Kadi yangu ya CCM niifanye nini?

Kadi yangu iko ndani ya briefcase inanikumbusha mbali tulivogawiwa kwa lazima. Nimeiweka karibu na kadi yangu mpya ya cdm. Zitajuana humo ndani ya briefcase,najua itakuwa inazomewa sana na kadi yangu niliyoinunua elfu na miatano wakati ile nlipewa bure ila cha ajabu ile ya kijani ina risiti ya malipo sijui alilipia nani. Pia ile ya kijani unisaidia kulinda kibarua changu mara moja moja ila hawajui kuwa huwa nawapiga changa la macho. Wenye kadi izo,najua na prof Azaveli Lwaitama kadi anayo,ila ameitunza. Tutunze kadi zetu.
CCM JUU, JUU, JUU ZAIDI, upinzani ndani ya Chama ndio jeuri ya Chama kwa wapinzani wetu! Hongera wanamapinduzi wa kweli kwa kukiimarisha Chama, na ole wao mafisadi kwa kuidhoofisha Chama, CCM JUU, JUU, JUU ZAIDI. Mapinduziiii.......daimaaaa!
 
Back
Top Bottom