yeah right, vipi kuhusu watoto kama wapo? wateseke bila wazazi sio?
Hili fumanizi kali kwelimie nipo kwa huyu mwanamke aliemtwanga mumewe kihivyo? kweli kuna mwanamke ana akili ya kumchangia mume wake na mwanaume mwingine mpaka wamuumize kihivyo?...swali lingine labda Maty atuambie je huyo mwanamke aliefumaniwa alitimua au nae alikuwa anaangalia wrestling inavyoendelea?
yani hao waliofumania nao hawajalana tu bado?? au ndio kunya anye kuku??:bored:
Nafikiri hawa wote wanne walikuwa wanacheza SandakalaweHuyo mwanamke wa huyo kaka aliyepigwa hana akili timamu,
Yani anaona mume wake anauliwa anashangalia? Na kusaidia kuua.....
Hiyo sio roho ya mwanamke bwana.
Sasa kama mume wake atakufa atabaki bila mume, na huyo mwanaume aliyemsaidia kuua atabaki na mke wake.
Kafanya nini sasa hapo?
Mama mkwe wala sio zito kama unavyodhanioooh Maty nakuja mpenzi ! hili ni zito
Huyo mwanamke wa huyo kaka aliyepigwa hana akili timamu,
Yani anaona mume wake anauliwa anashangalia? Na kusaidia kuua.....
Hiyo sio roho ya mwanamke bwana.
Sasa kama mume wake atakufa atabaki bila mume, na huyo mwanaume aliyemsaidia kuua atabaki na mke wake.
Kafanya nini sasa hapo?
kitanzi kinawasubiri hao,nilazma wanyongwe mpk wafe kama jamaa atakufa,kama akipona watahukumiwa sichini yamiaka 30jela watakoma naujingawao.Namwombea huyo kaka afariki dunia ili sheria ichukue mkondo wake kwa hao walio mshushia kipigo
Habari zenu wana Jf,
nimepata kisa cha kusikitisha muda si mrefu na nimeamua nikiweke hapa jamvini kinaweza kutusaidia katika kufanya maamuzi yakikukuta.
Kuna mkaka namfahamu yeye ni mume wa mtu na amefumaniwa na mke wa mtu. Inasemekana mume wa huyo mdada mwizi na mke wa mkaka mwizi walishagundua na kukaa pamoja kuelezana kwamba wenza wetu wanafanya uzinzi. Wakakubaliana kuwafumania na kweli siku ya siku fumanizi likafanikiwa walichofanya ni kumpiga yule mwanaume sana hasa hasa kichwani mpaka damu imevilia kichwani na habari nilizopata hivi punde ni kuwa huyo kaka anapumulia oxygen machine once ikitolewa roho na mwili vinaachana.
Tupeane mawazo ikitokea ukamfumania mkeo/mumeo uamuzi mzuri ni upi? au walichfanya hawa mke na mume waibiwa kumpiga huyu baba mpaka kuwa hivi ni sawa?
i think this is what happened, unajua sometimes haya mambo ya fumanizi yanachekesha kweli, sasa unpanga kufumania, maana tayari ushajua chezo... then unapiga mtu... then unafungwa jela etcWalikulana kisha wakaenda kuwafumania
Namwombea huyo kaka afariki dunia ili sheria ichukue mkondo wake kwa hao walio mshushia kipigo
i think this is what happened, unajua sometimes haya mambo ya fumanizi yanachekesha kweli, sasa unpanga kufumania, maana tayari ushajua chezo... then unapiga mtu... then unafungwa jela etc
Hata mie nashangaa sana, hata sielewi what is the essence.
Nafikiri hawa wote wanne walikuwa wanacheza Sandakalawe
Hapo kwenye red si ajabu hata kuanza walikuwa bado hajaanza game lenyewei think this is what happened, unajua sometimes haya mambo ya fumanizi yanachekesha kweli, sasa unpanga kufumania, maana tayari ushajua chezo... then unapiga mtu... then unafungwa jela etc
its bullshit
Ukionfirm kwamba watu wana mpango wa kando then there are two options, kuomba waache au kuachana na wako... ukiamua kubaki nae pia you ahve two things... kuhakikisha wanaachana, au kufanya maamuzi magumu
poor guys is fighting for his life sasa na siajabu hata bao hakupiga on the day
Kwenye hii kesi kuna watuhumiwa wawili what about the other(Mwanamke). Iweje wakubaliane kumpiga huyu mwanaume mpaka yuko kwenye hati hati ya kupoteza maisha sasa ina maana huyo mwanamke mke wa mtu ambaye naye kafumaniwa hana kosa??.....There is something fishy here
Hawa watakuwa wamemegana sana tu tena usikute sio mara mojaHao waliofumania kama na wao hawajamegana basi watakuwa was...ng..!
Dawa ya moto ni moto mkali zaidi.
:rip::rip:Yaani wapendwa hizo taarifa nilizipata juu juu kwa sababu huyo mkaka namfahamu kwamba amelazwa kapigwa baada ya kufumaniwa na fumanizi lilipangwa na mkewe pamoja na mume anaeibiwa mali zake. Baada ya kuona maswali yenu ndio sasa imebidi nimuulize kuhusu mwanamke mwizi. Ndio amenijibu hiyo stori amepewa juu juu na huyo kaka sasa hvi tumepewa taarifa kwamba amekufa sasa nimeshindwa hata kumdadisi sana kwani ndio kwanza ameletewa taarifa ya msiba nadhani akitulia ndio atanihadithia zaidi.
Jamani hii habari inasikitisha sasa sijui huyo dada atalia kuhusu msiba wa mumewe au atacheka hata sipati picha.