Kadi yangu ya CCM niifanye nini?

Jambo linaloniuma sana ndugu zangu ni kwamba hata viongozi wangu wa ccm ngazi ya kata wamekata tamaa kabisa, ukiwauliza msimamo wao wanasema uongozi wa juu umewatelekeza, halafu wanasema 'acha tu chadema wachukue'. Yaani tunakoelekea ccm cjui wapi, nisaidieni jamani!
 
Tuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia hadi Dec.2011, tuzifanye nini? JK uenyekiti umemshinda, na Msekwa umri umesonga, Makamba ndio ucseme, naona tupangue sekretarieti nzima tuanze tena moja kama mwaka 1977, au wana ccm wenzangu mnasemaje? Tukidharau mwiba, guu litaota tende na wananchi wanazidi kuteseka. Viva ccm viva, ila ufisadi ni kansa na dawa ya kuutokomeza tunayo sisi wananchi!

Namimi nilikuwa nayo nilikuwa nimeilipia mpaka 2010 lakini baada ya kuona imeshakuwa aibu sasa kujitambulisha kama mwana CCM, mwezi Dec2010 niliamua kadi yangu kuifanaya kitu flani, nilichoifanya sitaki kukizungumza hapa maana hawachelewi kufanya utafiti kujua kama mimi ni raia ama la
 
kuna jambo moja tu, nasubiri then hiyo kadi nitaitumbukiza chooni,am fed up vibaya mno. na huyo Makamba kusema milango imefunguliwa kumenipa hasira vibaya mno......tumekitumikia chama leo,mpuuzi mmoja kisa tumehoji kuhusu DOWANS anasema milango imefunguliwa.....lets see,am happy when they are frustrated......tuko wengi tu kila siku tunajadili tufanyeje na hizo kadi.......bora usiwe na chama kuliko uwe na chama kinachokuangamiza wewe na kizazi chako......umeme tabu,huduma za afya mbovu,miundombinu ndo hiyo,elimu ndo hiyo yaani........:A S 20:
 
..mimi niliipeleka tawi la CCM la Kisosora yaani niliirudisha kwa wenyewe. huwa siafiki kadi ya uanachama ya chama X uikabidhi kwa uongozi wa chama Y. na nilipowarejeshea niliwaambia LIVE kwamba you are completely off the track. of course niliitoa picha.
 
Alichokiongea Makamba kuhusu milango kuwa wazi kwa aliyeichoka ccm, mimi napingana naye kabisa, iweje sisi tupinge ufisadi ndani ya chama alafu mtendaji wetu mkuu atuambie milango iko wazi? Kwa nini actoke yeye? Go Makamba go....go JK go...mtuachie ccm yetu ili tuisafishe kama dhahabu inavyopita kwenye tanuru ya moto!
 
Tuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia hadi Dec.2011, tuzifanye nini? JK uenyekiti umemshinda, na Msekwa umri umesonga, Makamba ndio ucseme, naona tupangue sekretarieti nzima tuanze tena moja kama mwaka 1977, au wana ccm wenzangu mnasemaje? Tukidharau mwiba, guu litaota tende na wananchi wanazidi kuteseka. Viva ccm viva, ila ufisadi ni kansa na dawa ya kuutokomeza tunayo sisi wananchi!

itupe jalalani.
 
Jambo linaloniuma sana ndugu zangu ni kwamba hata viongozi wangu wa ccm ngazi ya kata wamekata tamaa kabisa, ukiwauliza msimamo wao wanasema uongozi wa juu umewatelekeza, halafu wanasema 'acha tu chadema wachukue'. Yaani tunakoelekea ccm cjui wapi, nisaidieni jamani!
kaka taratibu! unanivunjambavu mwenziooooooo!!!
 
Jamani mie mwenzenu ninakadi 2. moja ya TANU na moja ya CCM. lakini sasa naona hali ni tete
na umri unanitupa mkono. Nilikuwa na mapenzi sana na chama hiki toka nikiwa mdogo! lakini sasa
nasema baasi. Hizi kadi zao naziweka kumbukumbu kama history ya Hitler mnazi. Maana hawa ccm
hawana tofauti na chama cha NAZI
 
Jamani sasa hawa viongozi wa ccm kata wanaosema 'acha tu chadema wachukue' ukichanganya na naibu waziri wetu aliyeibuka na kusema 'chadema oyeee' si ndio wanaashiria usaliti wa wazi kabisa ndani ya ccm? Wakati umefika kwa sisi wanaccm wenye uchungu na chama chetu kuamka na kusema imetosha, ni bora kupambana ndani ya chama ili ccm ipone kuliko kutoka na kurusha madongo huku tukiwaachia mafisadi chama chetu. Shime wanaccm tukumbuke kiapo chetu...'NITASEMA KWELI DAIMA, FITINA KWANGU MWIKO. RUSHWA NI ADUI WA HAKI, SITATOA WALA KUPOKEA RUSHWA. BINADAMU WOTE NI SAWA NA WANASTAHILI KUHESHIMIWA NA KUTHAMINIWA UTU WAO! JK na Makamba, chonde chonde jamani, jahazi letu laenda mrama hivi hivi na nyinyi mnaona, mbona wazee wenzenu Mwinyi na Mkapa waliweza kutuongoza bila matatizo makubwa kama haya tuliyonayo sasa? Angalieni wapi mlipojikwaa, muamke fasta mjirekebishe ndipo msonge mbele, msingoje vurumai la mkutano mkuu wa taifa wa ccm, mtakosa pa kukamatia!
 
ipeleke museum itakua adimu miaka michache ijayo!

Aaah! Sungurampole mbona unanizidishia machungu ndugu yangu? Wanaccm wote wenye moyo wa dhati wa kuleta mapinduzi ya kweli na kurudisha heshima ya chama chetu, shime tujitokeze na kuungana pamoja kuing'oa sekretarieti kuu na kupitisha mabadiliko ndani ya katiba yetu ya ccm ili tuondokane na mafisadi wanaotuhujumu na kuinajisi ccm yetu!
 
Tuko maelfu kwa maelfu wanachama hai kabisa wa chama cha mapinduzi, lakini tumechoshwa kabisa jinsi chama kinavyozidi kutumbukia shimoni kila kukicha, tufanyeje? Na hizi kadi zetu tumeshazilipia hadi Dec.2011, tuzifanye nini? JK uenyekiti umemshinda, na Msekwa umri umesonga, Makamba ndio ucseme, naona tupangue sekretarieti nzima tuanze tena moja kama mwaka 1977, au wana ccm wenzangu mnasemaje? Tukidharau mwiba, guu litaota tende na wananchi wanazidi kuteseka. Viva ccm viva, ila ufisadi ni kansa na dawa ya kuutokomeza tunayo sisi wananchi!

Tunawatakia kila la heri na chama chenu cha kimaskini. Hivi unajua unachokifanya kwa kushabikia wauwaji? EPA, Richmond, Dowans, Radar, Unemployment, Umaskini, Wizi, Criminals...Any way siku ipo utafunguka macho na mawazo kama wananchi wa Egypt na Tunisia.
 
vutieni tu sigara hizo kadi zenu kwani hazina wala faida yeyote kwenu
 
Fanyeni mapinduzi ya uongozi ndani ya chama!

That is what is needed Katavi!..Mkwere hana guts!...Yaani naona kajitoa muhanga chama kimfie kwa ajili ya mafisadi wasiozidi kumi!...The weakest chairman ever!...
 
Alichokiongea Makamba kuhusu milango kuwa wazi kwa aliyeichoka ccm, mimi napingana naye kabisa, iweje sisi tupinge ufisadi ndani ya chama alafu mtendaji wetu mkuu atuambie milango iko wazi? Kwa nini actoke yeye? Go Makamba go....go JK go...mtuachie ccm yetu ili tuisafishe kama dhahabu inavyopita kwenye tanuru ya moto!

Yaani hivi vijamaa vinanikera?.....Viswahili sana!....Mbaf...Ndo Makamba kaweka historia ya Katibu Mkuu asiyekuwa na digrii!...
 
Back
Top Bottom