Just for fun JF Ladies: Who's your favourite? Why?

Kwani wewe sio mgumu kukasirika ukigundua kuna watu wamekuzidi? Kuna mtu aliniambia kuwa kama mdada amekwambia amekuota ujue anakuzimia...huyu mwanaume mwenzangu lazima anune...itabidi ufanye kazi ya ziada leo asitafute pakutolea maumivu.
Balanced figure ndio ugonjwa wangu...mi sitaki vifurushi vikubwa nyuma kama naenda kuchoma mishikaki eti kwasababu ni mwanaume wa kiafrika...no way..akhuuu

Mie si mgumu nakubali kuzidiwa na ofkozi kuna niliowazidi vilevile..acha nijipaishe mie ha ha
Nadhani kumuangalia hii picha na movies pia series ya private practice ilinifanya nimuote no.12..!
Kumbe nawe ni mzee wa balanced figure basi una taste nzuri ukizingatia na kifua umejaaliwa, mashallah!!!
 
I dream...one day there will be a JF party. Mbona tutaona maajabu! Inshallah siku hiyo itafika....teh teh teh
 
You made my evening, nimecheka mpaka jirani kaniuliza kulikoni...nasubiria hiyo ''dream party'' pia!! halafu wewe ni mod nini, mbona online 24/7??
 
Natumia muda wangu ipasavyo...teh teh teh. Mara nyingine I log in na kuendelea na kazi za hapa na pale. Hiyo dream party itakuja tu na kweli mbona tutapata surprise.
 
ooh! kumbe unakuwa unaendelea na majukumu yako, mana nilianza kuogopa ban..Nazidi kucheka haswaa hiyo party itafanya watu wengine kuzimia maana surprise zingine zitakuwa ngumu kukabiliana nazo!!..
 
Utakamuona Ndahani ana tumbo limepitiliza mpaka koti la suti haliwezi kulifunika....steam zote zinakatika hapo hapo...Isipokuwa nataka kupunguza muda wa JF.
 
Siku hizi naingia sana jioni, ofisini wameblock JF yaani hamna jinsi labda niwe na simu ila muda wa lunch nichungulie kidogo..mbona sioni kama umekuwa JF addict, kwa nini upunguze? au unaenda hanimuni? maana hapo sawa..
Wasiwasi wangu nikimuona Ndahani naweza toa neno moja tu ''tobaaaaaaa' ikiwa surprise itakuwa hivi
 
Huyu bwana heri yake na tumbo kubwa hivyo...ka kwangu kadogo. I exercise like a mad dog just to keep myself fit. I can't allow that figure to appear.
Honey moon wapi ndugu yangu...hayo mambo yenu vijana...sisi wengine twatazama tu. Unless kama utanipa astaghrafurah, ntaibeba kwa mikono miwili. Huo mdomo ukirudi lip stick yote kwisha habari yake...teh teh teh
 
BJ u made my day! Ha ha haaaa!so mambo ya 6 packs sio ndo unayafagilia eeh!na kama down ni kabamia?where will u enjoy the 6 thing mama?
 
Huyo #3 kuna one of madea's (Tyler Perry) movies, anampiga mkewe sana..mmh balaa!
 
Huyu bwana heri yake na tumbo kubwa hivyo...ka kwangu kadogo. I exercise like a mad dog just to keep myself fit. I can't allow that figure to appear.
Honey moon wapi ndugu yangu...hayo mambo yenu vijana...sisi wengine twatazama tu. Unless kama utanipa astaghrafurah, ntaibeba kwa mikono miwili. Huo mdomo ukirudi lip stick yote kwisha habari yake...teh teh teh

Aisee bora hujafungasha tumbo kama jamaa pichani!!..
Hebu acha hizo eti mambo ya vijana, kuwa mbunifu jamani hujui fainali uzeeni wakati ujana mechi za kubeep?!!..unaweza kutoweka na mamsapu mkaenda hata Lushoto kwa long weekend kubadilisha mandhari kidogo..ukitaka ideas niambie nikuandalieni!!
Hizi lips utaziweza lakini? hebu nisielezee sana..unaweza kukosa fahamu kidogo na uzee huo unaodai:))
 
BJ u made my day! Ha ha haaaa!so mambo ya 6 packs sio ndo unayafagilia eeh!na kama down ni kabamia?where will u enjoy the 6 thing mama?

ofcourse, vitambi havina nafasi hapa...mie mwenyewe sina kitambi, zoezi na mlo unaotakiwa nazingatia..eti kibamia, hapo nitafikiria mara mbili mbli...
 
ha ha haaaa...now naanza kupata picha all ladies hate kibamia....mh bt will u go for sura n down kibamia au will u go for not handsome bt down mashalaaaa??just curious to know!!!!
 
Aisee bora hujafungasha tumbo kama jamaa pichani!!..
Hebu acha hizo eti mambo ya vijana, kuwa mbunifu jamani hujui fainali uzeeni wakati ujana mechi za kubeep?!!..unaweza kutoweka na mamsapu mkaenda hata Lushoto kwa long weekend kubadilisha mandhari kidogo..ukitaka ideas niambie nikuandalieni!!
Hizi lips utaziweza lakini? hebu nisielezee sana..unaweza kukosa fahamu kidogo na uzee huo unaodai:))

Ungejua ninavyojua kudhibiti...hizo lips zitabadilika rangi zenyewe...teh teh teh. Niandikie basi hayo ma advise ya kutusaidia kuzeeka vema. Ili nikizeeka niwe nimejiandaa maana bado bado damu inachemka. Wazee hawajitoshi huku MMU
 
Mmmhh! inaelekea wewe ni mtundu sana, kumbe eeh! hayo maushauri ukiyataka tu nijulishe, nikaupa toka A-Z ushindwe wewe tu..si mnajua nyie wanaume mnasemaga ng'ombe hazeeki maini..he he!!
 
ha ha haaaa...now naanza kupata picha all ladies hate kibamia....mh bt will u go for sura n down kibamia au will u go for not handsome bt down mashalaaaa??just curious to know!!!!

jamani unafikiri nani anapenda kibamia...na ofcourse lisiwe limepitiliza, khaa!..I will go for a real man, asiwe mrembo, kifua kizuri na awe ana size nzuri down, ha ha..hope nimekujibu fresh KM!!
 
Mmmhh! inaelekea wewe ni mtundu sana, kumbe eeh! hayo maushauri ukiyataka tu nijulishe, nikaupa toka A-Z ushindwe wewe tu..si mnajua nyie wanaume mnasemaga ng'ombe hazeeki maini..he he!!

Ni PM hayo maujanja...kwa na wewe ni kadinga kama mimi? teh teh teh. Ila ujuzi si hauzeeki na kusoma ni kila siku. Nipe hayo mavitu niyasome.
 
Okay nitafanya hivyo si unajua sharing is caring hayo maujuzi...umeniacha mbali hiyo ''kadinga'' ndiyo maana gani?? usinicheke kuuliza, lol!!
 
Back
Top Bottom