JWTZ katika ubora wao wa kiwango cha juu huko misitu ya Congo: Watunikiwa Medali

Nashukuru ila hukuwa na haja ya kuniita mjinga. Anyway we are not the same.
Ujinga sio tusi bali ni hali; Hujui kitu basi unakuwa mjinga. Tusi ni kuitwa mpumbafu.

Hukuwa unajua mandate ya wanajeshi wetu DRC lakini bado ukawadharau; ulichokifanya ni sawa. Nimesema mjinga kutokana na kutokuwa na taarifa sahihi lakini bado ukalidharau na kuwadharau wanajeshi.

But its over & out
 
nakubaliana na wewe kuwa ground operation ni ngumu ndio maana marekani wanaanza na airstrike kumaliza nguvu za maadui zao..ndio wanamalizia na ground operation...hata hao UN bila kuanza na airstrikes wasingeweza kuwashinda waasi.
Mkuu Congo ni ngumu kutumia air attack kwa sababu ya misitu minene ambayo inahifadhi adui, ndiyo maana JWTZ walikuwa frontline mstuni kupambana na waasi kwa sababu walideploy artillery unit na commando unit kwa ajili ya ground operation, airstrike ni nzuri kwa open space warfare kama jangwani na nyikani mkuu, tukubali tu kuwa Jwtz wanapambana actual military reaction dhidi ya waasi
 
great thinker labda unifaham vizuri. Nikudokeze tu kidogo niko kwenye system. Nina mafunzo ya hali ya juu ya kupigana na kujilinda. Kwenye silaha ni hatari ninaweza kukushoot kwa nyuma bila kukosa shabaha nikielekeza mtutu upside down began huku nakimbia kwa kasi ya ajabu sana.
Ha ha ha aha haaa. Mkuu umetishaa!
Mpaka naogopa usije ukaibuka kwenye screen nayotumia hapa.....mafunzo yako umechukulia Cuba au wapi?
 
!
!
nilisahau na kazi yao nyingine....kuwahangaisha raia. hawa hata wakikukuta umevaa nguo za wamarekani watajifanya ni zao sijui wakoje. nguo imeandikwa kabisa USA ARMY lakini bado shobo za kujipendekeza oooh zetu. mi huwa nakereka sana na ubabe wao usio na maana.

Hahahaha Nje ya Mada hivi kwanini huwa unamsumbua huyu jamaa kwa kuvaa viwaro vya kimarekani?
 
great thinker labda unifaham vizuri. Nikudokeze tu kidogo niko kwenye system. Nina mafunzo ya hali ya juu ya kupigana na kujilinda. Kwenye silaha ni hatari ninaweza kukushoot kwa nyuma bila kukosa shabaha nikielekeza mtutu upside down began huku nakimbia kwa kasi ya ajabu sana.
Hahahaha! Copenhagen umenifanya Nicheke sana!
 
Yaani kwa kweli mtoa mada ana uelewa mdogo sana wa mambo ya kijeshi, katika picha nilizoziona hapo juu Kuna kitu gani cha ziada kuzidi majeshi mengine ya ukanda huu? Sababu naona silaha nyepesi ambazo ni ndogo ndogo na hata waasi wengi duniani humiliki silaha kama hizo, ungeweka picha ya tank /kifaru kikiwa kwenye action ingeleta hamasa

Kwa mujibu wa shirika la transparent international majirani zetu wamenunua silaha za kisasa kabisa, mfano kenya imenunua fighter jet za kisasa kabisa hivi karibuni na ambazo hakuna nchi nyingine ukanda huu yenye kumiliki ndege hizo, wakati huo Tanzania tunamiliki ndege za kizamani kabisa za mig 21 zilizooneshwa kwenye maonyesho national stadium mwaka Jana, na hatuna mpango wa kununua mpya

Uganda hivi karibuni imenunua helicopter za kisasa za mashambulizi, na vifaru vya kisasa kutoka German na radar ya kisasa,
Rwanda hivi karibuni imenunua kutoka China short and medium range surface to air missiles, pamoja na rocket launcher za kisasa pamoja na armoured vehicles kwa ajili ya infantry, Bila kusahau tanks za kisasa kutoka huko huko China

Halaf wewe unakuja na picha za wanajeshi wa jwtz wakiwa na maroketi yanayobebwa na baiskeli ya miguu mitatu ukidai jwtz inaogopwa kwa silaha kali, are you serious?

My take
East Africa sasa Kuna arms race isiyo rasmi, tumeona majirani wakinunua silaha za kisasa zinazopaswa kumilikiwa na jeshi la kisasa, hizi sio habari za vijiweni bali zimetolewa na mashirika makubwa yanayofuatilia uuzaji wa silaha dunia nzima kwamba Tanzania ndio ya mwisho kwa ununuzi wa silaha mbele ya Burundi tu katika EAC
Hii si habari nzuri, Tanzania tunatakiwa kununua silaha za kisasa zinazoendana na mazingira ya kisasa, ni muhimu kuboresha air force yetu ambayo ina Hali mbaya kufikia hatua nchi za magharibi kudai hakuna air force kabisa
Tusidangane kuwa Tanzania inanunua silaha kimya kimya, katika dunia ya leo huwezi kuficha vitu hivi

Enzi za vita ya idd amin zilishapita na mazingira yamebadilika, watanzania tuache sifa za kijinga, tujipange kukabiliana na changa moto za modern warfare
Kama wewe ni mfuatiliaji wa matukio,utakuwa umewahi kuona vifaa vya kijeshi vya kisasa vya Tanzania kwenye sherehe za kitaifa, hakuna hata kimoja kilichoonyeshwa hapo juu. Think!
 
Back
Top Bottom