Mchaka Mchaka
JF-Expert Member
- Jul 20, 2010
- 4,516
- 1,404
Zitto amekuwa msemaji wa kafulila siku hizi? Eti anamtaja kafulila kuwa ni mnyonge!!!
Zitto amekuwa msemaji wa kafulila siku hizi? Eti anamtaja kafulila kuwa ni mnyonge!!!
[h=6]Zitto Kabwe
[/h][h=6]Kafulila kuendelea na Ubunge..... Mahakama Kuu imetoa amri muda mfupi uliopita.
Ataendelea kuwa Mbunge mpaka hapo kesi ya msingi itakapokwisha. Mungu yupo pamoja na wanyonge siku zote.[/h]
aendelee asiendelee na ubungo yote hayana muda hapa, cha kujiuliza hv zitto ni Kiongozi wa nccr pia? Au ana ubia na ubunge wa kafulila? Maana halipiti jambo la kafulila bila kusikia zitto katamka jambo.
Huyu Zitto bado anaaminika na watanzania kweli?
Nimarafiki tena sana.aendelee asiendelee na ubungo yote hayana muda hapa, cha kujiuliza hv zitto ni Kiongozi wa nccr pia? Au ana ubia na ubunge wa kafulila? Maana halipiti jambo la kafulila bila kusikia zitto katamka jambo.
Tunamuamin sana zitto,nadhani ndiye rais yetu ajaye.,utake,musitake
Hili la kuvuliwa UANACHAMA na kakikundi kadogo ka watu kanakotafuna RUZUKU yetu kwenye vihoteli vya hapa Dar halafu unapoteza UBUNGE wa JIMBO la wapiga kura maelfu mahakama zetu zitusaidie kwa kweli. Msajili wa vyama ameshindwa. Analialia tu kama mbwa aliyemwona chatu.
KATIBA ya JMT inatuangusha kwa hili. Inamtaka mtu kugombea kupitia chama lakini haisemi itamlindaje anapoandamwa na "best loosers" kama akina Mbatia.
#Tunamuamin sana zitto,nadhani ndiye rais yetu ajaye.,utake,musitake
[h=6]Zitto Kabwe
[/h][h=6]Kafulila kuendelea na Ubunge..... Mahakama Kuu imetoa amri muda mfupi uliopita.
Ataendelea kuwa Mbunge mpaka hapo kesi ya msingi itakapokwisha. Mungu yupo pamoja na wanyonge siku zote.[/h]
source please kaka