Msaada: Endapo matokeo ya certificate yatachelewa, kuna njia mbadala ya kufanya application diploma?

omary khamis

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
402
77
Nina mdogo angu kamaliza certificate anataka kuendelea na diploma chuo kingine Ila vyuo vingi deadline ni mwez wa 8 anauliza endapo matokeo yatachelewa kuna njia m'badala ya yeye kuweza kufanya application???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama matokeo yatachelewa sana hali ya kuwa watu wameripot vyuo na kuanza masomo.. bac inabidi asubir intake ya March 2018..."atakuwa mwaka mmoja na hawa wataoingia october
 
Nina mdogo angu kamaliza certificate anataka kuendelea na diploma chuo kingine Ila vyuo vingi deadline ni mwez wa 8 anauliza endapo matokeo yatachelewa kuna njia m'badala ya yeye kuweza kufanya application???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwezi wa 8 mara nyingi matokeo yanakuwa yametoka ila cheti ndio kinakuwa bado, na Nacte wanalijua hili so chakufanya matokeo yakitoka tu achukue partial transcript yenye matokeo yote afanye maombi, ila mkute mmejiandaa ili msipoteze muda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom