<br />
<br />
Nashaauri waanzishe Chama chao,CDM ina cancer ya Ukabila,Ukatoliki na Ubinafsi kutoka kwa mmiliki wa Chama hicho Freeman Mbowe!
mimi nionavyo vijana hao ni chumi tumbo hawawezi hama ccm kusema kweli watanganyika ni watu wa ajabu duniani ingestahili tupimwe akili zetu hakuna mzalendo kweli na akili yako unaunga mkono ccm kwa hisia kali sina uhakika akina january,nape ni binadamu kamili labda mazezeta fulaniKina Shyrose Bhanji, January Makamba na vijana wote mwenye uchungu na uzalendo wa nchi hii. Tokeni CCM, hamieni CHADEMA mlete maendeleo ya kweli nchini. Alama za nyakati zimeshaonesha kuwa hata waibe kura vipi, CCM hawashindi uchaguzi wa 2015.
mimi nionavyo vijana hao ni chumi tumbo hawawezi hama ccm kusema kweli watanganyika ni watu wa ajabu duniani ingestahili tupimwe akili zetu hakuna mzalendo kweli na akili yako unaunga mkono ccm kwa hisia kali sina uhakika akina january,nape ni binadamu kamili labda mazezeta fulani
<br />
<br />
Nashaauri waanzishe Chama chao,CDM ina cancer ya Ukabila,Ukatoliki na Ubinafsi kutoka kwa mmiliki wa Chama hicho Freeman Mbowe!
huyu mama yupo kambi gani? mbona anaonekana kama anataka kukimbia chama chake alichoapa kukilinda na kukitetea hadi kifo, kaona meli imeshaanza kuzama nini?kada umesema kweli-big up! something must be done.
Shy-Rose, dont waste UR time at with the magambas. Ingia CDM sasa hivi ujijenge mapema na jimbo la Kinondoni ni lako 2015. If Halima Mdee could, you also can baby. The ship is sinking fast, just fumba macho and JUMP, JUMP, JUMP......!
aitishe press conference kama kweli mwanamke wa shoka. anasemea uvunguni then nyie mnamwita mjasiri - wapi na wapi.Nampongeza shy rose kwa ujasiri, thats the way how we all should be!
Hakuna privacy kwenye wall ya facebook hata siku moja. Hata kama ingekuwa ndani ya email as long as data imepatikana inafaa kuwekwa hapa. Nenda kwenye yahoo messenger ukafanye mambo yako kwa privacy.Rich Monduli,
Mkuu unajua kama ume breach privacy ya watu ktk mawasiliano kwa kuweka bandiko (copy and Paste) hili hapa bila consent yao?.. Afadhali ungeweka maelezo ya ShyRose pekee bila hizo picha na majibu ya wahusika wengine..
Ni kweli, Hakuna cha shyrose wala makamba, wote ni wale wale tu.
Swali la kizushi kwa wana JF: Hivi Shyrose bado yuko kwenye group la "vijana" kweli?? Mbona mimi naona kama too late.