JWTZ, MANUSCO unganisheni operations za Congo na za kumkamata Kagame dead or alive

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,859
19,700
Kutokana na ukweli kwamba Jamii ya kimataifa imejiridhisha kuwa Raisi kagame anahusika moja kwa moja kwa kuwasaidia March 23(M23) kijeshi na misaada mingineyo ya ki-inteligensia na kusababisha kutokuwa na amani nchini congo,kuuawa kwa watu,kubakwa kwa wanawake na kusababisha wakongo kukimbia eneo la goma na mashariki ya kongo na kuwa wakimbizi basi Rais kagame anayo kesi ya kijibu ICC
Week iliyopita shirika la haki za binadamu duniani(HUMAN RIGHT WATCH-HRW) ilitoa repoti kwa kuwahoji hata baadhi ya askari wa kagame ambao walipewa amri kuvuka mpaka na kuwasaidia waasi wa M23,ripoti hiyo ilitoa takwimu kuanzia mwezi march watu 40 wameuawa na wanawake 60 kubakwa na waasi wa M23,serikali ya Kigali bila hata aibu ilikanusha madai haya na uhusika wake
Serikali ya washington vilevile ilitoa wito kwa Raisi Kagame kuacha maramoja kuwasaidia waasi wa M23.Hii lazima ikumbukwe ni mara ya pili juu ya tuhuma hizi kwa wale wanaofuatilia mambo mtakumbuka mwaka jana Rwanda iliwekewa vikwazo na serikali ya uingereza kwa kuhusika kwake na tuhuma hizi hizi
Ukweli wa mambo unajulikana Rais kagame anaendesha operations za kuiba madini nchini Kongo kwahiyo asingependa hata kidogo kuona kuna amani na ndio hata maana aliposikia Amiri Jeshi mkuu wa Tanzania anamrisha JWTZ-TPDF kwenda kwenye ulinzi wa amani katika kikosi cha umoja wa mataifa(MANUSCO) alileta chuki binafsi na kuanza kumtolea maneno ya kejeli alipoambiwa afanye negotiations/mediations na FDRL
Jamii ya kimataifa imeshaliona hilo huu ni muda sasa wa kagame kutafutwa na kukamatwa akajibu tuhuma za kuwa adui wa amani ya CONGO kwa manufaa yake binafsi hivo basi natoa rai JWTZ,MANUSCO kwa weredi mkubwa hakikisheni operations za congo mnaunganisha na kumkamata kagame dead or alive kwa sababu anayo kesi ya kujibu ICC
 
Nchi yetu yenyewe imetushinda halafu tunajidai tunasaidia nchi nyingine kwanini tusitumie muda huu kutoa mawazo ya kuwataka watawala wetu waboreshe maisha ya watanzania!?
 
Mkuu acha kabisa hayo mambo ya uchochezi tusije tukashindwa kuendelea na shughuli zetu za kuufuta utawala dhalimu nchini mwetu tukageukia kupoteza resources na maisha ya watu kwa mtu ambaye hajaanzisha vita ya moto na wewe waache wayamalize mambo haya ki diplomasia hayo mengine waachie mataifa makubwaa
 
anachomolewa huyo anafata Dictator MU7

Bora ukose hela lakini siyo kufilisika akili.

Sisi hatuna huduma za msingi kama maji, umeme, huduma za afya, barabara, reli, elimu bora nk.
Tumepata wapi fedha za kuingia vitani????
Tangu lini Tanzania ikawa askari wa kanda hii ya Africa?
Nauliza, Tangu lini tumekuwa polisi wa ICC?
ICC haijui alipo PK ili kama wanashida naye wamfuate kwa gharama zao?

Wenzetu (Kenya, Uganda, Rwanda, Sudan Kusini, Ethiopia) wanafikiria maendeleo ya nchi zao na watu wao lakini wewe ndo kwanza unaanza uchochezi wa vita??

Yaani hujaridhika na umaskini tuliyo nao unataka tuingie kwenye ufukara jumla?

Tafuta elimu uelewe adhari za vita maana wewe vita unaiskia tu!!!

Aibu kwenu ninyi wote mnao waza vita!!
 
Na inavyosemkana majeshi ya UN yameishakmata ngome zao 5,wanasubiri ngome kuu1,instructions tu ya GO,wamalize,iwe history,usishangae kusikia uchumi wa rwanda ku fall very rapidly,so wait n see what happens people.
 
Unamchokoza Koba!

sidhani kama tupo hapa kutaka kumfurahisha au kumchukiza mtu! tupo hapa kusema ukweli uliyo huru! Tanzania ilifanya kosa kwa kutoshiriki kijeshi kuzuia mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa na rwanda kongo yaliyoishia kwa kuuwawa kwa mzalendo wa kweli wa kongo mzee kabila na kuweka pandikizi la kitusi hipolite . Sasa ni muda wakutubu na kumrejea mungu kwa kuhakikisha kongo inakuwa na amani ya kweli.
 
Na inavyosemkana majeshi ya UN yameishakmata ngome zao 5,wanasubiri ngome kuu1,instructions tu ya GO,wamalize,iwe history,usishangae kusikia uchumi wa rwanda ku fall very rapidly,so wait n see what happens people.

na utakuwa mwisho wa utawala wa kidhalimu huko rwanda na kufunguliwa upya kwa enzi mpya ya amani ya kweli huko kongo.
 
Nchi yetu yenyewe imetushinda halafu tunajidai tunasaidia nchi nyingine kwanini tusitumie muda huu kutoa mawazo ya kuwataka watawala wetu waboreshe maisha ya watanzania!?

ona mlivyo na roho mbaya, mpaka kujitambulisha kwa utaifa wako wa kinyarwanda unajionea aibu! Tanzania ingekuwa na raia wenye chuki kama nyie isingekuwa kimbilio la walionyimwa haki!
 
Kutokana na ukweli kwamba Jamii ya kimataifa imejiridhisha kuwa Raisi kagame anahusika moja kwa moja kwa kuwasaidia March 23(M23) kijeshi na misaada mingineyo ya ki-inteligensia na kusababisha kutokuwa na amani nchini congo,kuuawa kwa watu,kubakwa kwa wanawake na kusababisha wakongo kukimbia eneo la goma na mashariki ya kongo na kuwa wakimbizi basi Rais kagame anayo kesi ya kijibu ICC
Week iliyopita shirika la haki za binadamu duniani(HUMAN RIGHT WATCH-HRW) ilitoa repoti kwa kuwahoji hata baadhi ya askari wa kagame ambao walipewa amri kuvuka mpaka na kuwasaidia waasi wa M23,ripoti hiyo ilitoa takwimu kuanzia mwezi march watu 40 wameuawa na wanawake 60 kubakwa na waasi wa M23,serikali ya Kigali bila hata aibu ilikanusha madai haya na uhusika wake
Serikali ya washington vilevile ilitoa wito kwa Raisi Kagame kuacha maramoja kuwasaidia waasi wa M23.Hii lazima ikumbukwe ni mara ya pili juu ya tuhuma hizi kwa wale wanaofuatilia mambo mtakumbuka mwaka jana Rwanda iliwekewa vikwazo na serikali ya uingereza kwa kuhusika kwake na tuhuma hizi hizi
Ukweli wa mambo unajulikana Rais kagame anaendesha operations za kuiba madini nchini Kongo kwahiyo asingependa hata kidogo kuona kuna amani na ndio hata maana aliposikia Amiri Jeshi mkuu wa Tanzania anamrisha JWTZ-TPDF kwenda kwenye ulinzi wa amani katika kikosi cha umoja wa mataifa(MANUSCO) alileta chuki binafsi na kuanza kumtolea maneno ya kejeli alipoambiwa afanye negotiations/mediations na FDRL
Jamii ya kimataifa imeshaliona hilo huu ni muda sasa wa kagame kutafutwa na kukamatwa akajibu tuhuma za kuwa adui wa amani ya CONGO kwa manufaa yake binafsi hivo basi natoa rai JWTZ,MANUSCO kwa weredi mkubwa hakikisheni operations za congo mnaunganisha na kumkamata kagame dead or alive kwa sababu anayo kesi ya kujibu ICC

Wewe unatoa amri hii kama kamanda wa ICC, ama wewe ndiye kamanda mkuu wa majeshi ya MANUSCO, ama JWTZ?

Mimi nashauri Rwanda ifukuzwe kwenye AU na Jumuia ya Africa Mashariki kwa sababu imepoteza sifa za uanachama lakini si jukumu la JWTZ ama MANUSCO kumkamata akiwa hai au kufikiksha mwili wa Kagame ICC
 
Back
Top Bottom