OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Kamila yupi tena huyo??Labda anafanya utafiti atarudi tena kuleta habari kamila
Kamila yupi tena huyo??Labda anafanya utafiti atarudi tena kuleta habari kamila
Kamila yupi tena huyo??
Mkuu hivi ni vijimambo vya nchi yetu!Kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni.
Bwana J ulius Mtatiro anakabiliwa na tuhuma ya kutumia jina bandia ambapo kambi ya Bw.Hamad rashid imedai kukamata mawasiliano kati ya Bw.Mtatiro na mwenye jina hilo.Taarifa kutoka kambi ya Bwana Hamad inaeleza kuwa ,kulikuwepo na mawasiliano kati ya Bw.Mtatiro na mwenye jina hilo ambapo inaelezwa kuwa ,jina halisi la Bw.Mtatiro ni Bw.Sunday Charles.
Source: Majira, 26/02/2012 pp 4 "CUF kufa 2013"
My take: Inaonekana ukifanyika utafiti yakinifu mengi yanaweza kugundulika,tatizo hili linaonekana ni kubwa sana hapa nchini kwetu,kwa wale ambao wanatafuta research titles,this is highly recommended!
Ni sawa mkuu!lakini waswahili wanasema mtu wenye matunda mengi ndiyo utupiwao mawe!!!Kashfa ya majina bandia hapa nchini ni mengi sana lakini nawachangaa wenye majina haoy huja/hutokea wakati mtu akishakuwa maarufu,mlikuwa wapi kabla mtu hatajapa title?.Acheni hizo bwana.
Unaweza kutumia jina la cheti cha mtu kisha ukabatizwa kwa jina hilo au ukaslim kwa jina hilo.Cha msingi ni kujua Bwana mwenye jina anadai jina au cheti?.Cha msingi ni kujua mlalamikaji anadai nini.
Mkuu mbona unakwenda nje ya mada?nani ameongelea mambo vya vyama?mimi kama mtoa hoja sijaonjelea chama bali nimejikita zaidi kwenye matumizi ya jina!Guys! give the man a break! You have chosen your party and he has chosen his! Isiwe nongwa yeye kutokuwa CDM. Kama mnamuona jembe si bora mumuendee kistaarabu?
Kwa sasa sio dili tena kwa kuwa wanafunzi karibu wote hufaulu mtihani wa darasa la saba!!wole wenu mtumie jina langu la 'Crashwise'...
Guys! give the man a break! You have chosen your party and he has chosen his! Isiwe nongwa yeye kutokuwa CDM. Kama mnamuona jembe si bora mumuendee kistaarabu?
Guys! give the man a break! You have chosen your party and he has chosen his! Isiwe nongwa yeye kutokuwa CDM. Kama mnamuona jembe si bora mumuendee kistaarabu?