Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 401
Fikiria CCM wana-organize maandamano na kufanya mkutano kulaani maandamano na mikutano ya Chadema Dar au Mwanza au Mbeya au Arusha halafu viongozi Wasira, Yusuf Makamba, Tambwe Hiza na Sofia Simba wanakuwa ndiyo wahusika wakuu kila mmoja anapewa dakika 15 za kuhutubia. Hali itakuwaje hapo?