JWTZ wa Tanzania Wamewasili DRC Kulinda Amani.Ni Baada ya "Kutimuliwa" Kwa Wanajeshi wa Kenya.

Wanajeshi wa Jeshi la Tanzania JWTZ Wamewasili Mashariki ya DRC Ili kulinda amani baada ya kikosi Cha awali Cha Jeshi la Afrika Mashariki kikiongozwa na Kenya Kuondolewa kwenye hayo majukumu Kuifuatilia kuelezwa kwamba kilishindwa kutekeleza majukumu yake.

Wanajeshi wa Tanzania wataungana na Wanajeshi wa kutoka Afrika Kusini.

View: https://www.instagram.com/p/C0_vD4UCGnI/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tanzania inaendelea kuaminiwa kwenye Kila Nyanja kuanzia Diplomasia Hadi Ulinzi na Usalama na kuwa kimbilio la Mataifa mengine ya Afrika.

Kenya ni matapeli Huwa hawaaminiki na yeyote na pia ni vibaraka wa Wazungu.

Rwanda na M23 tunajua mtanuna sana maana mnafahamu moto wa JWTZ.

Hakuna Ulinzi wa UN wala nini. Kinachofanyika ni UN kuiba raslimali za Kongo kwa kisingizio Cha walinda amani
 
Wanajeshi wa Jeshi la Tanzania JWTZ Wamewasili Mashariki ya DRC Ili kulinda amani baada ya kikosi Cha awali Cha Jeshi la Afrika Mashariki kikiongozwa na Kenya Kuondolewa kwenye hayo majukumu Kuifuatilia kuelezwa kwamba kilishindwa kutekeleza majukumu yake.

Wanajeshi wa Tanzania wataungana na Wanajeshi wa kutoka Afrika Kusini.

View: https://www.instagram.com/p/C0_vD4UCGnI/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Tanzania inaendelea kuaminiwa kwenye Kila Nyanja kuanzia Diplomasia Hadi Ulinzi na Usalama na kuwa kimbilio la Mataifa mengine ya Afrika.

Kenya ni matapeli Huwa hawaaminiki na yeyote na pia ni vibaraka wa Wazungu.

Rwanda na M23 tunajua mtanuna sana maana mnafahamu moto wa JWTZ.

Mbona maelezo na picha ni ya kikosi kilichowasili Bangui au huu ni mji wa DRC
 
Back
Top Bottom