Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.
Hapo CCM wala haihusiki, nyie CDM wenyewe toeni ukweli, vijana wenu wa Arusha ndio wamefanya haya mauaji, kwani mnafikiri hatujui kuwa kuna vijana wenu waliozulumiana hela huko igunga. Waislamu hawatakiwi CDM na wengi watauwawa.
Sasa mbona BAKWATA hawatoi tamko?Walimuua chadema (wale vijana wakala wenzake) baada ya kuhisi kuwa n msaliti..
Na ujue hawaamini waislamu wote katika hicho chama...so muslims youngs watch out..
Ni dhihaka kubwa CCM kututaka mashauriano juu ya Dowans wakati hawaelezi nini wanachokifahamu juu ya kifo cha Maasou Mmbwana kule Igunga.