BPM
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,760
- 573
KUchati na simu ndio mbaya zaidi, sababu watu hawaonani watu wakiongea face to face afadhali sababu uso umeumbwa na haya
hahaha lakini wengine wana sura za huruma ....
KUchati na simu ndio mbaya zaidi, sababu watu hawaonani watu wakiongea face to face afadhali sababu uso umeumbwa na haya
Kwahiyo wewe ukiwa na mazoea ya kuonana na mwanamke/mwanaume yeyote yule bila kujali alivyo lazima ijitokeze 'hali isiyo ya kawaida'?
kawaida kuonana mara kwa mara hujitokeza mazoea na uhitaji wa ukaribu wa mwenzako hupelekea tamaa za mwili
Na mtu unaechat nae ndio huwezi kumzoea mpaka ujikute unamtamani/mtaka kimapenzi?
Hivi kuna ambao wanafanikiwa kuwa best friends au just friends
huku ni jinsia tofauti bila kutokea matatizo ya
wivu,mapenzi,sex na kadhalika?????
kwa upande wangu naona ni ngumu saana
siku zote naona kuna mmoja anakuwa 'anaumia' kwa chini chini.....
je nyinyi mna uzoefu gani na hili??????????
Inawezekana lakini somewhere down the road, nature itawatania.Lets face it na tuwe wakweli maana hapa hatuongei kufurahisha baraza bali kufahamishana na kuelimishana.Hata walio marafiki JF mtakuwa mna ya kuchagia kwenye hili.
Binafsi nimewahi ku experience katika maisha. Nilipokuwa secondary school, iliwezekana sana maana kila mtu ana focus masomo zaidi na hata huo urafiki uko alligned zaidi na masomo au social activities za kishule.
Kazini nako inawezekana kama kila mmoja atauweka urafiki uelekee zaidi kusaidiana kikazi na kampani ya kazini.Ila mkiendekeza kuambiana mambo ya moyoni na yale yasiyohusu kazi ndio mmeharibu.Emotional attachment inajengeka na kugeuka LOVE! Hata mmoja akiwa hajiskii kuvutika kimapenzi basi urafiki huo unakua umeshaingia dosari .Wenye kubisha njooni na ushahidi kamili na siyo maneno matupu.
Kwanza inawezekana sana.
Kama hamna aliye attracted na mwenzake kuwa marafiki hakutobadilisha hilo. Mtapendana, mtaelewana, mtajaliana ila kila mmoja atapenda kwingine kimapenzi. Na hii ni kwasababu unaweza kumpenda mtu (fikra/mawazo/tabia yake/ushawishi wake) bila kuvutiwa nae kimapenzi.
Pili Kama mmoja anavutiwa na mwenzake hata wasingekua marafiki bado upo uwezekano mkubwa tu kwamba angevutiwa nae, na kama uwezekano wa kuwa nae nao ungekuwepo basi wangekua pamoja. Sasa bora kipi. . . kufall inlove with your (best) friend, mtu ambae mnafahamiana zaidi ya watu wengine wavyofahamiana au mtu tu anaeibuka out of nowhere?
Alafu kama hujagundua jaribu kuchunguza msichana na mvulana ambao ni marafiki wazuri/wa karibu sana huku wakiwa wana wapenzi wao. Utagundua kwamba kwa kiasi kikubwa wale wapenzi na bestfriend ni tofauti kabisa. Kama rafiki ni mchangamfu/mchokozi chokozi sana utakuta mpenzi ni mpole, kama mpenzi sio mtu wa movie/music kwa sana utakuta rafiki anapendelea. Kwa maana nyingine watu(sio wote) hua wanakua na marafiki wenye yale wasiyonayo wapenzi wao/yanayowavutia kua mpenzi na mtu ni tofauti na yanayowavutia kwenye urafiki. That way anatengeneza balance. . . akichoka kukaa nyumbani na kuboreka na mpenzi anamtafuta rafiki yake achangamke kidogo, akichoka na maneno mengi kwa mpenzi anamtafuta rafiki yake akili itulie kidogo.
So ndio inawezekana kuliko ambavyo watu wanapenda kukubali.
he hee heee umenikumbusha kitu
Steve Harvey aliwahi kusema all women needs a gay friend lol
someone to listen to them anytime bila uwezekano wa ku fall in love lol
Hahaha ni kweli mazee.he hee heee umenikumbusha kitu
Steve Harvey aliwahi kusema all women needs a gay friend lol
someone to listen to them anytime bila uwezekano wa ku fall in love lol
from experience watu wengi hushindwa
ingawa ni kweli labda inawezekana
zaidi ya kuamua kutunziana heshima, mengine huwa ni muujiza. Nilibahatika kupata rafiki mmoja tu ambaye kwa kweli siku tunaachana ali-confess kwamba alivumilia sana (hii naamini kwa kuwa alimpenda Mungu sana) wengine wote ni kukomaa nao ili tu urafiki uendelee kuwepo, maana ukiwapa tu urafiki unaishia hapo!
Gays are nice people.I have several gay friends na hakuna shida hata kidogo.Shida iko kwenye mwanaume ...mwenye hisia kwa mwanamke! Gay tena usiombe maana urafiki wao utafurahia hadi basi. Ni watu wa kutegemewa sana, ni wakweli, wanajali kama marafiki.