Haiti inahitaji sasa hivi kama Kagame

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,725
29,086
Mzuka wanajamvi!

Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.

Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.

Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.

Upuuzi unaendelea Haiti unahuzunisha nakutuaibisha sana watu weusi.

Sasa hivi wanajuta kwa nini mababu zao karne ya 18 walikataa offer ya marekani kuinununua Haiti walivyofanya Alaska.
 
Nilisikia kwenye vyombo vya habari wamemzuia Waziri mkuu kurudi nchini, na Mke wa yule Raisi aliyeuwawa nae mahakamani sasa hapo sijui mbivu na mbichi itakuwaje.
Yale magenge ya wahuni yanaongezeka nguvu kila uchao .
 
Kamanda wa jeshi la i kenya alikuwa akitangulia Haiti kuandaa mazingira ya jeshi la lkenya Haiti kulinda amani alikutwa kafa hotelini chumbani marekani akijiandaa kwenda Airport aende Haiti.Sababu ya kifo haijulikani
Uliposema hotelini nchini marekani ni tayari hilo la marekani ndiyo jibu.

Ipo hivi, nchi za magharibi hazipendi kuona mataifa yenye raia ngozi nyeusi wana amani tena ukute hawana maslahi nayo.

Walijua kamanda anaelekea Haiti kwa lengo gani ilihali wao na ile secret family wanataka damu imwagike na watu wapungue wakaona wampunzishe fasta tu, anaenda kuharibu deal.

Mfano hapo DRC unadhani makundi yote yanayoipinga serikali hadi M23 kwenye rada hayaonekani?, wote wanaonekana ila pale DRC kuna maslahi yao, so wanataka watu wafe huku wanaiba mali.
 
Swala la kukataa ofa ya kununuliwa nakubaliana nao.
Namna wamavyo endesha mifumo yao ya maisha watajijua wenyewe
Mkuu mababu zao wangekubali Haiti kununuliwa na kuwa Jimbo la marekani wangeendelea na ingekuwa stable.

Angalia Guam ilivyo. Isingekuwa marekani kuchukua wa wamatumbi wangekuwa hoi.

Wahaiti wenyewe wanawalaani mababu zao.

Ila naona mababu zao waliona wafaransa walivyowatesa utumwani hadi wakapata uhuru.

Wengi wa Haiti wanatrace damu yao kutoka kabila la wayoruba wa Nigeria ambao waliuzwa na waafrika wenzao utumwani na Benin empire.
 
Mzuka wanajamvi!

Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.

Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.

Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.

Upuuzi unaendelea Haiti unahuzunisha nakutuaibisha sana watu weusi.

Sasa hivi wanajuta kwa nini mababu zao karne ya 18 walikataa offer ya marekani kuinununua Haiti walivyofanya Alaska.
Bwana mishikaki naona hadi kamzuia rais kurejea nchini kwake.
Sema haiti ni failed state. Naona zigo sasa wamelimwangushia mke wa rais aliyeuawa kuwa ndiye alimuua mumewe. Wakati judge wa mwanzo alitaka kumhusisha rais wa sasa na zigo hlo jamaa akamuwahi akamfukuza.
Hapa sasa utasikia US waje waingilie ila mambo yakiwa poa hawawataki
 
Barbecue mpuuzi sana
 
Haiti wanaabudu shetani
Wanaamini sana uchawi
Ukienda sokoni biashara kubwa ni mazindiko na matakataka ya ushirikina
Yaani mboga mboga ni chache kuliko tunguli
Hao wanahitaji mtu wa kuchoma moto hayo mauchafu halafu kuuwa wachawi wakubwa wote basi hofu itawaingia
Mtu katili labda kuvunja Imani hiyo na ndio inawaweka nyuma
 
Mzuka wanajamvi!

Haiti inahitaji kiongozi kama Paul Kagame wa Rwanda. Mkali strict katili na dikteta.

Ambaye akitawala alete hofu, nidhamu na utii wa sheria.

Kukiwa na utawala kama huu niliulezea kwenye hii nchi baada ya miaka kumi Haiti itakuwa kama Rwanda.

Upuuzi unaendelea Haiti unahuzunisha nakutuaibisha sana watu weusi.

Sasa hivi wanajuta kwa nini mababu zao karne ya 18 walikataa offer ya marekani kuinununua Haiti walivyofanya Alaska.
Kumbe Marekani ilitaka inunua Haiti aiseeee
 
Back
Top Bottom