Mhe. Shy-Rose Bhanji: Amuunga mkono J.Mnyika kuhusu udhaifu wa Rais

mwitaz

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
315
93
Hayawi hayawi huwa!
Mbunge wa Afrika Mashariki, Mhe. Shyrose katika mtandao wa www.facebook.com amefunguka na kuandika kama ifatavyo katika hii nukuu:- "Mbona serikali
hawakumuelewa Mnyika
Bungeni. Kwani si kweli
kuwa binadamu wote tuna
udhaifu?!"

Msemo huu unathibitisha kuwa:-

1. Rais ni dhaifu
2. Waziri Mkuu ni dhaifu; jambo Zitto Kabwe alithibitisha zamani.
3. Mawaziri na manaibu wao ni dhaifu
4. Wakurugenzi ni dhaifu
5. Ma-DC ni dhaifu
6.
7.
8.
9.
10.
......wote ni dhaifu na wamechaguliwa au teuliwa na Rais dhaifu ambaye pia ni Mwenyekiti dhaifu wa chama dhaifu.

Ikumbukwe Mbunge huyu (Shy-Rose Bhanji) alichagulia katika upande wa CCM lakini haoni haja yoyote ya kutetea pumba na ndio maana ameamua kusema jambo hili ambalo limesababisha baadhi ya wanachama wenzake wa CCM kujiandaa kuandamana kama njia moja ya kupaka chadema tope pamoja na Mbunge Mhe John Mnyika.

Kwa upande wa chadema kauli kama hizi ni mitaji mikubwa katika siku za usoni hasa katika vuta ni kuvute za Kisiasa.

Source:http://m.facebook.com/shyrose.bhanji.7
 
Last edited by a moderator:
Hilo mbona liko wazi jamani tatizo hatupendi kuambiwa ukweli watu wanapenda kusifiwa na kujisifu 2.
 
Rais wetu ni dhaifu inahuzunisha sana

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Leo wamemtoa nje ya bunge kwa kusema rais ni dhaifu, LAKINI SIKU AKIFA (God forbid), HAO UTAWASIKIA NA MASIFA YAO... Alikuwa mchapa kazi na tumempoteza mtu mwenye ujasili wa kusimamia anachokiamini... SIIPENDI KABISA HII KITU
 
Hoja ya kitoto kabisa hii...hii inanikumbusha wakati nipo darasa tatu tunga msamiati kutumia neno dhaifu.
 
Back
Top Bottom