Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Topical, Ritz, Ami etc sidhani kama angekuwa ndugu yenu mngesema utumbo mnaousema sasa hivi!
Serikali ya CCM+CCM wachunge sana maana umauti kama huo unaweza kuwapata viongozi wao na wanachama wao pia. Nadhani Tanzania tunapitia kwenye uongozi mbaya kupita yote iliyotangalia na tuombe Mungu tusije kupata uongozi mbovu kama huu tena.
 
Kama JK jana tu amewaachia huru wauaji (convicted before the court of law) wa Imran Kombe (FYI the murder was political motivated). Hivi mnafikiri JK atapata wapi moral authority ya ku-insitute uchuguzi huru wa Kijana Masoud Mbwana. This was a deliberately killing to send a clear message to others kwamba if you will dare to stand to our election victory we are going to murder you with impunity. Hence kuwatisha vijana wasiendelee kujitolea tena kuwa wakala wa CDM.

CCM and JK they are mumiani, wataua na wataendelea kuua, kwasababu CCM USHINDI WAO NI LAZIMA, CDM lazima hili mlisema kwa nguvu zote ili dunia ijue u-mafia wa CCM.
Hapana....wataua sasa lakini wana mwisho wao hao. Kwani Samuel Doe wa Liberia alikuwa anawafanyaje wapinzani wake .....lakini mwisho wake yeye si alifungwa uume wake na kuanza kuvutwa mpaka ukanyofoka na wananchi wenye hasira kali..!! Hao wa CCM watapata malipo yao hapahapa duniani ..Mungu atuweke hai tu tushuhudie hayo!
 
Mambo yanaenda vizuri nadhani, tunaweza kukusanya ushahidi ili mrithi wa Ocampo apate wa kuanza nao! Inasikitisha ila uovu haukuwahi kusimama mbele ya haki!
 
Mtatoa Tamko la kuitisha maandamano nchi nzima? Tunasubiri jibu kutoka kwa wajikoni
ritz kwenye ishu za majonzi kama hizi jaribu kuficha ushabiki wako, hivi toka umeingia kwenye hii thread umekutana na mizaha? huu ni msiba wa mwenzetu onyesha japo umeguswa na kifo cha binaaadamu mwenzako
 
Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.
 
Damu hii iliyomwaga na iwe juu ya wana magamba na wengine woote wanaoshabikia unyama huu!
 
MODS ona lugha hizi....huyu asipokula ban tujue kwamba mnaruhusu haya.

nadhani anayefurahia kifo cha huyu kijana anastahili life ban kuliko anayetumia lugha kali. tufike mahali tuwe na hekima kwa sababu mtu kama Kishongo anachokifanya, japo ni kupitia mtandao, hapashwi kukifanya.

Fikiria kama mtu anaweza kufika kwenye familia ya watu walofiwa na kuanza kuwacheka ama kuwadhihaki.

Some jokes are too ridiculous to escape a life ban.
 
Ndo maana naichukia siasa kuliko k2 chochote dunia hii wakina mbowe watapata umaarufu kutokana na jambo hili na watazidi kupata jina lkn ni hasara gani familia yake imepata je chadema kwel wataitunza familia ya marehem na kama dini zote zinavyoamin kwl hizo r.i.p ze2 zitamsaidia kumuweka mahala pema kwl huko mbingun .
 
Kitu ambacho baadhi ya wafuasi wa Chama inabidi wajirekebishe haraka ni jazba, matusi, kejeli na ufedhuli. Ukiwaambia wanaccm wote ni mafisadi maana yake nini? ukiwatukana CCM kuwa ni magambba maana yake nini? Halafu nguvu ya Umma ni kwa Chadema peke yake? Kwani hao CCM si pia nao ni wengi in millions. Wachambuzi wengi nadhani wana matatizo makubwa.
 
Hapo CCM wala haihusiki, nyie CDM wenyewe toeni ukweli, vijana wenu wa Arusha ndio wamefanya haya mauaji, kwani mnafikiri hatujui kuwa kuna vijana wenu waliozulumiana hela huko igunga. Waislamu hawatakiwi CDM na wengi watauwawa.
 
Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.
Kwa sababu Mwenyekiti wa CCM,Katibu Mkuu,Mwenezi,wa Fedha na Mambo ya nje wote ni madebe shinda hiyo waliona ndio njia halisi ya kuwatisha makamanda wengine watakaopenda kujitolea kufanya kazi za chama,lakini hakika wameshindwa angalia hizo picha hapo juu,vijana kwa majonzi makuu,wapo pamoja na uongozi wa Chadema kwenye mazishi,wana CCM Igunga wameshikwa uoga hakuna hata aliyehudhuria mazishi hayo,tayari Magufuri,Kafumu,Mkapa,Kikwete Mwigulu,Wassira Nape Mnauye,na wana CCM uchwara wametengeneza chuki kubwa baina ya wananchi huyo mbunge wa CCM ameingia kwenye kundi la wauaji damu ya kamanda Masoud haitaisha bure,kwa nini hakumzika kwa kuficha kwenye mapori ni roho yake ilikuwa inakataa,na hakika waauaji,majambazi chama cha magamba kimejipalia mkaa Igunga

Viongozi wa CCM na wanachama wao wamepotoka na dhana ya kwamba watanzania ni waoga na hawafanyi maamuzi ,hii dhana itawaponza kuna siku wengi watakimbia nchi wengine watakimbia kwenda kuishi kwenye mahandaki,huu utamaduni wa kuteka watu nyara kwa ajili ya kisiasa CCM wamefanya kule monduli,walimteka diwani wa Arusha huko Igunga kwa hiyo hizo ni zao,na sisi wananchi hatutakaa kimya kwa sababu ya watawala mumiani wanywa damu za watu kama CCM
Viongozi wa CCM haswa mwenyekiti wa sasa Jakaya KIkwete ni mchawi wa usalama wa nchi yetu ,sijui tulimtoa wapi huyu binadamu mwenye roho ya kuua ili mradi abaki madarakani kwa namna yeyote ile mroho wa madaraka ,mtu mwenye visasi na dhuluma,damu za wote wanaokufa kwa sababu ya kutekeleza amri zake zitamrudi mwenyewe bado kitambo kidogo tuu naamini sauti za watu na kilio cha wananchi na wito wa wananchi ni sauti ya Mungu na Mungu hamtupi mja
Mungu aweke roho yake peponi amini
 
Ndo maana naichukia siasa kuliko k2 chochote dunia hii wakina mbowe watapata umaarufu kutokana na jambo hili na watazidi kupata jina lkn ni hasara gani familia yake imepata je chadema kwel wataitunza familia ya marehem na kama dini zote zinavyoamin kwl hizo r.i.p ze2 zitamsaidia kumuweka mahala pema kwl huko mbingun .
Kwa haraka haraka unaweza kudhani Masoud alienda kumfurahisha mbowe kwa sababu uko kwenye mrengo wa kunufaika na huu utawala mbovu kuliko wote tangu nchi iapate utawala kutoka kwa mwingereza,Ukweli hii ni kazi ya Mh.Dr Jakaya Kikwete akishirikiana na watoto wake na mkewe Ridhiwani,Miraji,Halfani na Salma,kukandamiza haki za watu kwa namna yeyote ile ikiwemo kutumia polisi,usalama wa taifa,Takukuru,mahakama na Bunge yote hii ni katika njia ya kuinyonga demokrasia kwa kutishia watu
Historia inasema vitisho manyanyaso,uuaji wa watu wasio hatia ni nembo muhimu za ukombozi huyu mzee hapo IKULU ahesabu siku kutoka kwa aibu kubwa kuliko maraisi wengine ni muuaji sana
 
Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.

Hivo unafurahia kifo cha huyu kamanda? Shame on you na ccm yako mwisho wenu unakaribia.
 
Ki ukweli taarifa hii inashtua sana, na ukiutazama mwili wa marehemu unadhihirisha wazi ni mauaji ya kinyama sana. Tuwaase wana magamba siasa za fitina, chuki, hila zitalipeleka taifa hili pa baya. je leo wazazi na ndugu wa marehemu wanajisikiaje? tunaenda wapi watanzania jamani, tatizo ni madaraka tu mpaka tuuane? Tujitafakari sana siasa hizi tutajuta mbeleni. Tukumbuke vita ikitokea watanzania hatuna nchi ya amani inayotuzunguka tunayoweza kukimbilia. Tufanye siasa za ushindani wa kweli na anaeshinda kwa haki tukubali kuwa ndo wananchi wamemchagua bila kujali chama, mambo ya siasa za vyama yatatupeleka kwenye machafuko.

Kwa upande wa viongozi wa CDM nawalaumu, wameshindwa kutoa taarifa kwa umma kwa wakati toka tukio hilo litokee na uongozi hadi leo haujatoa taarifa yoyote ukiachilia mbali hii ya jana ya Katibu wa wilaya ya Kinondoni. Niwasihii viongozi wa CDM kuwa kijana huyu walimchukua wao toka DSM kumpeleka Igunga, wahakikishe haki inatendeka, waliohusika wakamatwe. Kifo hiki ni doa kwa siasa zetu
 
Hapo CCM wala haihusiki, nyie CDM wenyewe toeni ukweli, vijana wenu wa Arusha ndio wamefanya haya mauaji, kwani mnafikiri hatujui kuwa kuna vijana wenu waliozulumiana hela huko igunga. Waislamu hawatakiwi CDM na wengi watauwawa.
kama ccm haihusiki basi niwewe unahusika.
 
Kwa haraka haraka unaweza kudhani Masoud alienda kumfurahisha mbowe kwa sababu uko kwenye mrengo wa kunufaika na huu utawala mbovu kuliko wote tangu nchi iapate utawala kutoka kwa mwingereza,Ukweli hii ni kazi ya Mh.Dr Jakaya Kikwete akishirikiana na watoto wake na mkewe Ridhiwani,Miraji,Halfani na Salma,kukandamiza haki za watu kwa namna yeyote ile ikiwemo kutumia polisi,usalama wa taifa,Takukuru,mahakama na Bunge yote hii ni katika njia ya kuinyonga demokrasia kwa kutishia watu
Historia inasema vitisho manyanyaso,uuaji wa watu wasio hatia ni nembo muhimu za ukombozi huyu mzee hapo IKULU ahesabu siku kutoka kwa aibu kubwa kuliko maraisi wengine ni muuaji sana

Alichokifata anakijua mwenyewe na huo mlengo uloniweka unaujua mwenyewe. Nilichoeleza mi ni kwamba je hicho kifo chake ni hasara na faida ya nani just imagine labda ni mume na baba wa familia na walikuwa wanamtegemea sana je chadema wataitunza hy familia hao wataishia kumwita kamanda aliyekufa kishujaa na kumcfu majukwaani wakati familia yake inateseka na yeye aki2mikia adhabu kwa mungu wake manake japo kauawa na ccm km wengi wanavosema hata kama alikuwa na madhambi yake mungu atamsamehe.
 
Hili liwe fundisho kwa wale wanaojipeleka kichwa kichwa kushabikia fujo za magwanda. Ni ujumbe tosha kwa machalii....wasikubali kudanganywa tena na siasa uchwara.
Kumbe mmeua ili liwe fundisho..sasa nimeanza kuwaeleweni lakini kwa taarifa yako kadri mnavyozidi kuua ndiyo mnavyoongeza ujasiri wa vijana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom