Kada wa CHADEMA akutwa amefariki Igunga!

Walimuua chadema (wale vijana wakala wenzake) baada ya kuhisi kuwa n msaliti..

Na ujue hawaamini waislamu wote katika hicho chama...so muslims youngs watch out..
 
Walimuua chadema (wale vijana wakala wenzake) baada ya kuhisi kuwa n msaliti..

Na ujue hawaamini waislamu wote katika hicho chama...so muslims youngs watch out..


Kwa hiyo mmemuua kijana wa kiislam ili kutisha wengine wasije? Hizo propaganda zilitumika sana lakini bado watu walisimama kudai haki zao.
Kumbuka damu nzito na damu ya mtu haipotei bure.
 
Kwa hiyo mmemuua kijana wa kiislam ili kutisha wengine wasije? Hizo propaganda zilitumika sana lakini bado watu walisimama kudai haki zao.
Kumbuka damu nzito na damu ya mtu haipotei bure.

Walimuua kijana wa kiislam kwasababu ya ubaguzi na chuki zao kwa waislamu

Hawaamini any muslim kwenye hicho chama..

Hawamuamini zitto itakuwa wakala..

Kijana wa kiislam ni vitim wa ubaguzi katika chadema period
 
Hili jambo linakuzwa mno. Gazeti la Rostam la MTANZANIA leo limeiandika habari hii kwa "mbwembwe" ili ionekane ameuawa na CCM. Gazeti la CHADEMA ambalo ni TANZANIA DAIMA lenye uhusiano na EL na RA nalo limetoka na habari kuhusu Benno Malisa akimshutumu NAPE. Ni kampeni na propaganda zinazopikwa. Tunafahamu namna baadhi ya waandishi wa habari wa magazeti haya wakiwemo baadhi ya wahariri wao walivyowekwa mfukoni na akina EL na RA. Ikumbukwe hakuna mahali popote duniani mafisadi na majambazi walishinda vita. Wanaweza wakashinda kwa muda lakini mwishowe haki hutendeka.

kweli kabisa ndugu, Majambazi, Wezi, wauaji... Sijui mwakyembe anaendeleaje, Mungu amtangulie na Wazinzi namalizia hawatashinda hii vita nakuakikishia... 2tapiga chini chama chao 2015 Ccm, na 2tawafunga wote...
 
Walimuua kijana wa kiislam kwasababu ya ubaguzi na chuki zao kwa waislamu

Hawaamini any muslim kwenye hicho chama..

Hawamuamini zitto itakuwa wakala..

Kijana wa kiislam ni vitim wa ubaguzi katika chadema period

ur too late ma' frnd wit ur poor propaganda.... Ukweli upo waz na wewe pia unaujua bt sababu ya dhiki na kuish kwa kutegemea posho za Nape..
 
Mkw er e nchi imemshinda watu wake wanauliwa na chama chake na hapo hapo anatoa msamaha kwa wauaji walio muua kwa makusudi Gen Kombe, wanachi wakijichukulia sheria mkononi nani alaumiwe?
Poleni sana wanafamilia Mungu amrehemu Mbwana Masud
 
Alionekana Igunga usiku wa kutangaza matokeo hivyo analo jambo analofahamu juu ya kifo cha Maasoud.

Mkw er e nchi imemshinda watu wake wanauliwa na chama chake na hapo hapo anatoa msamaha kwa wauaji walio muua kwa makusudi Gen Kombe, wanachi wakijichukulia sheria mkononi nani alaumiwe?
Poleni sana wanafamilia Mungu amrehemu Mbwana Masud
 
Ni dhihaka kubwa CCM kututaka mashauriano juu ya Dowans wakati hawaelezi nini wanachokifahamu juu ya kifo cha Maasou Mmbwana kule Igunga.
 
AWAMU YA PILI YA MAITI YA MA-KADA WA CHADEMA IGUNGA:
WA-TANZANIA TUNADAI MAJIBU YA KINA, HURU, HARAKA NA WATU KUWAJIBIKA UPESI BILA MZAHA!!!


Hakuna mtu au kikundi kilichowahi kushinda vita dhidi ya Umma. Hakuna mahala ambapo wauaji hawa watakapoweza kujificha wasionekane.

Hakuna hata mfadhili mmoja wa mauaji haya ya kinyama (mtu, kundi au taasisi) itakayoteleza mbele bila damu hizi zilizotapakaa mikononi kuwaumbua mbele ya kandamnasi. Hakika hakuna atakayeweza kuitawala Tanzania kwa njia ya kumwaga damu za raia kwa sababu tu ya itikadi tofauti kichama.

Viongozi wetu wa dini zote nchini, sisi vijana tunasema mauaji haya KAMWE HAYAKUBALIKI. Enough is enough CCM. Mwenye kubahatika picha nyinginezo za hawa marehemu wetu wapia pamoja na taarifa nyinginezo muhimu atumwagie hapa tafadhali.




Burial has taken place, sensitive picture has been removed, please do not repost. Thanks !

11th October 2011 19:26

Hata kama wauaji hawa wako juu ya sheria za nchi yetu ya Tanzania, naamini kwamba HAWAKO JUU YA SHERIA ZOTE DUNIANI. Marehemu wetu laleni kwa amani; haki yenu haitopotea hata kabla ya jua ya UTAWALA WA KISHERIA DUNIANI kuzama.

(1) CHADEMA yetu nendeni kwenye maeneo yote ya tukio Igunga,

(2) Wanaharakati rudini Igunga kwa kila kitongoji,

(3) Kaamati ya Haki za Binadamu CDM andikeni barua rasmi kwenda ICC kuelezea hofu yetu kwamba kuna wasiwasi mkubwa

(i) mauaji ya raia,
(ii) vitendo vya ubakaji,
(iii) utekaji,
(iv) uchomaji mali zinazotiliwa shaka kufanyika na KIKUNDI CHA KIGAIDI nchini kwa kile kinachoelezewa kuwa ni msaada wa taasisi nyeti za kiserikali na pia ambacho wafadhili wake hudhaniwa kuwa wamo ndani ya serikali ya sasa.

(4) Wananchi TUOMBE TAASISI HURU isiyokua na uhusiano wowote na utawala huu wa CCM kuja kuchunguza mauaji haya - FBI na Scotland Yard au ICC.

(5) Usiku ule wa 'Matokeo ya Nape' Igunga, nilipata kuwaandikieni humu kwamba HAKUNA UCHAGUZI WOWOTE ULIOFANYIKA IGUNGA kama vigezo ni 'HURU NA WA HAKI'.

Na leo nawaambieni kwamba
kuna tetesi zinazokwenda hewani hivi sasa toka Igunga kwamba kuna miili ya Wa-Tanzania, hasa waliotokea mikoa mingine kuja kulinda kura Igunga na wengine wengi wakiw ni Ma-Kada wa CHADEMA waliopolewa majumbani usiku wa kuamkia uchaguzi ule mdogo, kibao imezikwa chini ya ardhi kwenye kwenye pori kaburi la pamoja Igunga.

Hayo maafa yote yadaiwa kutokea usiku wa kuamkia uchaguzi Igunga kufuatia matangaza ya afisa mwandamizi wa Chama tawala kwenye vyombo vya habari huku wakionyesha kupinga ujio huo hivyo kuamua kupambana nayo hadi umautini. Kama ni kweli au la, hilo litakua ni jukumu la chombo huru ya uchunguzi usiotokana na serikali kutoa majibu hayo.

Vile vile vyanzo hivyo vitakavyohitajika kupewa ulinzi wa kisheria huko Igunga vinaelezea kwamba huo hasa ndio sababu kubwa ya mambo mazito yaliotokea usiku huo ndio uliochangia watu wengi mno kutokuonekana vituoni siku ya siku watu kupiga kura.

Wakati kunaelezwa kwamba idadi ya waliojiandikisha kupiga kura Igunga ni 171,000, ni wati chini ya 60,000 tu ndio wanaosadikiwa kushiriki uchaguzi huo; tafakari!!!!!!!

Japo uchaguzi Igunga haujamridhisha hata Dr Kafumu mwenyewe na Damu hizi zote mikononi mwake na Wa-Tanzania kumlilia na chama chake, ishara ya alama hizi ni za hatari zaidi ZISIZOWEZA KUACHIWA KWENDA HIVI HIVI na taswira zake hasa tukielekea uchaguzi mkuu 2015.

Wa-Tanzania TUNATAKA MAJIBU YA KINA TENA YA HARAKA ZAIDI ZENYE HAKI NA MIKONO HURU.


Maiti za wanawake wawili zimeokotwa jana katika msitu wa kijiji cha Ulaya, Kata ya Nkinga wilayani Igunga zikiwa zimeharibika vibaya.

Wakati uchunguzi unaendelea, taarifa za awali zinaeleza kuwa mmoja wao ambaye ni mama wa makamo, anajulikana kuwa ni shabiki mkubwa wa Chadema na Mhamasishaji maarufu mwenye ushawishi wa kisiasa, alikuwepo siku Helikopta ya CHADEMA ilipotua Nkinga na Mwenyekiti Freeman Mbowe kwa ajili ya kampeni siku ya J'4 kabla J'2 ya uchaguzi, Baada kumalizika mkutano huo muda wa jioni sana, mama huyo alikuwa akirudi kijijini kwake, lakini kuna kikundi cha vijana wa makambi wa CCM walionekana wakimfuatilia, wakiwemo watoto wawili wa Diwani wa kata hiyo ambao ni maarufu kwa ujambazi lakini mara zote wanakingiwa kifua na baba yao kwa wadhifa wake wa udiwani, mama huyo hakuonekana tena hadi maiti yake ilipookotwa jana msituni ikiwa bila nguo (zimetundikwa juu ya mti) na imeharibika vibaya na kuliwa na wadudu.

Upande wa pili wa barabara alipookotwa mama huyo kulikutwa maiti nyingine ya mwanamke mwingine aliyeuawa kwa staili ileile na kuachwa bila nguo, ila kutokana na kiwango cha kuharibika kwake inaelekea aliuawa siku tofauti na kuja kutupwa hapo, pembeni yake wauaji hao waliweka kitambulisho cha mtu wanaetaka ahusishwe na mauaji hayo, dalili zote zinaonesha wauaji ni walewale, inasemekana mwanamke huyo ametokea kata jirani ya Ndembezi.

Polisi zaidi ya kuchukua maiti hizo kwa pamoja na kuondoka nazo haijasema lolote, jitahada kubwa zinafanywa kulifunika suala hili liishe kimyakimya lisije likaleta kashfa kubwa ya mauaji kwa chama tawala, baada ya Nape Nauye kuahidi kuwa watafanya hivyo na wasilaumiwe kwa kuwa kuna kijana wao amemwagiwa tindikali.

Inaelekea kuna maiti nyingi zaidi hazijapatikana maporini na nyingine zimefukiwa huku ndugu zao wakidhani wamesafiri au wako kwenye mihangaiko, lakini kwa kuwa La Kuvunda Halina Ubani, basi kitaeleweka tu!
 
Chombo chochote kinachoitwa SERIKALI, hata kama hakina uhalali wa kupata kuitwa hivo, pale kinapoonekana na kuanza kutiliwa shaka na waongozwa wake kwamba ndicho hasa kinachohusika na UMWAGAJI WA DAMU ZA NDUNGU ZAO NA KUZALISHA MI-YATIMA KIBAO, chombo mpaka hapo kwa watu wenye akili wanajua fika kwamba anguko laki si mbali hata kidogo, ni swala la muda tu sehemu kubwa ya wafwasi wake kuanza kukitoka mmoja baada ya mwingine mara baada ya wenginewao kuamua kugeuka wauaji. Hili nalo haliko mbali sana hapa nchini mwetu.
 
Mwili wa Marehemu Mbwana,kamanda wa CHADEMA,aliyeuwawa kikatili Igunga,kamanda umekufa ukipigania haki,tutakukumbuka daima!

Picture removed, please do not repost. Thanks !
 

Attachments

  • kamanda.jpg
    kamanda.jpg
    64.2 KB · Views: 78
Hawa lazima watakuwa CDM tu toka lini wakawa na mapenzi na Waislam? Wamemua Muislam bana

Ndio tunawasubiri BAKWATA wawalaani CHADEMA kwa mauaji haya, mbona wako kimya? Hii si ni zaidi ya mtandio/hijabu?
 
Bakwata haiongozwi na watu majuha.Hatuwezi kujiingiza kwenye jambo la dhana.Pale Igunga tulipolaani tuliwaona Chadema wakimkokota bi Fatma Kimaro kweupee.Hii kwamba maiti imekutwa nyuma ya gereza si lazima wauwaji wawe CCM.Uwezekano ni kuwa ni Chadema wakiwa na shutuma fulani kwa Mbwana kwamba kwa vile ni muislamu aliwasaidia CCM.

Common sense na matukio yaliyopita yanamfanya mtu mwenye brains kuwasuspect CCM and this is because BAKWATA hawajatoa tamko, polisi wapo kimya, viongozi wa CCM wako kimya. Kama ingekuwa ni CDM tayari wangekuwa wanaozea jela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom