chitanda.nyoka
Senior Member
- May 3, 2012
- 193
- 43
zito pia ana shahada ameitafutia kazi?ukijibu hilo na wewe utakuwa umepata jibu lako.shahada ya uchumi, muulize kwanini hakuitafutia kazi!
zito pia ana shahada ameitafutia kazi?ukijibu hilo na wewe utakuwa umepata jibu lako.shahada ya uchumi, muulize kwanini hakuitafutia kazi!
Ukisema hata Kawawa alikuwa na elimu kama hiyo, lazima umalizie na kutuambia "na akafanya hiki na kile na hiki kwa mafanikio."
Vinginevyo utaambiwa ahaaaa, kumbe, basi ndio maana alikuwa akimaliza chai ugenini Uingereza hafuniki kikombe anaongezewa mpaka anataka kutapika hadi Nyerere amwambie "Kawawa funika kikombe"!
Meaning, he was an object of ridicule in this society. Uongo?
Mkuu umekapa za uso!Andry Nirina Rajoelina born 30 May 1974, is the President of the High Transitional Authority of Madagascar. He became president on 21 March 2009 during a political crisis, having held the office of Mayor of Antananarivo for one year prior. Before entering the political arena, Rajoelina launched several successful enterprises, most notably including a printing and advertising company called Injet in 1999 and the Viva radio and television networks in 2007. He began his career as an entrepreneur in his teenage years, first as a DJ at local clubs and parties, and later by organizing and promoting musical events in the capital.
Katika nchi za Jumuiya ya SADC, Freeman Mbowe ndio kiongozi wa upinzani bungeni mwenye elimu ya form four(kidato cha nne).
ndio mwenye elimu ndogo kuliko wote kiasi Juliana Shonza kushangazwa wakati wa mahojiano na Radio Uhuru FM, kama Dk.Slaa atakuwa Rais, Mbowe Waziri Mkuu ..basi Taifa litakuwa na Waziri Mkuu form four.......aibu nyingine hii mwenye taaluma ya UDJ!

shonza napenda nikwambie maneo machache mimi kama mtanzania, kumbuka historia yetu kipindi cha mwl hakuwa na wasomi wenye madegree lakini nchi ilienda vzr sana,leo kuna maprof,dk nk ambao wako serikalini lakini pima per capital income ya 2015 na 1970,inflation nk. Shonza pima commitment ya viongozi wako madk na maprof na wale wa 1960's wa darasa la nane.
Wewe shonza umepoteza mwelekeo kabisaa,kama unadhani uko salama uko ccm subiri utakuja kujuta dada yangu ccm ni unyamani soon you will come to realise.
Na Elimu ya Kikwete ya Udaktari ina faida gani kwa Tanzania?....au kuchomeka kwa makanisa ndiyo ufanisi?