio maendeleo? Unajua ni mji gani salama kuliko yote Afrika Mashariki hii? Unataka afanye safari zisizokuwa na manufaa kama rais wenu? The guy is serious with development in his country. Wakati hapa hatuwezi kuhakikisha kila mtoto wa shule ya msingi ana dawati Kagame kaweza kuhakikisha kila watoto wawili wa shule ya msingi wana computer (na usidhani kaweza kwa kuwa nchi yao ni ndogo - mbona Burundi/Comoro/Swaziland hawajafanya hivyo)?
Ongea na Mnyarwanda utakaekutana nae akwambie wanamuonaje JK kulinganisha na Mkapa. Kuna mmoja aliniambia huku niliko: "Your president is a joke, he can't talk anything that makes sense except gigling like a girl!" Nilishindwa kubisha.
yeah what a joke, rwanda is doing well, kigali ni safe kuliko jiji lolote East africa, lakini haimaanisha sisi tume kaakaa tuu, kila mtu ana matatizo yake, tusiiongelee rwanda utafikiri hawana tatizo hata moja, kila kitu kina story yake, kwa nini pawe safe? safi? wabongo wenyewe si tumezidi ubishi tuu, hatuheshimu chochote cha nchi hii, na wala hamna uzalendo na nchi yenu, kila kitu mmewaachia wanasiasa, zingekua zinaruka huko gorofani(ie kichwani) kwa wananchi, na wana uchungu na nchi yao, sidhanikama tungekua hivi, siku hizi angalia hata wanafunzi, kuimba wimbo wa taifa lake tuu anatamani umue, kama mtoto hafundishwi kuwa na uchungu na nchi yake sasa hivi, matokeo yake ndo hayo, hata ukiambiwa raisi wenu ni mwehu, utashindwa kubisha vile vile, WHAT A LOSS
hahaha huyo aliyesema makongo itakuwa kama beverly hills kaniacha hoi.
Nadhani kutokuhudhuria kwa kagame na kutuma mtu mwingine kwa niaba yake ni sawa, inapunguza matumizi yasiyo ya lazima.
yeah what a joke, rwanda is doing well, kigali ni safe kuliko jiji lolote East africa, lakini haimaanisha sisi tume kaakaa tuu, kila mtu ana matatizo yake, tusiiongelee rwanda utafikiri hawana tatizo hata moja, kila kitu kina story yake, kwa nini pawe safe? safi? wabongo wenyewe si tumezidi ubishi tuu, hatuheshimu chochote cha nchi hii, na wala hamna uzalendo na nchi yenu, kila kitu mmewaachia wanasiasa, zingekua zinaruka huko gorofani(ie kichwani) kwa wananchi, na wana uchungu na nchi yao, sidhanikama tungekua hivi, siku hizi angalia hata wanafunzi, kuimba wimbo wa taifa lake tuu anatamani umue, kama mtoto hafundishwi kuwa na uchungu na nchi yake sasa hivi, matokeo yake ndo hayo, hata ukiambiwa raisi wenu ni mwehu, utashindwa kubisha vile vile, WHAT A LOSS
Ninakuunga mkono kabisa, huwezi ukalinganisha nchi yenye eneo la km za mraba mara 20 zaidi ya kanchi kadogo. Kagame anajitangaza tu kwa kuungwa mkono na nchi za Magharibi, tuwe waangalifu sana na viongozi wa namna hii. Kitu kidogo unakiamplify kama umefikia maendeleo ya juu ya kweli wakati hamna kitu.
yeah what a joke, rwanda is doing well, kigali ni safe kuliko jiji lolote East africa, lakini haimaanisha sisi tume kaakaa tuu, kila mtu ana matatizo yake, tusiiongelee rwanda utafikiri hawana tatizo hata moja, kila kitu kina story yake, kwa nini pawe safe? safi? wabongo wenyewe si tumezidi ubishi tuu, hatuheshimu chochote cha nchi hii, na wala hamna uzalendo na nchi yenu, kila kitu mmewaachia wanasiasa, zingekua zinaruka huko gorofani(ie kichwani) kwa wananchi, na wana uchungu na nchi yao, sidhanikama tungekua hivi, siku hizi angalia hata wanafunzi, kuimba wimbo wa taifa lake tuu anatamani umue, kama mtoto hafundishwi kuwa na uchungu na nchi yake sasa hivi, matokeo yake ndo hayo, hata ukiambiwa raisi wenu ni mwehu, utashindwa kubisha vile vile, WHAT A LOSS
Ni thread ya 2011 na huyu mshenzi tayari ametua TanzaniaAnaogopa kudunguliwa kama Habyarimana?