Kada wa CCM Shy-Rose Bhanji: JK umetuangusha, nchi sasa inayumba bila uongozi imara

Kwa kweli kama 2015 watamweka mtu mwenye sifa za JK basi makada wote watahama CCM, hongera Shyrose kwa kw kuonyesha unakerwa na uzuzu wa Rias wetu. Good luck
 
Jockeying for position, tayari.

Miaka yote ndiyo unakuja kushtuka leo kwamba JK bomu?
 
kwa nini asichukue maamzi magumu tukajua moja anazunguka mbuyu kwa nini
 
..............Nadhani akae huko huko,huyu ni kambi ya Lowasa inayofanya kazi kumchafua JK kwa ajili ya uchaguzi wa 2015....
 
Kina Shyrose Bhanji, January Makamba na vijana wote mwenye uchungu na uzalendo wa nchi hii. Tokeni CCM, hamieni CHADEMA mlete maendeleo ya kweli nchini. Alama za nyakati zimeshaonesha kuwa hata waibe kura vipi, CCM hawashindi uchaguzi wa 2015.
mimi nionavyo vijana hao ni chumi tumbo hawawezi hama ccm kusema kweli watanganyika ni watu wa ajabu duniani ingestahili tupimwe akili zetu hakuna mzalendo kweli na akili yako unaunga mkono ccm kwa hisia kali sina uhakika akina january,nape ni binadamu kamili labda mazezeta fulani
 
mimi nionavyo vijana hao ni chumi tumbo hawawezi hama ccm kusema kweli watanganyika ni watu wa ajabu duniani ingestahili tupimwe akili zetu hakuna mzalendo kweli na akili yako unaunga mkono ccm kwa hisia kali sina uhakika akina january,nape ni binadamu kamili labda mazezeta fulani

Huyu mtalaka wa Jafarahi, ni mwanamtandao.
Ikumbukwe kuwa aliyemchafua Fredrick Sumaye kuwa kajilimbikizia mali kwa mara ya kwanza kwenye vyombo vya Habari ni Shy-Rose Bhanji kupitia gazeti la Daily News ilikusafisha njia ya uraisi ya JK akisaidiwa na Edward Lowassa.

Baada ya kutua Bomu akacha kazi na kutafutiwa kazi na Lowassa Dawasco. Ikumbukwe 2005 vyombo vya habari vingi vilicheza siasa kwa kiasi kikubwa na ndugu yetu Rweyemamu wa Rai enzi hizo leo yupo Ikulu sasa dada yetu hajakumbukwa ndio maana anatapatapa hana jipya bali ni kujaribu kurudisha nguvu ya LOWASSA
 
si aseme tu kwamba anataka ukuu wa wilaya na yeye ale ale kidogo.
 
kada umesema kweli-big up! something must be done.
huyu mama yupo kambi gani? mbona anaonekana kama anataka kukimbia chama chake alichoapa kukilinda na kukitetea hadi kifo, kaona meli imeshaanza kuzama nini?
 
Hv,embu jaribuni kufikiria wana jf, huyu shyrose kama angepata ubunge 'hayo angeyasema'?. Ni unafiki,unafiki na unafiki. Hzo ni hacra zake2 za kuukosa ubunge. Halafu mnamuita aje chadema kufanya nn?. Kwani haya matatizo yameanza leo ndo yeye anayaona ss hv. Cdm hatutaki mamluki,wanaona huku ndio kimbilio la wakosefu.. Mi naona kama tumevamiwa tu humu na wauza sura.. Fcbuk na jf wapi na wapi??
 
Ni kweli, Hakuna cha shyrose wala makamba, wote ni wale wale tu.

Swali la kizushi kwa wana JF: Hivi Shyrose bado yuko kwenye group la "vijana" kweli?? Mbona mimi naona kama too late.
 
Shy-Rose, dont waste UR time at with the magambas. Ingia CDM sasa hivi ujijenge mapema na jimbo la Kinondoni ni lako 2015. If Halima Mdee could, you also can baby. The ship is sinking fast, just fumba macho and JUMP, JUMP, JUMP......!

Mhh.....aachie haya matunguli ya magamba si yatamfuata huko CDM

shy-rose+bhanji.jpg
 
songa mbele shyroz wengi watakusema lakini usijali mpenzi hiyo yote ni kwa vile wao hawana ujasiri wa kuongea ukweli ambao wewe umeonyesha waziwazi wazi. wengi wangetamani sana sana kuwa kama wewe lakini hawajiamini. wewe ni kichwa, wewe ni jembe, wewe ni mrembo, wewe ni mwanaharakati, wewe ni kamanda, wewe ni shujaa na mkombozi wetu...achana na vilaza ambao hawajiamini...wengi wanakuadmire lakini wanashindwa kukubali ila moyoni wanasema duh " kaongea point yule dada" au sijuik niwaite bunch of confused admirers hahaaa
 
Rich Monduli,

Mkuu unajua kama ume breach privacy ya watu ktk mawasiliano kwa kuweka bandiko (copy and Paste) hili hapa bila consent yao?.. Afadhali ungeweka maelezo ya ShyRose pekee bila hizo picha na majibu ya wahusika wengine..
Hakuna privacy kwenye wall ya facebook hata siku moja. Hata kama ingekuwa ndani ya email as long as data imepatikana inafaa kuwekwa hapa. Nenda kwenye yahoo messenger ukafanye mambo yako kwa privacy.
 
Ni kweli, Hakuna cha shyrose wala makamba, wote ni wale wale tu.

Swali la kizushi kwa wana JF: Hivi Shyrose bado yuko kwenye group la "vijana" kweli?? Mbona mimi naona kama too late.

kwani hujui mzee huko magamba ni kijana? hata JK walimuita kijana mwaka 2005 baada ya kushinda akasema yy sio kijana ni mzee
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom