JWTZ katika ubora wao wa kiwango cha juu huko misitu ya Congo: Watunikiwa Medali

!
!
Acha kukariri wewe.....kama majukumu yao ni hayo kwenye uchaguzi kule Zanzibara wakifata nini? kwenye opereheni tokomeza je? vipi mtwara nako kulikuwa na nini....au unafikiri kazi zao ni kucheza magwaride tu na kuvunja matofali ya udongo kwa vichwa?
Mkuu unaishi karibu na pori la mabwepande nini?!.mbona unahasira sana na jwtz?.
 
Sijaelewa,yaani kuna nini hasa cha kusifia kwenye hizo picha?Unajua wabongo wanapenda kujisifia sana lakini kwenye vitu vyote wanavyoshindanishwa physical wanashindwa vibaya..kuanzia soka,ngumi ,riadha nk. Sasa hili la jeshi mmhhh
 
Hapo wanapambana na WAASI watu ambao hata nguvu zao za mapamabano ni questionable!! Siku tukiingia kwny vita na Taifa na sio waasi ndy mtajua kama wanastahili hizo sifa ama lah!!
 
Basi sawa

!
!
nilisahau na kazi yao nyingine....kuwahangaisha raia. hawa hata wakikukuta umevaa nguo za wamarekani watajifanya ni zao sijui wakoje. nguo imeandikwa kabisa USA ARMY lakini bado shobo za kujipendekeza oooh zetu. mi huwa nakereka sana na ubabe wao usio na maana.
 
Wewe ndio huyu nini anaye galagazwa hapa?!!.

maana dah!!,naona unakinyongo kweli kweli na wajeda kwetu.
1461850684066.jpg
 
sijaona cha ajabu hapo hata hao waasi hawaonekani..by the way hawakwenda congo kupigana wameenda kulinda amani
 
nashukuru Mungu hawakwenda kigali hawa, wangemaliza wote hadi mende. tuendelee kuwa marafiki na wanyarwanda tusije kuwakosa hawa jamaa wakichukia.
 
Nyie mnafananisha vitambi vya maofisini na miili ya kazi hayo ya congo yasingewezakana! Kuhusu mitandaoni hawa jamaa wameanza kuonekana kipindi hiki cha digitaly tu… .
 
Sijaelewa,yaani kuna nini hasa cha kusifia kwenye hizo picha?Unajua wabongo wanapenda kujisifia sana lakini kwenye vitu vyote wanavyoshindanishwa physical wanashindwa vibaya..kuanzia soka,ngumi ,riadha nk. Sasa hili la jeshi mmhhh
Mkuu kwenye picha wewe unaetazama huwezi kuelewa ila aliyeelekezewa hiyo mitutu ndio anaelewa nini kinajiri huko hayo madude yanakotuwa.
 
Nyie mnafananisha vitambi vya maofisini na miili ya kazi hayo ya congo yasingewezakana! Kuhusu mitandaoni hawa jamaa wameanza kuonekana kipindi hiki cha digitaly tu… .
vitambi vyote ni dalili ya uzembe na uvivu
 
great thinker labda unifaham vizuri. Nikudokeze tu kidogo niko kwenye system. Nina mafunzo ya hali ya juu ya kupigana na kujilinda. Kwenye silaha ni hatari ninaweza kukushoot kwa nyuma bila kukosa shabaha nikielekeza mtutu upside down began huku nakimbia kwa kasi ya ajabu sana.

hahahahahahahahaha...kumbe hata humu jf kuna story za kina abunuwasi,duuuh haya bhana komando joni tumekusoma a.k.a mzee wa system
 
Nyie mnafananisha vitambi vya maofisini na miili ya kazi hayo ya congo yasingewezakana! Kuhusu mitandaoni hawa jamaa wameanza kuonekana kipindi hiki cha digitaly tu… .
ila picha zao hazija sambaa sana mtandaoni kama Hawa wauza sura wa jeshi la kenya.
1461851846247.jpg
 
Ngoja siku itokee vita hapa, watu waende war front, ndio utajua kama TZ tuna jeshi au Mgambo wa k/koo...!
 
Back
Top Bottom