Kwaiyo wamepewa medani kwa kulipua mizinga ya heshima Taifamajirani wanaopenda kulinganisha ubora na ufanisi wa JTWZ na majeshi yao ktk medani za vita, inabidi wajitafakari sana.
Akweli ni kwamba JWTZ ni moja kati jeshi bora mno ktk ukanda huu wa east,south and central Africa.
Kwa kuthibitisha hilo,hivi karibuni MUNUSCO imewatunuku medali wanajeshi wa tanzania wanaopambana huko Congo.
na imewatunuku kutokana na uwezo wao wa kimapambano.
Video hii hapa: https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1085832648145006&id=100001548420196
Hapa chini nakuwekea picha maalumu za JWTZ zilizochukuliwa hivi karibuni wakiwa uwanja wa mapambano ktk misitu ya beni Congo DRC.
NB: habari,picha na video ni kwa hisani ya account ya Facebook ya mwandishi na correspondent wa ITV anayeripotia toka congo ndg. eshongulu eshongulu eshongulu almarufu kama Austere Malivika.
View attachment 343015View attachment 343016View attachment 343017View attachment 343018View attachment 343019View attachment 343020View attachment 343021View attachment 343022View attachment 343023View attachment 343024View attachment 343025View attachment 343026