Julius Nyaisanga (Mtangazaji wa zamani Radio One na Mkurugenzi wa Abood Media) afariki dunia

It's a journey (ni safari), katangulia tutafuatia. Let's get prepared (tujiandae) kwa maana hatujui siku wala saa yake.
 
Aliyekua mkurugenzi wa Abood media bwana Julius nyaisanga,amefariki dunia huko Morogoro katika hospitali ya Mazimbu aliipo chuo kikuu cha sokoine cumpus ya mazimbu.
More to come

Kuuliza siyo ujinga waungwana,wengine tupotupo tu hapa tz, `Abood media ndo nini?? Rip marehemu.
 
R.I.P.J.nyaisanga.Kuna record yake ninayo ya kipindi cha club raha leo show akiwa na michael shibuda!huwa kinanikumbusha mbali sana.
 
Aliyekua mkurugenzi wa Abood media bwana Julius nyaisanga,amefariki dunia huko Morogoro katika hospitali ya Mazimbu aliipo chuo kikuu cha sokoine cumpus ya mazimbu.
More to come

RIP uncle J
 
Mwenyenzi MUNGU mwingi wa Rehema ampe pumziko la milele katika shamba lake Bwana wetu!

Pumzika kwa AMANI yake mpendwa wetu J. Nyaisanga!
 
Back
Top Bottom