Kafumaniwa

Washatakiwe for manslaughter au hata murder. Kama jamaa akipona ashtaki for attempted murder! Huu ni uuaji na hakuna kingine!
 
Washazika, mwanamke yuko polisi ishakua kesi ya mauaji
Dah!!! Maty sasa hapo shughuli iliyopo ni kati ya ndugu wa marehemu na wa huyu mwanamke halafu vile vile najaribu kufikiria upande wa yule jamaa ambaye wameshiriki naye sidhani kama naye atasalimika.
 
Washazika, mwanamke yuko polisi ishakua kesi ya mauaji
Ila mambo mengine Maty inabidi tuwe makini hiki kisa kinasikitisha sana nafikiri sasa hivi mwanamke ndio atakuwa anaanza kujilaumu na akili zinaanza kumkaa vizuri
 
Yaani we acha tu ndugu wamekuja juu kuliko maelezo, halafu unajua mwanzoni walificha kama kapigwa walikua wanaona aibu cause sababu ya kupigwa ni kufumaniwa.

Alipokufa kukawa na mgongano kidogo wengine wanasema aachwe ili alee watoto, wengine wanasema haiwezekani na kwa nini walificha. Ikabidi suala lipelekwe polisi na wakati huo watu walikuwa washajiandaa waage maiti iende kuzikwa. Ikabidi zoezi la kuaga maiti lisitishwe polisi wakaja kufanya uchunguzi, baada ya uchunguzi kukamilika ikabidi mwanamke apelekwe polisi na uko akawataje na alioshirikiana nao.

Akaacha watu wanaanza kuaga ili kusafirisha maiti, so huyo mama kutoka huko ndani asahau kabisa. Nadhani litakuwa funzo kubwa sana kwa wote wenye tabia hizo.
 
Inaumiza sana. Mume kapigwa hadi kupumulia mashine, je akifa mkewe atajisikiaje wakati akimtembelea huyo waliyechangia kumpiga mumewe akiwa na mkewe. I think there are something hidden in between,
 
Inaumiza sana. Mume kapigwa hadi kupumulia mashine, je akifa mkewe atajisikiaje wakati akimtembelea huyo waliyechangia kumpiga mumewe akiwa na mkewe. I think there are something hidden in between,
Mkuu ameishakufa na kuzika wameishazika
 
Yaani we acha tu ndugu wamekuja juu kuliko maelezo, halafu unajua mwanzoni walificha kama kapigwa walikua wanaona aibu cause sababu ya kupigwa ni kufumaniwa.

Alipokufa kukawa na mgongano kidogo wengine wanasema aachwe ili alee watoto, wengine wanasema haiwezekani na kwa nini walificha. Ikabidi suala lipelekwe polisi na wakati huo watu walikuwa washajiandaa waage maiti iende kuzikwa. Ikabidi zoezi la kuaga maiti lisitishwe polisi wakaja kufanya uchunguzi, baada ya uchunguzi kukamilika ikabidi mwanamke apelekwe polisi na uko akawataje na alioshirikiana nao.

Akaacha watu wanaanza kuaga ili kusafirisha maiti, so huyo mama kutoka huko ndani asahau kabisa. Nadhani litakuwa funzo kubwa sana kwa wote wenye tabia hizo.
Dah!! Mimi nachoka kabisa aisee halafu kesi za namna hii huwa zinachukua miaka nenda rudi huyu mwanamke anaweza kuhukumiwa hata baada ya miaka 7, halafu hapa tayari familia zimeishakuwa maadui tena kwa kweli hili ni funzo kwetu sote maana huwa wanasema kuna leo na kesho leo kwangu kesho kwako yote haya yasingetokea kama wote wasingejihusisha kwenye infidelity lakini huwa tunakuja kujutia baada ya matatizo kuwa yameishatokea.

Inasikitisha sana, ninachojaribu kufikiria hasa ni watoto sijui wakiwa wakubwa wataambiwa nini kweli kua uyaone na ndio haya sasa.
 
Yaani we acha tu ndugu wamekuja juu kuliko maelezo, halafu unajua mwanzoni walificha kama kapigwa walikua wanaona aibu cause sababu ya kupigwa ni kufumaniwa.

Alipokufa kukawa na mgongano kidogo wengine wanasema aachwe ili alee watoto, wengine wanasema haiwezekani na kwa nini walificha. Ikabidi suala lipelekwe polisi na wakati huo watu walikuwa washajiandaa waage maiti iende kuzikwa. Ikabidi zoezi la kuaga maiti lisitishwe polisi wakaja kufanya uchunguzi, baada ya uchunguzi kukamilika ikabidi mwanamke apelekwe polisi na uko akawataje na alioshirikiana nao.

Akaacha watu wanaanza kuaga ili kusafirisha maiti, so huyo mama kutoka huko ndani asahau kabisa. Nadhani litakuwa funzo kubwa sana kwa wote wenye tabia hizo.
Halafu huyu mama hata kumzika mumewe hajamzika
 
Two wrongs wont make it right.
Walivyompiga huyo jamaa wamefanikiwa kuiondoa ile hali ya hao wezi wawili kufanya ngono?
Madhara yatakuwa makubwa kwa hao waliofumania kuliko waliofumaniwa (Kuna chance kubwa sana kwa yule aliyepigwa kufariki, hivyo hatapata madhara tena kwa sababu atakuwa ameshakufa na hakuna atakachokuwa anakijua)

Emergency preparedness ni muhimu sana:
Unapopatwa na kitu chochote kile unexpectedly kwanza tulia, vuta pumzi kubwa ndani na nje walau mara kumi. Hii itasaidia ubongo kupata oxygen nyingi sana na hivyo kufanya kazi vile inavyotakiwa. Kumbuka hasira hutokana na ubongo kukosa oxygen ya kutosha.

Kwa hawa waliofumania, haikuwa bahati mbaya kwani walipata hata muda wa kupanga na inawezekana kabisa walipanga hata nini watafanya pindi watakapowakuta wanandoa wenzao live.

Ushauri wangu kwa sisi ambao bado tuna muda wa kutafakari kabla mambo kama hayo hayajatukuta:
Kabla hujafanya jambo lolote ambalo unadhani lina faida kwako, kwanza zitafakari hasara zake.
 
Habari zenu wana Jf,

nimepata kisa cha kusikitisha muda si mrefu na nimeamua nikiweke hapa jamvini kinaweza kutusaidia katika kufanya maamuzi yakikukuta.

Kuna mkaka namfahamu yeye ni mume wa mtu na amefumaniwa na mke wa mtu. Inasemekana mume wa huyo mdada mwizi na mke wa mkaka mwizi walishagundua na kukaa pamoja kuelezana kwamba wenza wetu wanafanya uzinzi. Wakakubaliana kuwafumania na kweli siku ya siku fumanizi likafanikiwa walichofanya ni kumpiga yule mwanaume sana hasa hasa kichwani mpaka damu imevilia kichwani na habari nilizopata hivi punde ni kuwa huyo kaka anapumulia oxygen machine once ikitolewa roho na mwili vinaachana.

Tupeane mawazo ikitokea ukamfumania mkeo/mumeo uamuzi mzuri ni upi? au walichfanya hawa mke na mume waibiwa kumpiga huyu baba mpaka kuwa hivi ni sawa?
mbona wazinzi wawili lakini anaadhibiwa mmoja ?
 
Huyo dada alikuwa amemchoka mume wake sio bure, fumanizi tu haitoshi kuelezea kitendo cha kumpiga mume wake kiasi hicho akishirikiana na mume wa mwizi wake
 
Washazika, mwanamke yuko polisi ishakua kesi ya mauaji
DU MATTY IMENIUMA SANA, MM KAMA UNANIFUMANIA NABONDA HICHO KIDUME NA WEWE NATANGULIZA NYUMBANI, HALAFU MKE WA JAMAA KILA SIKU NTAKUONYESHA LIVE
MI SIKUIONA FAIDA KWANI MIMI NIMEKUFA NA WEWE UNANYONGWA, WAKATI MWANAMKE SIKUMBAKA KARIDHIKA NA MAPIGO KWENDA MBELE
jAMANI ANGALIENI MAHAKAMANI HAMNA SHERIA YA KUFUMANIA INATAKIWA STRONG EVIDENCE labda KATIBA ya sasa muiingize hiyo lakini ile ya 1971 ya NDOA fumanizi hakuna km wezi wameridhiana ni faini ya maumivu fedha au mbuzi hasa huku kwetu kwa Wanyambwa
 
Faida ya uzinzi ni hiyo. Hivi unafikiri kwenye mambo kishetani kuna maamuzi mazuri? Hakuna. Usishangae mpaka wanamponda mume wake kwa sababu ya upofu hakuona hilo yeye alishupaa na kosa la kufumaniwa.

Pole zake akitoka hospitali mzima basi ujue lazima akajisalimishe kwa Yesu.
 
Kama arabuni wote mawe mpaka wafe! Lkn huku kwetu hakuna hiyo na sijui sheria za mahakama zinasemaje? Lkn kama mimi nasepa tu sina haja ya kupoteza muda nampotezea mwenza naanza mahusiano mengine na mtu ambaya i trust he/she is honest for the sake of my life. Thats all!
 
Back
Top Bottom