TANZIA Mtangazaji Sakina wa Radio Sauti ya Quran Afariki Dunia

Makimuda255

Senior Member
Jul 31, 2020
165
286
Kweli vizuri havidumu, huyu dada alivyokuwa beautiful kisu haswaa anyway R.I.P

Nimeitoa kwenye magroup huko

Innalilah wainnaillah rajiun.

Aliyekuwa mtangazaji wa Radio Sauti ya Quran Sakina Juma Mshana amefariki dunia leo, hivi sasa mwili wake umewasili katika msikiti wa Maamur Upanga kwa ajili ya kumswalia. Endelea kufuatilia 102.1 Radio quran kwa taarifa zaidi.

Allah amfutie makosa yake.

1682852984117.jpg
1682853002002.jpg
 
Kweli vizuri havidumu, huyu dada alivyokua beutiful kisu haswaa anyway r.i.p

Nimeitoa kwenye magroup huko

Innalilah wainnaillah rajiun … Aliekua mtangazaji wa Radio Sauti ya Quran Sakina Juma Mshana amefariki dunia

Leo leo hivi sasa mwili wake umewasili katika msikiti wa Maamur upanga kwa ajil ya kumswalia
Endelea kufuatilia 102.1 Radio quran kwa taarifa zaidi

Allah amfutie makosa yake.View attachment 2604888View attachment 2604890View attachment 2604891

Sent from my TZ255 using JamiiForums mobile app
Mkuu kifo hakichagui
 
Back
Top Bottom