Julius Nyaisanga (Mtangazaji wa zamani Radio One na Mkurugenzi wa Abood Media) afariki dunia

RIP Uncle J Nyaisanga; the fourth estate will miss you dearly. Poleni. Sana wafiwa
 
R.I.P uncle J
Utakumbukwa hasa enzi zako za Radio Tanzania katika vipingi vyako vya Muziki...
Kama sikosei kipindi cha IMASCO/GEMACO ni yako, saa moja kasoro robo jioni kila Ijumaa ilikuwa ni ngumu kukikosa enzi zile...Gone to soon Bro!!!
 
ni mtangazaji mkongwe katika radio pia alitambulika kama babu wa kimanzi chana kweli dunia tunapita.! Source EATV
 
Raha ya milele umpe eeh Bwana, na mwanga wa milele umwangazie................ Apumzike kwa amani:A S 103:
 
Rweyunga of ITV/Radio one has something to cherish Now!!!! Huyu Bwana Rweyunga alichangia ku devastate na kufrustrate maisha ya Nyaisanga.Part ya laana lazima zikuendee

Rweyunga na Rugemalila Mutahaba(cloudsfm)hawa watu mbona wanatupiwa midomo mibaya sana?watafika kweli?kazi kwao!
 
Pumzika kwa Amani Omono weto.
Raha ya Milele umpe ee bwana. Na mwanga wa Milele umwangazie. Apumzike kwa Amani...Milele Amina. :amen:
 
Back
Top Bottom