Just a friend na matatizo yake.....

Tuko pamoja sana mpendwa!
Hata hivyo, wengi wanashindwa kuhimili vishindo hadi ku give in to a relationship esp kama na yeye anajikuta kuvutiwa.Hii mada iliwahi kujadiliwa lakini kivingine na kuna waliotoa ushuhuda kuwa at times wanajikuta waki double roles zote mbili.Hapo hapo ni rafiki wa kawaida, ila wakati mwingine wanageuka "emotional buddies na hata sex buddies". Mtu aliyeko kwenye relationship esp ndoa ni hatari kuendekeza marafiki wa opposite sex maana kipindi mtu uko kwenye matatizo, na ni kitu cha kawaida, kukimbilia kwa huyu rafiki unaweza kuishia pabaya.
sikubaliani na wewe kwa hili. nipo kwenye ndoa kwa miaka 13 sasa, na wote tunajua kwamba hakuna ndoa iliyo smooth. marafiki zangu wakubwa ni wakaka. na wengi wameshaji-express themselves, lakini kwa vile nawahitaji, nimekomaa nao for the sake of our friendship. nakumbuka kuna kipindi ndoa yangu ilikuwa inazama, aliyeiokoa ni a male friend, ambaye naweza kusema alinipenda sana, na mpaka leo namheshimu kwa huo ukomavu wake. alijua msimamo wangu, na aliniheshimu sana, hata hayo yalipotokea hakutaka ku-take advantage, maana aliniambia asingejisamehe.
 
Kama ukichunguza utagundua kuwa wanawake wengi ndo hudhania inawezekana.....ila kama alivyosema Boss....wanawake hawajui tu hao "rafiki" zao wa kiume wameshawavua nguo mara ngapi vichwani mwao.

Niliwahi kuanzisha mada kama hii hii zamani kidogo....ngoja niitafute
huwezi kumzuia mtu kukuvua nguo kichwani kwake.... na mimi kiukweli hilo halijalishi sababu yeye ni binadamu, kinachojalisha ni asinivue nguo kikwelikweli
 
Wakati wako high skul
Marafiki 3, Wanasoma darasa moja
wasichana 2, na mvulana 1, na walikuwa karibu sana na ilikuwa boarding.
Mara mvulana akasaliti urafiki kwa kumpenda Mary.
Fatuma ikabidi awe msuluhidhi wa migogoro maana urafiki kama dosari fulani
Amani ikataka kupotea
Fatuma ikabidi awakalishe Mary na John kuwa urafiki wao ulikuwa na faida maana walikuwa wanafaulu kwa raha mstarehe
Walikuwa wanajisomea 3 tu

Baada ya kumaliza, maisha yamepita miaka imepita mingi
Mary kaolewa ana watoto 2
John kaoa ana watoto 2
Urafiki umerudi, yale ya utoto shule yameisha

Guess what????
Mary na John wameanza mahusiano last December 2011 wakati wote wana ndoa.
Crazy, crazy!
 
Hapana,
Hata wanawake wanasaliti urafiki
Na kumpenda japo kimya kimya
Sema wanawake wagumu ku-confess
Kwamba anampenda rafiki yake

It happens lol
Kama ukichunguza utagundua kuwa wanawake wengi ndo hudhania inawezekana.....ila kama alivyosema Boss....wanawake hawajui tu hao "rafiki" zao wa kiume wameshawavua nguo mara ngapi vichwani mwao.

Niliwahi kuanzisha mada kama hii hii zamani kidogo....ngoja niitafute
 
huwezi kumzuia mtu kukuvua nguo kichwani kwake.... na mimi kiukweli hilo halijalishi sababu yeye ni binadamu, kinachojalisha ni asinivue nguo kikwelikweli

Wadada wengi ndo attitude yao hii. Wengi mnadhani hao wanaume mnaowaita marafiki ni marafiki kihivyo...

Kama wewe hao rafiki zako wa kiume unadhani ni marafiki tu na hawana hisia zozote za kutaka kukulaza kitandani hebu jaribu siku moja kuwa-seduce na uwaambie umewapenda na ungependa uwe nao kimapenzi halafu uone kama watakataa.
 
there is always a deep love between good friend which does not necessary end up in romance.
 
Wadada wengi ndo attitude yao hii. Wengi mnadhani hao wanaume mnaowaita marafiki ni marafiki kihivyo...

Kama wewe hao rafiki zako wa kiume unadhani ni marafiki tu na hawana hisia zozote za kutaka kukulaza kitandani hebu jaribu siku moja kuwa-seduce na uwaambie umewapenda na ungependa uwe nao kimapenzi halafu uone kama watakataa.
kama unanifwatilia vizuri post zangu nimeweka wazi kabisa kuwa huwa wanavutiwa. na mara nyingi, kama mimi huwa najua kabisa kuwa hapa mtu anajikaza. jukumu langu mimi ni kumsaidia ajikaze na baadae aone ni kawaida tu........... hili linawezekana
 
Na ndio maana
Inakuwa ngumu sana kwa mwanamke kuventure kwenye biashara na mwanamme
At a certain point unaanza kuona macho ya tamaa
Hiyo huwa inakatisha tamaa sana
Hata kama mwanamke hatalalamika
Maana anahofia kufungua mjadala
Ambao partner kashindwa kuuanzisha

Its so hard jamani.
Wadada wengi ndo attitude yao hii. Wengi mnadhani hao wanaume mnaowaita marafiki ni marafiki kihivyo...

Kama wewe hao rafiki zako wa kiume unadhani ni marafiki tu na hawana hisia zozote za kutaka kukulaza kitandani hebu jaribu siku moja kuwa-seduce na uwaambie umewapenda na ungependa uwe nao kimapenzi halafu uone kama watakataa.
 
Na ndio maana
Inakuwa ngumu sana kwa mwanamke kuventure kwenye biashara na mwanamme
At a certain point unaanza kuona macho ya tamaa
Hiyo huwa inakatisha tamaa sana
Hata kama mwanamke hatalalamika
Maana anahofia kufungua mjadala
Ambao partner kashindwa kuuanzisha

Its so hard jamani.

Ni ngumu sana kuwa just friends....

I am not that naive...
 
Kama umeshaona movie ya watoto
Inaitwa Escape to Africa nadhani
Utaielewa hii situation vizuri

Simba alitaka wala marafiki zake baada ya njaa kumshinda
My dear,
Bora umesema.Ni urafiki wa mashaka..ushaona mbuzi na simba wakaishia kuwa marafiki?
 
Sure, very true!
Japo haiwezi kuwa kwa kila mwanamme
Lakini kuna wawili watatu "just friends" inashindikana kabisa

wanawake hawajui kuwa kuna vidume ukiviambia tuwe tu marafiki
imekula kwako
with time 'atakuvutia tu 'lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom