Kagame Anaogopa Nini Kuja Tanzania?

Hahaha huyo aliyesema makongo itakuwa Kama Beverly Hills kaniacha hoi.

Nadhani kutokuhudhuria kwa Kagame na kutuma mtu mwingine kwa niaba yake ni sawa, inapunguza matumizi yasiyo ya lazima.
 
mkitaka kusema kitu muwe na uhakika, Reli inajengwa na nchi zote tatu, na mkutano wa kutafuta wawekezaji ulimalizika juzijuzi hapa hapa dar,reli hii inatarajiwa kupunguza muda wa kusafiri kutoka dar mpaka kigali na kua muda wa masaa sita tuu, maana reli itakua na standard gauge, speed 120,kulinganisha na ya sasa 20kmph ,huu ni mradi wa nchi tatu na sio rwanda peke yake, jiji la kigali linakua so do dar es salaam, huwezi kulinganisha kigali na dar, pia idadi ya watu wa rwanda na tanzania, ndo maana raisi alisema muache kupiga tuu domo, kasema tanzania ni kubwa na huu ukubwa una uzuri wake na ubaya wake, pia kasisitiza umeme unliovutwa kutoka mtera mpaka tarime ingekua nchi nyingine wangefunga hadi kwenye matendegu ya vitanda , na hizi barabara zetu ambazo ni zaidi ya 105, ingekua nchi nyingine zingfika hadi milangoni, watanzania wengi sijua kama mnajua nchi yenu inafanya nini, pamoja na kua ni taratibu lakini at least wanafanya, kuna mkongo kasema nyie watanzania mkitaka kulalamika , fikirieni kongo kwanza, mtakosa hata cha kulalamika, master plan ya kigani ni nzuri, wameanza kujenga lakini kakwambia nani dar haina vitu kama hivyo? Mchikichini heights, kigamboni city, makongo settlement, ambayo yatakua kama beverl hill marekani, na mengine mengi, yaani cha kushangaza ,mradi wa mabsi yaendayo kasi ushaanza kujengwa lakini mbongo anakuambia ni sanaa tuu hii, du, kweli, tutafika , kilimo kwanza ni kitu muhimu sana, yaani we umeona watu wanapiga domo na kilimo kwanza? Mafisadi wapo wanakwamisha uchumi lakini tunatakiwa tuwe na moyo wa kupongeza chichote kizuri kitakachofanywa,
Hapo hujataja mabarabara........Arusha - Babati - Katesh mpaka Singida..... Juzi nilitembelea Babati tokea Arusha tulipanda NOAH (townace). Huwezi amini yaani.....hakuna cha kolongo.... ni tambarare.....
Kwa wale waliopita barabara hii miaka 6 iliyopita na sasa wataungana nami...

Bila kusahau....Mbeya mpaka Makongorosi Chunya.... Halafu Tunduma mpaka Sumbawanga... kwa kweli inatia moyo....
 
Kahame yuko kwenye orodha ya Yule mwendesha mashitaka wa Ufaransa Bruguerie dhidi ya watu wanaotuhumiwa kuwa walimuua Raisi Habyarimana mwakansale 1994 kitendo killichopelekea vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo Kagame anaita mauaji ya kimbari. Si rahisi kwa Kagame kutembea nchi zingine kwa mikutano Kama hiyo kwa vile hajui saa wala mahali atakapokutana na arrest warrant yake. Mwaka jana alipokwenda Spain na USA alikuwa na body guards wanaotimia platoon nzima ya kijeshi. Kwa hiyo hata kwa nchi zinazomwalika anahitaji protocol na security tofauti kitu ambacho inakuwa ni usumbufu kwa nchi inayomwalika
 
mkitaka kusema kitu muwe na uhakika, Reli inajengwa na nchi zote tatu, na mkutano wa kutafuta wawekezaji ulimalizika juzijuzi hapa hapa dar,reli hii inatarajiwa kupunguza muda wa kusafiri kutoka dar mpaka kigali na kua muda wa masaa sita tuu, maana reli itakua na standard gauge, speed 120,kulinganisha na ya sasa 20kmph ,huu ni mradi wa nchi tatu na sio rwanda peke yake, jiji la kigali linakua so do dar es salaam, huwezi kulinganisha kigali na dar, pia idadi ya watu wa rwanda na tanzania, ndo maana raisi alisema muache kupiga tuu domo, kasema tanzania ni kubwa na huu ukubwa una uzuri wake na ubaya wake, pia kasisitiza umeme unliovutwa kutoka mtera mpaka tarime ingekua nchi nyingine wangefunga hadi kwenye matendegu ya vitanda , na hizi barabara zetu ambazo ni zaidi ya 105, ingekua nchi nyingine zingfika hadi milangoni, watanzania wengi sijua kama mnajua nchi yenu inafanya nini, pamoja na kua ni taratibu lakini at least wanafanya, kuna mkongo kasema nyie watanzania mkitaka kulalamika , fikirieni kongo kwanza, mtakosa hata cha kulalamika, master plan ya kigani ni nzuri, wameanza kujenga lakini kakwambia nani dar haina vitu kama hivyo? Mchikichini heights, kigamboni city, makongo settlement, ambayo yatakua kama beverl hill marekani, na mengine mengi, yaani cha kushangaza ,mradi wa mabsi yaendayo kasi ushaanza kujengwa lakini mbongo anakuambia ni sanaa tuu hii, du, kweli, tutafika , kilimo kwanza ni kitu muhimu sana, yaani we umeona watu wanapiga domo na kilimo kwanza? Mafisadi wapo wanakwamisha uchumi lakini tunatakiwa tuwe na moyo wa kupongeza chichote kizuri kitakachofanywa,
Hivi, kuna faida gani ya kujilinganisha na Beverly Hills wakati watoto wetu wanasoma kwenye vumbi? Wakati kwa Mtanzania wa kawaida mlo wa siku moja ni tatizo? Wakati hospitali zetu hazina vitanda kwa akina mama waja wazito wanaozalia sakafuni? Kuna sababu gani ya kujilinganisha na Beverly Hills kama hizi huduma basic tu hatuna?
 
barabara imekuwa barabara. kama hii niayoitwa kilwa road, inaumuka katikati ya lanes kama imetiwa amira.

wamarekani walipoona nchi yao ni kubwa waliona isiwe taabu...wakaigawa katika majimbo; nyie kwa tamaa zenu na ulafi wa madaraka ya sifa mnaona ni rahisi mtu mmoja anaweza kuongoza nchi yote hii akiwa amevaa msuli pale magogoni.
Babu usidanganye watu,marekani ni muungano wa pre-existing states na ilianzishwa na states 13 tu ambazo ni ndogo mara hamsini au zaidi ya nchi ilivyo sasa hivi.We CDM nini?
 
Huwezi kulinganisha maendeleo ya rwanda na tanzania! Rwanda ni nchi maskini sana japo kwa takwimu unaweza ambiwa imepiga hatua sana! Kwanza ukubwa wa mji wa kigali ni kama kahama au singida!, wanazidi tu bara bara nzuri na majengo!

Ya 94 hayajasahaulika ndio maana kila mara wananyonga watu na kila mwaka wanaonesha mafuvu! Kagame anahusika mauaji ya halaiki na ndio maana haondoki nchini mara kwa mara, ni hofu ya kuuawa!, si unajua alieua kwa upanga sharti auawe kwa upanga?

Typical Mswahili! Umeambiwa ukubwa wa nchi ndio maendeleo? Unajua ni mji gani salama kuliko yote Afrika Mashariki hii? Unataka afanye safari zisizokuwa na manufaa kama rais wenu? The guy is serious with development in his country. Wakati hapa hatuwezi kuhakikisha kila mtoto wa shule ya msingi ana dawati Kagame kaweza kuhakikisha kila watoto wawili wa shule ya msingi wana computer (na usidhani kaweza kwa kuwa nchi yao ni ndogo - mbona Burundi/Comoro/Swaziland hawajafanya hivyo)?

Ongea na Mnyarwanda utakaekutana nae akwambie wanamuonaje JK kulinganisha na Mkapa. Kuna mmoja aliniambia huku niliko: "Your president is a joke, he can't talk anything that makes sense except gigling like a girl!" Nilishindwa kubisha.
 
Hivi, kuna faida gani ya kujilinganisha na Beverly Hills wakati watoto wetu wanasoma kwenye vumbi? Wakati kwa Mtanzania wa kawaida mlo wa siku moja ni tatizo? Wakati hospitali zetu hazina vitanda kwa akina mama waja wazito wanaozalia sakafuni? Kuna sababu gani ya kujilinganisha na Beverly Hills kama hizi huduma basic tu hatuna?

tuelewane, makazi yatakua kama yale ya beverly hills kama alivyosema muhusika tibaijuka,hapa sio kwamba tunajilinganisha, kwa hiyo TANZANIA HAITAKIWI KUFANYA KITU CHOCHOTE KIZURI HATA CHENYE HADHI YA KIMATAIFA KWA SABABU MASIKINI? makazi nayo ni basic human needs pia, na sio kwa sababu hospitali hazina vitanda wananchi hawana milo ya kutosha, basi mwekezaji asifanye biashara akanze kuwalisha watanzania bure?au ulidhani ni hela za serikali au wanancchi zitatumika?sio kila miradi ya humu nchini ni hela za serikali, hata hivyo makazi hayo yakianzishwa, hao walio na mlo mmoja wa siku wanaweza kununu mitatu kwani watakua na kazi,nadhani makazi hayo yatakua na hospitali nzuri tuu na huduma nyingine za jamiii, hasa mnataka maisha bora ya aina gani wakati kila jitihada inayoyfanywa kwenu ni mbaya? mchikichini hali ya makazi ni mbaya, ndio maana serikali imeamua na wadau wengine wajenge satelite city, na wakazi wa hapo watakua na kipaumbele kukaa katika makazi bora kwa gharma nafuu, duuu. ngoja niishie hapa,
 
Typical Mswahili! Umeambiwa ukubwa wa nchi ndio maendeleo? Unajua ni mji gani salama kuliko yote Afrika Mashariki hii? Unataka afanye safari zisizokuwa na manufaa kama rais wenu? The guy is serious with development in his country. Wakati hapa hatuwezi kuhakikisha kila mtoto wa shule ya msingi ana dawati Kagame kaweza kuhakikisha kila watoto wawili wa shule ya msingi wana computer (na usidhani kaweza kwa kuwa nchi yao ni ndogo - mbona Burundi/Comoro/Swaziland hawajafanya hivyo)?

Ongea na Mnyarwanda utakaekutana nae akwambie wanamuonaje JK kulinganisha na Mkapa. Kuna mmoja aliniambia huku niliko: "Your president is a joke, he can't talk anything that makes sense except gigling like a girl!" Nilishindwa kubisha.
yeah what a joke, rwanda is doing well, kigali ni safe kuliko jiji lolote East africa, lakini haimaanisha sisi tume kaakaa tuu, kila mtu ana matatizo yake, tusiiongelee rwanda utafikiri hawana tatizo hata moja, kila kitu kina story yake, kwa nini pawe safe? safi? wabongo wenyewe si tumezidi ubishi tuu, hatuheshimu chochote cha nchi hii, na wala hamna uzalendo na nchi yenu, kila kitu mmewaachia wanasiasa, zingekua zinaruka huko gorofani(ie kichwani) kwa wananchi, na wana uchungu na nchi yao, sidhanikama tungekua hivi, siku hizi angalia hata wanafunzi, kuimba wimbo wa taifa lake tuu anatamani umue, kama mtoto hafundishwi kuwa na uchungu na nchi yake sasa hivi, matokeo yake ndo hayo, hata ukiambiwa raisi wenu ni mwehu, utashindwa kubisha vile vile, WHAT A LOSS
 
Sasa kama ni MWEHU kweli, ubishe tu! Uzalendo si kukataa ukweli ulio wazi, Uzalendo si kujisifia usipostahili. Uchungu juu ya nchi yako hauonyeshwi kwa kukubali uongo na propaganda zinazohusu nchi yenu. Kumbuka kukubali tatizo ni mwanzo wa kulitatua, na matatizo ya mwenzio si ubora wako.

"NI UWENDAWAZIMU MGONJWA KUJILINGANISHA NA MGONJWA MWENZAKE HALAFU AKASEMA BORA MIMI KULIKO YULE"

J. K. Nyerere
 
hahaha huyo aliyesema makongo itakuwa kama beverly hills kaniacha hoi.

Nadhani kutokuhudhuria kwa kagame na kutuma mtu mwingine kwa niaba yake ni sawa, inapunguza matumizi yasiyo ya lazima.

wale wale,
 
yeah what a joke, rwanda is doing well, kigali ni safe kuliko jiji lolote East africa, lakini haimaanisha sisi tume kaakaa tuu, kila mtu ana matatizo yake, tusiiongelee rwanda utafikiri hawana tatizo hata moja, kila kitu kina story yake, kwa nini pawe safe? safi? wabongo wenyewe si tumezidi ubishi tuu, hatuheshimu chochote cha nchi hii, na wala hamna uzalendo na nchi yenu, kila kitu mmewaachia wanasiasa, zingekua zinaruka huko gorofani(ie kichwani) kwa wananchi, na wana uchungu na nchi yao, sidhanikama tungekua hivi, siku hizi angalia hata wanafunzi, kuimba wimbo wa taifa lake tuu anatamani umue, kama mtoto hafundishwi kuwa na uchungu na nchi yake sasa hivi, matokeo yake ndo hayo, hata ukiambiwa raisi wenu ni mwehu, utashindwa kubisha vile vile, WHAT A LOSS

Du! WaTanzania kwa maneno tu!!!
 
rwanda kasi ya kukua uchumi sasa inashindana na singapore!kagame atunukiwa nishani!source ITV
 
Ninakuunga mkono kabisa, huwezi ukalinganisha nchi yenye eneo la km za mraba mara 20 zaidi ya kanchi kadogo. Kagame anajitangaza tu kwa kuungwa mkono na nchi za Magharibi, tuwe waangalifu sana na viongozi wa namna hii. Kitu kidogo unakiamplify kama umefikia maendeleo ya juu ya kweli wakati hamna kitu.

Acha propaganda za kijinga , huwezi kufananisha governance ya Ruanda na ujinga wa bongo wa wacheza kiduku; kule Kagame ingawa mnasema nchi yake ndogo lakini he is serious wala hachekicheki na uzembe wa watumishi wa serikali na ndio maana wao wana RUANDA-AIR [Shihrika la ndege ya Taifa la Ruanda ] na nyinyi manaojidai nchi kubwa AIR TANZANIA yenu imekufilia mbali. Wadanganyaika maneno mengi lakini action zero! Hakuna comparison kati ya utawala wa Kagame na usanii wa Kikwete , Kagame yuko juu sana hata ingawa nchi yake ni ndogo!!
 
yeah what a joke, rwanda is doing well, kigali ni safe kuliko jiji lolote East africa, lakini haimaanisha sisi tume kaakaa tuu, kila mtu ana matatizo yake, tusiiongelee rwanda utafikiri hawana tatizo hata moja, kila kitu kina story yake, kwa nini pawe safe? safi? wabongo wenyewe si tumezidi ubishi tuu, hatuheshimu chochote cha nchi hii, na wala hamna uzalendo na nchi yenu, kila kitu mmewaachia wanasiasa, zingekua zinaruka huko gorofani(ie kichwani) kwa wananchi, na wana uchungu na nchi yao, sidhanikama tungekua hivi, siku hizi angalia hata wanafunzi, kuimba wimbo wa taifa lake tuu anatamani umue, kama mtoto hafundishwi kuwa na uchungu na nchi yake sasa hivi, matokeo yake ndo hayo, hata ukiambiwa raisi wenu ni mwehu, utashindwa kubisha vile vile, WHAT A LOSS

Wewe unaetaka tuwe wazalendo kwa kuunga mkono kila kitu (hata kama ni cha kijinga) kinachotoka Tanzania soma hapa chini. Kama hujui/hukumbuki kinahusiana na nini, basi kinahusiana na amri aliyotoa kiranja wa nchi. Kwa taarifa yako hata kama nimelewa siwezi kutoa maamuzi/amri kama hizi bila kuwa na taarifa (bora iwe mbaya, lakini basi niwe nayo).

Agizo la JK Jangwani halijatekelezwa

Na Muhibu Said

20th April 2011

email.png

B-pepe

printer.png

Chapa

comment_bubble.png

Maoni

Tibaijuka%20%285%29.jpg

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka

AGIZO la Rais Jakaya Kikwete la kutaka mabati yaliyozungushiwa katika viwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam yabomolewe mara moja kutokana na ujenzi huo kufanywa kinyume cha matumizi ya viwanja hivyo, limekwama kutekelezwa.

Rais Kikwete alitoa agizo hilo alipohutubia wakati wa kuweka jiwe la msingi kwa ajili ya upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo, eneo la Mwenge-Tegeta, katika sherehe iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Aprili 4, mwaka huu.

Siku moja baadaye, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, alikaririwa na NIPASHE akisema tayari Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, imeshaagizwa na wizara kubomoa mara moja mabati hayo.

Hata hivyo, takriban wiki mbili sasa tangu Rais Kikwete atoe agizo hilo, hadi sasa hakuna utekelezaji wowote uliokwishakufanyika.

Nipashe, ambayo imekuwa ikifuatilia kwa karibu utekelezaji wa agizo hilo la Rais Kikwete, kufikia jana ilishuhudia mabati hayo yakiwa bado katika viwanja hivyo.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Gabriel Fuime, aliliambia NIPASHE jana kuwa wameshindwa kubomoa mabati hayo baada ya kuzuiwa na wizara.

"Tumeambiwa tusubiri kwanza, tusifanye haraka kutekeleza kwa sababu kuna mashauriano ya ndani yanafanyika," alisema Fuime.

Waziri Tibaijuka alipotafutwa jana ili kuzungumzia suala hilo, alisema yuko kwenye kikao.

Katika hotuba yake, Rais Kikwete aliiagiza wizara hiyo kubomoa mara moja mabati hayo kwa vile eneo hilo kwa jadi ni la viwanja vya kuchezea watoto na si la majengo.

"Na nyie watu wa Ardhi, juzi nimepita Jangwani nikienda Morogoro na kuona mtu amezungushia mabati kwenye kiwanja cha kuchezea watoto. Kabomoeni wenyewe mabati yale," alisema Rais Kikwete.

Aliongeza: "Nimelisemea mara nyingi hili la kulinda maeneo ya wazi na maeneo ya watoto wetu kuchezea. Sitaki kulisemea tena. Nendeeni mkaondoe yale mabati yote na eneo libakie la watoto kuchezea. Nashangaa watu waliofika hadi Ulaya kusomea mipango miji halafu wanawapimia watu kwenye viwanja vya wazi."
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom