CHADEMA tafakarini kama maandamano ya Februari 15 ni sahihi

Matulanya Mputa

Senior Member
Aug 14, 2023
105
203
Maandamano yana maslahi mapana ya Taifa na kwa wananchi kuliko huo msiba,

Note: Bwana Yesu aliwahi ponya mtu siku ya Sabato,kitu ambacho kilikua ni mwiko mkubwa katika tamaduni ya Kiyahudi.

Ila kwa sababu alichokifanya kilikua kina maslahi mapana kwa Raia hakuacha kufanya hivyo maadamu shida zilijitokeza!

Mwisho wa kunukuu!
 
Maandamano yana maslahi mapana ya Taifa na kwa wananchi kuliko huo msiba,
Note:
Bwana Yesu aliwahi ponya mtu siku ya Sabato,kitu ambacho kilikua ni mwiko mkubwa katika tamaduni ya Kiyahudi

Kweli ukiwa CHADEMA akili yako inalala maslai mapana kwa taifa? Maslai yapi kwa mfano ukatupa faida ya maandamano?
 
Sio kila unachoona kwako hakina faida na kwa wengine ni hivyo hivyo

Jifunze kuangalia mambo kwa mtazamo tofauti na Mimi Sio CHADEMA budda

Sio kila mtu humu ni mfuasi wa siasa ila najaribu kuweka sawa tu hii nchi ina watu Million 60 na vipaumbele vyetu haviwezi kufanana maana vimetofautiana baina yetu

Hivyo ukiangalia mambo kwa upande wako tu na kuacha upande mwingine utaona maajabu kama ya Hao CHADEMA waliopanga kufanfanya maandamano na wewe upo Msibani ukiomboleza!
 
Kukataza maandamano ya hawa jamaa ni maigizo tu, wao na CCM wanajuana wanasafisha CV zao kwa mabeberu, maandamano yenye tija yatafanywa na wananchi wenyewe bila msukumo wa vyama vya siasa, kumbuka enzi za Haile Selassie
 
Taifa lipo katika msiba,huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano je mpo sahihi.
Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi ruhusu tarehe 15 mtaniambia nipo hapa.
TUKUTANE MONDULI MIMI NATANGULIA LEO
Pumbavu!
 
Kiusalama hawapo sahihi kivipi??
 
Taifa lipo katika msiba,huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano je mpo sahihi.
Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi ruhusu tarehe 15 mtaniambia nipo hapa.
TUKUTANE MONDULI MIMI NATANGULIA LEO
Hakuna Kanuni za usalama hapo,Msiba hauna kadi,hivyo mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi endelea na shughuli wakati kuna msiba.Hasa huu msiba siyo wa Wana Monduli peke yao bali ni msiba wa nchi nzima.
 
Maandamano yana maslahi mapana ya Taifa na kwa wananchi kuliko huo msiba,
Note:
Bwana Yesu aliwahi ponya mtu siku ya Sabato,kitu ambacho kilikua ni mwiko mkubwa katika tamaduni ya Kiyahudi
Ila kwa sababu alichokifanya kilikua kina maslahi mapana kwa Raia hakuacha kufanya hivyo maadamu shida zilijitokeza!
Mwisho wa kunukuu!
Hakuna maslahi hapo kwani siku zingine maandamano hayawezi fanyika?
 
Mleta mada huna akili. Hivi ikitokea na kiongozi mwingine kafa leo na baada ya wiki kafa mwingine nchi itasimama? Hivi huko viwandani watu hawafanyi kazi kisa maombolezo? Inaonekana hata tendon la ndoa umesimama kupisha maombolezo.
Je Mbowe au Mnyika mmoja kati yao akifariki,maandamano yataendelea?
 
Back
Top Bottom