Mkuu wangu abahima,abahinda na abankango wote hawa kwa asili ni Bahima. Kama pengine hujui taasisi zetu za ulinzi na usalama kuna ukabila mkubwa. Na kama unavyojua wengi wa watawala wetu ni wanapata uongozi kwa njia za kihuni,hawa hawataki kabisa kuzungukwa na watu weledi na wanaojiamini, matokeo ni hizi hujuma za kipumbavu unapofika wakati kuna nafasi kama hizi.Mkuu mbona koo hizo tawala mkoani Kagera kabla ya uhuru zinajulikana i.e A'bahinda, A'bahima, A'bankango nk. Hivi inaingia akilini kwamba Serikali yetu inaweza ku-victimise Wahaya na Makabila mengine kutokana na nasaba ya koo hizo tawala za zamani, specifically A'BAHIMA.
Mimi nafikili Serikali yetu ina vyombo mahili vya kuchunguza background za wahusika wote bila ya kuwaonea kutokana na propaganda zisizo na ukweli wowote.
Wanatambua mhaya siyo mtu wa kuburuzwa kiholela, kwa hiyo hata kama ndiye chaguo namba namba moja anafanyiwa njama! Tuna vijana wetu ktk majeshi na taasisi za usalama wanalalamikia ubaguzi wanaokutana nao huko.
Mwisho utakuja sikia kama mtu kama mama Tibaijuka atasema anataka kuomba ridhaa ya CCM kugombea Urais wa JMT hawa wabaguzi watasema ametumwa na Museveni na Kagame!!!