Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,224
Askari kutoka Tanzania nchini CONGO wameanza msako mkali na kutumia ndege za kivita katika misitu ya Beni.
Jumla ya Wanajeshi 18 wamejeruhiwa Waasi wa ADF Uganda ndo wanahusika.
Tanzania leo Imepeleka wanajeshi zaidi na Helicopter za Kijeshi Vita Kali Inaendelea.
Walikua wanalinda Amani wao ndio wamefanyiwa Shambulizi la Kushitukiza Tuliopitia Masuala ya Kimedani tunasema Ambush.
Picha Imepigwa na ITV JWTZ wakiwa Kazini mapema Leo katika Misitu ya Beni.
JWTZ walivyotembelewa na Asha-Rose Migiro Nchini Congo.
RIP to Fallen Soldiers!!!