Just for fun JF Ladies: Who's your favourite? Why?

mmefunguka ni kipimo kizuri sana cha kujua ka mkeo anakupenda kiukweli ngoja nkanunue movie ya idrisa alba nimchek wife atareact vip.
 
six packs.jpg
Ona hii kitu ilivyosimama

images.jpg

Hawa vijana wangu ninaowafundisha

Taye.jpg

Na huyu ni Taye. BelindaJacob, wapi na wapi?
 
Last edited by a moderator:
View attachment 63877
Ona hii kitu ilivyosimama

View attachment 63878

Hawa vijana wangu ninaowafundisha

View attachment 63879

Na huyu ni Taye. BelindaJacob, wapi na wapi?
Ndahani sikuwezi eti hao ndo vijana unaowafundisha..kisiwe kimezidi sana, hicho cha kwanza cheki nyonyo,mweeh!!

Ukisema hivyo hakikisha mzee yuko mbali...maana kama ni mnyalukolo anaweza kukuletea msiba usiku huu huu

Wee huwa vinampa stimu naye azidi ajijenge maana nimemwambia kitambi sihusudu, mambo ya kushindwa kufunga kamba za viatu..hapana aisee!! na yeye anashangaa kina dada, ngoma droo bila mengineyo zaidi ni kuangalia TU!!
 
Ndahani sikuwezi eti hao ndo vijana unaowafundisha..kisiwe kimezidi sana, hicho cha kwanza cheki nyonyo,mweeh!!

You can regulate the size in a week's time...si aina ya mazoezi tu unayofanya? Nimegundua. Kumbe unapenda strong guys but no big chest muscles! Unaogopa mabounsa wetu nini ambao mikono mikubwa na miguu kama imechomekwa kwa fundi cherehani?
 
Kweli kabisa kitambi nimekipiga vita vilivyo vema, mwendo nimeumaliza, naona kimeishia. Zimebaki nyama tu

Kwa hizo jitihada zote, angalia kisirudi tena..endeleza six packs watu wagongane mjini, he he

You can regulate the size in a week's time...si aina ya mazoezi tu unayofanya? Nimegundua. Kumbe unapenda strong guys but no big chest muscles! Unaogopa mabounsa wetu nini ambao mikono mikubwa na miguu kama imechomekwa kwa fundi cherehani?

wengine wanafanya mazoezi tu kifua kinatanuka huko, miguu kama imechomekwa..eti namba 7..! sipendi vilivyopitiliza bwana maana mi mwenyewe nitaanza kuogopa!! vya kichokozi vizuri, mazoezi yamo ila hakijazidi kivileee!!
 
Nimerudi kuchungulia full uzi , comment after comment nikadhani mazgo yangu nayo ime'select mtu hapa!
Ingem'costije!
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiii! Speechless! So so so so yummy! Lol! Mmeniharibia siku, khaaaaaaaaaaa!

Siku imeharibika au ndio tumeichochea iwe murua...ukiona hivyo, hakikisha unampeleka Mzee mwenyewe Gym.
 
Kwa hizo jitihada zote, angalia kisirudi tena..endeleza six packs watu wagongane mjini, he he

wengine wanafanya mazoezi tu kifua kinatanuka huko, miguu kama imechomekwa..eti namba 7..! sipendi vilivyopitiliza bwana maana mi mwenyewe nitaanza kuogopa!! vya kichokozi vizuri, mazoezi yamo ila hakijazidi kivileee!!

Hiyo avator yako...mbona kama mdomo umezidiwa na lipstick...teh teh teh
 
Back
Top Bottom