Just for fun JF Ladies: Who's your favourite? Why?

teh teh teh...it must be me...ni PM ntakutumia picha yangu. Naogopa kumwaga mtama kwenye kuku wengi.

yako nilibahatika kuiona kwenye Avatar ila haikuwa nakichwa

Hebu nitumie PM niifanyie tathimini.
 
Nimerudi kuchungulia full uzi , comment after comment nikadhani mazgo yangu nayo ime'select mtu hapa!
Ingem'costije!
Una wivu eeh??! Hujui duniani kuna watu tumewazidi ña wengine wametuzidi...acha tufurahie uumbaji. Amini kuwa wewe ni one&only kwa la'aziz wako!
 
The house will be too crowded kama hao jamaa wote watakuwa na picha zao kwenye kuta za nyumba yako...wote hao kila mmoja anajitosheleza....
mmmmhhhh watabanana tu hivyo hivyo tu .. ilimradi niwaone wote :redface:
 
Hahaha... Mi pia nisubiri tuongozane

Tutoke mwanajeshi wangu, hapa si pakukaa sana! Wahusika wanachagua wanaume! Sisi tutachagua nini ! Sema mi nakuja hapa kumchungulia wife labda kajipendekeza na yeye kuselekti ! Nimuadabishe.
 
Of course zinalipa...sijajua design parameters nyingine zimekaaje. Si unajua kila kitu kinatakiwa kiwe kwenye ujazo sahihi ili soda iwe soda.
Wewee Chezeya BJ, nipo quite proportion. Hivyo sijazidi huku wala kupungua kule...pettite bwanaa!!
Jana nimemuota No.12 huku naongea aisee kasheshe lake leo nimenuniwa! Tatizo Mr. Mgumu kuelewa kuwa kuna watu wamemzidi!!
 
Wewee Chezeya BJ, nipo quite proportion. Hivyo sijazidi huku wala kupungua kule...pettite bwanaa!!
Jana nimemuota No.12 huku naongea aisee kasheshe lake leo nimenuniwa! Tatizo Mr. Mgumu kuelewa kuwa kuna watu wamemzidi!!

Kwani wewe sio mgumu kukasirika ukigundua kuna watu wamekuzidi? Kuna mtu aliniambia kuwa kama mdada amekwambia amekuota ujue anakuzimia...huyu mwanaume mwenzangu lazima anune...itabidi ufanye kazi ya ziada leo asitafute pakutolea maumivu.
Balanced figure ndio ugonjwa wangu...mi sitaki vifurushi vikubwa nyuma kama naenda kuchoma mishikaki eti kwasababu ni mwanaume wa kiafrika...no way..akhuuu
 
Back
Top Bottom