Kafumaniwa

Huyo mwanamke ni kati ya wanawake wajinga sijawah ona, hajajiuliza kwa nini huyo mwanamipango mwenzie kampiga mumewe na hajampiga mkewe? Na wwakati mumewe anapigwa hivo yeye alikuwa anafanya nini au yeye hakumuweza huyo mgoni wake? Haya sasa anaweza kuishia Lupango maisha yake yote kwa uvivu wa kuwaza tu. Siku zote ukijua mumeo anatembea na mke wa fulani tafuta njia ya kumuonya huyo mwanamke na mumeo sio kumtafutia mumeo kifo cha moja kwa moja wanaume hawawezi kuvumilia wakiliwa vyao ila wao ndio wa kwanza kufanya hayo. Hivi angegeuzwa nani angekula hasara?
 
Na je haya mambo ya kufumaniana yana uhusiano gani na ule ubinafsi wa wanadamu,huyu wangu peke yangu,mpaka mnasababishiana mauti,eti MJ1 ebu kumbuka 'kupenda tunavyopenda,izi kingo ni za nini?'
 
Liwe fundisho kwa wala vya watu. Infidelity is like an act of murder(shakespear). Hata hakimu anaweza kutoa msamaha. Mimi nashangaa unakuta mtu anajivinjari tu na mke au mume wa mtu. Huo ndo mshahara. SI muhurumii mtu. I could do the same.
Yakikufika utakuja kulia humuhumu
 
Bishanga.............You dont have to nail the namez bana.
Ahsante kwa ushauri,nimeifuta post nzima kwa spidi ya tsunami.Pamoja na hayo ni tukio lililoshtua sana nchi na kutawala vyombo vya habari.Tuyaache lakini yamepita,nimekusikia mama.Samahani kama kuna aliyekwazika kwa post hiyo.
 
Rest in peace brother.

Tujifunze kufikiri kabla ya kufanya maamuzi na kutenda, hasira hasara na majuto mjukuu.

Bishanga.............You dont have to nail the namez bana.

Ungerekebisha post yako, uliyoquote yamebaki on display ingawa original post imeshafutwa.
 
There are many lessons in this thread,

I feel for the man who lost his life due to his senseless act and equally stupid move by his wife...

Guys though infidelity is so hurting, tusijichukulie sheria mkononi , yaani tusipende kuexpose uovu zaidi ya pale ulipofikia, if reconciliation can't work and u can't keep him, basi tena!! Usilazimishe

Nimepata uchungu sana kwa kuwazia mambo mengi jamani,

Je watoto watakuwa na kumbukumbu gani za baba na mama yao ??
Je huyu mume mwingine naye hataingia matatani kwa kosa la kuua pasi kukusudia ? Nakumbuka kesi moja Moshi ambapo mfanyabiashara @least he lived to report what was done to him ( he was sodomized by a gang of his lover ) na hii kesi bado inaendelea...

Sasa hizo hasira zimesaidia nini? Sikubaliani na wote wanaosema hayajakukuta, ni wengi wanakutwa na haya na wanayamaliza amicably...

Poleni sana wafiwa, Maty ukipata news about his family etc tushare pls
 
Siwezi kumuonea huruma, wengi hivi halafu anatafuta ushindi wa mezani kama nyani kusubiri alimiwe?
 
Najaribu kupiga picha huko msibani mambo yakoje. Yaani hapo ni aibu kwa ndugu na jamaa. Angekuwa huyo marehemu kaka yangu yaani sijuhi ningekuwa najisikia vipi. Nadhani ndugu wana mixed feelings. Mnakuwa wadogo kama pilitoni
 
Madehebu mengine mchungaji hanagoma kuja kuzika regardless ulikuwa mshiriki kanisani kiasi gani.
 
Kanuni ya cheaters mojawapo inasema kuwa kama waibiwa wote wawili wanajua wanaibiwa basi wao wao wawili wanahipaswa kupeana kama kulipiza kisasi. Sasa hilo la kwenda kumpiga mtu sijui liko kifungu gani kwenye hicho kitabu.
 
Habari zenu wana Jf,

nimepata kisa cha kusikitisha muda si mrefu na nimeamua nikiweke hapa jamvini kinaweza kutusaidia katika kufanya maamuzi yakikukuta.

Kuna mkaka namfahamu yeye ni mume wa mtu na amefumaniwa na mke wa mtu. Inasemekana mume wa huyo mdada mwizi na mke wa mkaka mwizi walishagundua na kukaa pamoja kuelezana kwamba wenza wetu wanafanya uzinzi. Wakakubaliana kuwafumania na kweli siku ya siku fumanizi likafanikiwa walichofanya ni kumpiga yule mwanaume sana hasa hasa kichwani mpaka damu imevilia kichwani na habari nilizopata hivi punde ni kuwa huyo kaka anapumulia oxygen machine once ikitolewa roho na mwili vinaachana.

Tupeane mawazo ikitokea ukamfumania mkeo/mumeo uamuzi mzuri ni upi? au walichfanya hawa mke na mume waibiwa kumpiga huyu baba mpaka kuwa hivi ni sawa?
Mbna ni jambo zuri2,kwanza iyo nh hukumu ya mwanadamu,sijui ya mungu itakuaje.mana katika sheria ambazo mungu ametuwekea czani kama kaweka kuwa ni ruhusa au halali kutembea na mke/mume wa mtu.mi nadhani ni jambo la mfano ambalo kwa wengi wetu ni onyo na funzo pia.
 
Kanuni ya cheaters mojawapo inasema kuwa kama waibiwa wote wawili wanajua wanaibiwa basi wao wao wawili wanahipaswa kupeana kama kulipiza kisasi. Sasa hilo la kwenda kumpiga mtu sijui liko kifungu gani kwenye hicho kitabu.
MM mimi nadhani hawa tayari na wao walikuwa wameishapeana
 
Kanuni ya cheaters mojawapo inasema kuwa kama waibiwa wote wawili wanajua wanaibiwa basi wao wao wawili wanahipaswa kupeana kama kulipiza kisasi. Sasa hilo la kwenda kumpiga mtu sijui liko kifungu gani kwenye hicho kitabu.
kweli kabisa

Tatizo hao nadhani baada ya kupeana hawakuridhishana... the game was a flop!! they ended frustrated and expressed themselves in a murderous way
 
Kanuni ya cheaters mojawapo inasema kuwa kama waibiwa wote wawili wanajua wanaibiwa basi wao wao wawili wanahipaswa kupeana kama kulipiza kisasi. Sasa hilo la kwenda kumpiga mtu sijui liko kifungu gani kwenye hicho kitabu.

Kanuni nyingine ni zipi
 
Nikilicheck chezo naona ilikua hivi :_Mwanamke aliyeibiwa mume alikua wa kwanza kuhisi anaibiwa akaenda kuntonya mwenye mke kua mzigo wako unamegwa na anae mmega ni huyu yawezekana na wao wakamegana ili kupunguza maumivu huku wakiimarisha mitego.

Wakati mikakati ya fumanizi ikiendelea na wao wanaendelea kufumuana ila inaonyesha mwanaume alikolea kwa huyo mke wa mwizi wake sambamba na kutotaka kumpoteza mke wake na kwa kuthibitisha hisia zangu angalia hata pale walipo fanikisha fumanizi jamaa alikusudia kummaliza kabisa mtuhumiwa wake bila kumdhuru wife wake ili amrudishe wife wake home na kitengo cha upande wapili akiendelezee makamuzi .
 
Duh maty inatisha...jamani kuiba uibe usifumwe ukifumwa mwe!! utatamani usingeiba. Mie niulize kuna sheria yoyote juu ya makosa kama haya? Yaani mfano nikiwapeleka mahakamani sheria inasemaje?? Hawa waliofumaniwa nasemea

Sheria:
Kwa Tz sheria haina cha maana (yaani adhabu). Zamani kulikuwa na kosa (tort) la "interference of marriage" ambapo katika mazingira haya mtu anaweza kudai fidia toka kwa mgoni wake-sio kifungo wala faini. Lkn hii haipo tena Tz kwa sasa nadhani. So, the only legal "relief" hapa ni kuomba talaka kwa ground ya adultery chini ya sheria ya ndoa 1971.
Thanks.
 
Habari zenu wana Jf,

nimepata kisa cha kusikitisha muda si mrefu na nimeamua nikiweke hapa jamvini kinaweza kutusaidia katika kufanya maamuzi yakikukuta.

Kuna mkaka namfahamu yeye ni mume wa mtu na amefumaniwa na mke wa mtu. Inasemekana mume wa huyo mdada mwizi na mke wa mkaka mwizi walishagundua na kukaa pamoja kuelezana kwamba wenza wetu wanafanya uzinzi. Wakakubaliana kuwafumania na kweli siku ya siku fumanizi likafanikiwa walichofanya ni kumpiga yule mwanaume sana hasa hasa kichwani mpaka damu imevilia kichwani na habari nilizopata hivi punde ni kuwa huyo kaka anapumulia oxygen machine once ikitolewa roho na mwili vinaachana.

Tupeane mawazo ikitokea ukamfumania mkeo/mumeo uamuzi mzuri ni upi? au walichfanya hawa mke na mume waibiwa kumpiga huyu baba mpaka kuwa hivi ni sawa?

Wenyewe wana matatizo kwa nini wenzao wametoka nje? Ina maana hawawatoshelezi si ndio? Sasa kumpiga huyo waliyempiga ndio wamepata faida gani? Kama hawana ufundi wataibiwa tu. Wataua wangapi? Ulimbukeni tu.
 
vipi kuhusu mama maana kuna watuhumiwa wawili hapo au mme tu ndo aliadhibiwa.

Dunia ndivyo ilivyo na haijaanza leo, ila hapa mpangilio umebadilishwa kidoogo! Wasoma Biblia watakumbuka kila kisa cha Mafarisayo kumpelekea Yesu mwanamke aliekutwa akizini wakimuuliza wamfanyeje (Mwanaume hakupelekwa kumbuka??!). Bwana Yesu akawaambia asie na dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe yule mwanamke - Biblia inatwambia waliondoka mmoja mmoja na kimya kimya.
 
Yawezekana waliadhibiwa wote ila si unajua mambo ya fumanizi labda mwende na waandishi wa habari ndio itasikika kwa sana. Hata kwa huyu mkaka na sisi tumesikia kwa sababu tu alipata majeraha makubwa na matokeo yake kumsababishia kifo ila naamini angefumaniwa na kupigwa kisha kutopata madhara yoyote hata sisi tusingesikia yangeisha kimya kimya.

Ushauri:
Msipende kuchukulia vitu kiutani utani jamani hii habari ni ya kweli kabisa kama kuna mtu anatembea na mke wa mtu yaweza kukuta yaliyomkuta mwenzio na ukaacha watoto wanateseka

Hicho ndicho kitu muhimu. Wanawake walio SINGO wapo wengi namna hii ya kazi gani kujitia kwenye matatizo? Mwanaume ukifumaniwa na mkeo ukiwa na mwanamke asie na mume sidhani kuna uwezekano wa kuchangiwa ukapigwa. Japo utaonekana dunga dunga lakini hiyo inabebeka.
 
Back
Top Bottom