Jumatano maandano makubwa zanzibar nzima yakiongozwa na makamanda wa ukawa

Wehu wakikutana sijui tutapata mchanganyiko gani haya acha yapuyange majitu yasiyojielewa yenye uchu wa madaraka watachoka na hayo mandamao yao.
 
Leo hii Lipumba,Mbatia,Zitto pia ni makamanda? Ama kweli kuondoa ujinga ni kazi kubwa.
Haswaaaaaaaaaaaa,ujinga ni jambo gumu sana kibaya zaidi mjinga huwa hajitambui haraka tuyaache yapuyange mkuu.
 
Hilo swali kamuulize Pinda! Maana naye kasema watazunguka nchi nzima!
Dawa ya mpumqbvu ni uminga kama watu wameleta ujinga kwanini pinda asiwaletee upumbavu mda wa kubembelezana umekwisha dawa ni kuwafunga mnyororo kwe tela na kuwaburuza.
 
Kamuulize Samueli ,maana amepeleka mpaka sms anawasaka jamaa ,Sasa subiri CCM watakavyoachwa kwenye Mataa !
Nani kakudanganya subiri maumivu nazihurumia mabavu zako maumivu zitakayopata aibu yako.
 
tupo pamoja makamanda mpaka kieleweke,kinachotakiwa maandamano yaanzishwe nch nzima kwa wakati mmoja mfano zanz iwe unguja napemba cku hyo hyo saa hyohyo then tanganyika yawe mikoa km 5 kwa wakati mmoja,,mikoa hyo iwe dar arusha mbeya mwanza mtwara iringa kagera shnnynga na mara. hapo police lazima wachemke
 
Hivi imekuwaje CHADEMA wakaungana na "CCM B?" , au U-CCM B wa CUF umeshaisha?Dr.Slaa na Mbowe mliwaaminisha wafuasi wenu kuwa CUF imefunga ndoa na CCM, na NCCR MAGEUZI sio tena bali ni NCCR MANUNUZI kwakuwa MBATIA amepewa hela na CCM ili aue upinzani! Nashangaa Leo mnasema Mmeungana na hizi tuhuma hazisemwi tena!
 
Kamuulize Samueli ,maana amepeleka mpaka sms anawasaka jamaa ,Sasa subiri CCM watakavyoachwa kwenye Mataa !

Kwani wameshindwa "KUUNDA"hiyo Katiba?Wao si walisema wako wengi?Au imeshindikana tena?

Sifurahii kinachotokea sababu wote wamekosa UVUMILIVU.CCM kwa upande mmoja na Wapinzani,na Kiti kikakosa BUSARA na sasa vita vya maneno vimeanza!Tungekuwa na RAIS mwenye BUSARA na hiyo Ze Comedy iliyopo Dodoma ingevunjwa pia,wa-save vile vijisenti vyetu vitumike hata kutununulia sisi walalahoi ambao kesho yetu hatuijui japo PANADOL.
 
Watapigwa mabomu tu bila huruma! mjadala upo Bungeni na siyo barabarani. Uamsho na magaidi wote waliopo Zanzibar watasambaratishwa.
 
Wehu wakikutana sijui tutapata mchanganyiko gani haya acha yapuyange majitu yasiyojielewa yenye uchu wa madaraka watachoka na hayo mandamao yao.

Ebu weka vizuri apo nani mwenye uchu wa madaraka ccm au? Maana wapinzani hawana madaraka sasa uhalali wa uchu wa madaraka unatoka wapi kwa ukawa? Maana mwenye uchu wa madaraka ni huyo ccm au unajitukana bila kujijua? Warioba kawashika pabaya
 
CCM acheni zenu na heshimuni mawazo ya wananchi yaliokusanywa na kujumuishwa na tume ya warioba. Kulazimisha mawazo ya chama chenu ni kuisogeza nchi kwenda Dafur na Somalia.
 
tupo pamoja makamanda mpaka kieleweke,kinachotakiwa maandamano yaanzishwe nch nzima kwa wakati mmoja mfano zanz iwe unguja napemba cku hyo hyo saa hyohyo then tanganyika yawe mikoa km 5 kwa wakati mmoja,,mikoa hyo iwe dar arusha mbeya mwanza mtwara iringa kagera shnnynga na mara. hapo police lazima wachemke

Ujuha kitu mbaya sana.
Mkifanya nchi nzima kwa wakati mmoja mtagawanyikaje/
mikoa wilaya tarafa nk. Mipango hewa. kajipange upya.
 
Ikishindikana Bungeni hata mitaani itapatikana tu. Zanzibar ni mahala muhimu sana kwa ajili ya kupatikana Tanganyika yetu.

Tanganyika inadaiwa zanzibar! Uhuru wa tanganyika upatikane zanzibar? kwa nn sio dodoma kigoma tabora songea iringa au mara?
Mtikila unakwenda kuidai tanganyika yetu zanzibar?
 
Tanganyika inadaiwa zanzibar! Uhuru wa tanganyika upatikane zanzibar? kwa nn sio dodoma kigoma tabora songea iringa au mara?
Mtikila unakwenda kuidai tanganyika yetu zanzibar?
Wale wakisimama imara kukataa serikali mbili lazima Tanganyika itarudi. Ni rahisi kucapitalize kampeni kwao kwakuwa wanakaa eneo dogo na tayari wao ni nchi.
 
Back
Top Bottom